Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

Mimi Mkatoliki na Mseminary niliyeishia Kipalapala, juu ya Wayahudi na baraka, uongo ni mwingi sana
Suala la wayahudi ku ni wateule wa Mungu ni uongo uliopachikwa kwenye bible
 
Wayahudi tuwape benefit of Doubt kwamba wakati Yesu anakuja basi walikuwa hawajawa na uelewa mzuri kuhusu Yesu. Let us Assume in that way

Je hadi leo after 2000+ yrs bado hawajajua kama Yesu ni Mkombozi?

Mkuu Bush Dokta, Swali lako lina majibu wazi ndani ya Biblia, Soma Kitabu cha Warumi sura ya 6 yote itakupa majibu....Kwa urahisi tu, sasa hawamtambui Yesu kama Mwokozi wao, Lakini kuna siku Watamtambua....Hivyo ndivyo Biblia inafundisha.....Book of Romans Chapter 6 to 11.....Imeweka wazi kwa nini hawamtambui kwa sasa na huko mbleni kwa nini watamtambua.
 
Sio kwamba wanajulikana ni magaidi......Charter yao inaonyesha hivyo....Walichokifanya October 7th kimedhirisha hivyo....Labda hujui kilichotokea.....
Walichokifanya Oktoba 7 ni maisha ya kila siku ya wayahudi kwao unyama wa kuwaonea wapalestina huwa hautangazwi popote. Ndio maana nimekwambia hao ni wamiliki wa vyombo vya habari vya magharibi, wanajua namna zote za kumgeuza mtu akawa adui wa dunia.
 
Suala la wayahudi ku ni wateule wa Mungu ni uongo uliopachikwa kwenye

Suala la wayahudi ku ni wateule wa Mungu ni uongo uliopachikwa kwenye bible

Unataka kusema hata Palestine ni nchi takatatifu nioungo ulipoachikwa kwenye Quran.......Soma Hamas wanavyosema

Goals of the HAMAS:------------------'The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinianmovement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life isIslam. It strives to raise the banner of Allah over every inch ofPalestine.' (Article 6)On the Destruction of Israel:-----------------------------'Israel will exist and will continue to exist until Islam willobliterate it, just as it obliterated others before it.' (Preamble)The Exclusive Moslem Nature of the Area:----------------------------------------'The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No onecan renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)'Palestine is an Islamic land... Since this is the case, theLiberation of Palestine is an individual duty for every Moslemwherever he may be.' (Article 13)

Umeona.....The Land of Palestine is an Islamic Waqf........Holly Possession......
 
Wa Israel ambao ni Wayaudi wanamtambua Yesu Kristo ila wao wanasema yeye sio Masihi, atakuja mwingine! Ila kumbuka Waisraeli wakristo wanamtambua Yesu kama mwokozi.
 
Hapa unahamisha magoli, tumalizane na hili la Uteule wa Waisraeli, ndio kitu kinazungumziwa katika bandiko hili.
 
Kuna mengu hujui.....na kweli hujui....anayefahamu Western Media...CNN ni chombo ambacho kiko kinyume na Israel...Hiyo inajulikana wazi.....Unataka nikupe shule ya za Media za US na misimamo yao?

Sio kwamba Hamas wanajulikana ni magaidi....Charter yao inaonyesha hivyo....Nimekuonyesha Charter yao na mismamo wao....Wewe unasemaje?
CNN wamiliki wake ni jews, pentagon wamejaa jews, capitol hill wamejaa jews, hakuna rais wa USA mwenye jeuri ya kuwakaripia na kuwaambia ukweli kwamba unyama wanaowafanyia wapalestina hauna nafasi katika ulimwengu huu wa sasa.

Wanafanya mikutano ya kidunia ya wayahudi kila baada ya miaka miwili, mkutano mmojawapo ulihudhuriwa na Bill Clinton aliye myahudi kwa upande wa Mama yake, wameishikilia dunia na wanapanga hata adui yako awe ni nani na rafiki yangu awe ni nani.

RIP Mandela alipinga huo ujinga wa kuwachukia wapalestina ili apendwe na wamarekani na mpaka kesho kina Malema wameshikilia msimamo huo huo.
 
