Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Hahaha eti lhc, sgr first class au second hazina mambo mengi.Watu wako tayari kuwa na uvumilivu wa Large Hadron Collider, nini SGR.
Famasiala.
Nasikia mkuu una ki model type chako kimoja cha hivyo kina bajeti maalum ya vivazi tu.Hahaha eti lhc, sgr first class au second hazina mambo mengi.
They just pop to get filled π π
Ukumuoa wa design hii kubaliana na vitu vitatu, ufe njaa, akupikie dada wa kazi maisha yote, au ule hotelini kila siku.sjui ni nature au nini ila mostly wana Gubu, hasira ,
View attachment 3576879
mlio wahi kudate au kuoa wanawake slim nadhani mnatambua vyema.
Ma bonge Wana Roho nzuriii na hurumasio kweli
tabia haiendani na nyama nyama
Hizo ni tetesi mkuu, fishnet hapana aisee .Nasikia mkuu una ki model type chako kimoja cha hivyo kina bajeti maalum ya vivazi tu.
Vile vi fishnet vya uchokozi mkiwa sehemu sehemu πππ
Noma sanaUkumuoa wa design hii kubaliana na vitu vitatu, ufe njaa, akupikie dada wa kazi maisha yote, au ule hotelini kila siku.
Wanakula tuchips kidogo, juice kidogo, maji kidogo. Kwa ujumla wana maisha yao. Kwa sisi wazee wa menyu huwa tunaishangaa life style yao.
Hahaaa. Wachunguzi wa mambo wanazo mpaka risiti za Victoria's Secret.Hizo ni tetesi mkuu, fishnet hapana aisee .
Itakuwa ni uzoefu wako tu, hivyo una nipa hints π π
Mkuu mi ni kibonge.Mmeze dawa za minyoo
Watamu hao mkuu! Halafu hawanuki mostlysjui ni nature au nini ila mostly wana Gubu, hasira ,
View attachment 3576879
mlio wahi kudate au kuoa wanawake slim nadhani mnatambua vyema.
Wachunguzi wahuni hao, wapika data za kuchekesha.Hahaaa. Wachunguzi wa mambo wanazo mpaka risiti za Victoria's Secret.
Hakika.kumbe π
mabonge mna huruma,hakuna hasira,hakuna Gubu,caring ya kutosha...nk
wapo wanaovutia pia inawata....! BalaaWanawake wembamba hutumia gharama kubwa kujipamba nao waonekane, ila kiujumla huwa hawavutii. Au nasema uongo ndugu zangu?
Mnawasingizia mambo mengi mara kula sana, wivu mbona hata vibonge Wana hizo tabia, we Sema wembamba sio type yako mm hao ndio Ulevi wangu sasa.Fanya observation utaona mwenyewe
Tabia zao mi hazinihusu! Mimi nataka nimkaze tu ! Mabonge Wana changamoto sana hawafai,na ukimpelekea sana moto akawii kuzima, na wananuka pia! Sio wote lakini!Tatizo tabia zao