Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

Mwanamke ili awe smart, classy lzm awe na mpunga wake mwenyewe ama ahongwe, au achune

Ila ulichoandika na uhalisia ni ngumu sana kuwapata hao wanawake walio na mpunga huku akuskilize ni mtihani kidogo,

Binafsi sijui Ila nataka viing'aavyo
Kua kwanza utaona kijana wangu. Wazee wako tunayajua mengi ila tumetulia tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…