Wa Israel ambao ni Wayaudi wanamtambua Yesu Kristo ila wao wanasema yeye sio Masihi, atakuja mwingine! Ila kumbuka Waisraeli wakristo wanamtambua Yesu kama mwokozi.
Wakristo ndani ya Israeli ni 1.9% hawa uwepo wao hautambiliki wala hauna impact yoyote, hata sherehe za krismas ni maruku Isaraeli
 
Unyama wa hamas unapotokea unaandikwa kwenye media, ule wa wayahudi hauna pa kuandikwa.

Washenzi tu hao wayahudi.

Hizi Media zinazopiga kelele leo za cease fire.....kila kukicha, au Israel itoe nafasi kwa misaada, zinafanya hivyo kwa ajili ya nani? Hayo Maangamizi ya Gaza unayaona, ni kupitia Media gani......mbona hayafichwi....! Hao Maandamano ya Watu kama wewe wanayoiunga mkono Hamas.....tunayaona katika Media zipi? Si tungefichwa kuhusu maangamizi ya Gaza?
 
Taifa la Mungu linampaka matope Mungu huyo huyo kwa kuwa na mienendo ya kibaguzi na ya kishenzi.
Ila Hamas inapopigania haki yake in barbaric way kumtetea Allah...hilo huoni......Soma Charter tena...

Goals of the HAMAS:------------------'The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinianmovement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life isIslam. It strives to raise the banner of Allah over every inch ofPalestine.' (Article 6)On the Destruction of Israel:-----------------------------'Israel will exist and will continue to exist until Islam willobliterate it, just as it obliterated others before it.' (Preamble)The Exclusive Moslem Nature of the Area:----------------------------------------'The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No onecan renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)'Palestine is an Islamic land... Since this is the case, theLiberation of Palestine is an individual duty for every Moslemwherever he may be.' (Article 13)
 
Wakristo ndani ya Israeli ni 1.9% hawa uwepo wao hautambiliki wala hauna impact yoyote, hata sherehe za krismas ni maruku Isaraeli
Usiongeze maneno yako.....Christmas ni Marufuku Israel? Unataka nikuumbue....Christmas si mbali....nitakuonyesha...Tusiandikie mate wino upo....
 
Kuna Aljezeera Steven....Hata Waarabu wanashindwa kuandika? Hata Iran...? Hata Saudia........? Inathibitisha hao ni Warabu koko hawana msaidizi.....
Boss yan Aljazeera tu ?…Wayahud ndio wamiliki wa vyombo vya habari vikubwa na vitu kama hivyo, hollywood imejaa wayahudi kuliko maelezo na wao ndio wanarun hiyo game huko, mkuu fanya utafiti ma zionist ni makatili kinoma, wao ndio wanaamua kipi kionekane kwenye maistreem media kipi kisionekane…
 
Mkuu Bush Dokta, Swali lako lina majibu wazi ndani ya Biblia, Soma Kitabu cha Warumi sura ya 6 yote itakupa majibu....Kwa urahisi tu, sasa hawamtambui Yesu kama Mwokozi wao, Lakini kuna siku Watamtambua....Hivyo ndivyo Biblia inafundisha.....Book of Romans Chapter 6 to 11.....Imeweka wazi kwa nini hawamtambui kwa sasa na huko mbleni kwa nini watamtambua.
Weka hoja mezani.

Uteule wa Wayahudi kama taifa haupo tena; nafasi yao imechukuliwa na Kanisa la Mungu -- watu wanaomwamini Kristu, ambao ndio Israeli ya kiroho.

👉Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu.

👉Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi. ~ Galatia 3:28, 29
 
Usiongeze maneno yako.....Christmas ni Marufuku Israel? Unataka nikuumbue....Christmas si mbali....nitakuonyesha...Tusiandikie mate wino upo....
1000000330.png

Tatizo lako upo hapa kubishana lakini hujui chochote kuhusu Israeli, umekariri ungo uliomezeshwa kwenye bible tumia japo google ujielomishe kidogo.
 
Back
Top Bottom