Kuelekea 2025: Hawa wafuatao bora niharibu kura yangu kuliko kuwachagua

Wewe mbona hujajitaja? Au nikutaje!
 
Tanzania iko salama achana fikra za kipindi Cha mpito tulichopitia.
Tukamatie kwanza waliompiga risasi.Na utwambie sababu za kushambuliwa kwake.Ulete tena zile CCTV footages na useme kwanini camera ziliondolewa na ni nani aliyeziondoa.
 
Hivi inamana hujui kilichompata Tundu Lissu? Je mpaka leo kuna mshukiwa amekamatwa au kushtakiwa? Sasa unataka mtu arudi akufurahishe wewe ikiwa bado usalama wake haupo sawa
Mkuu Kuna watu ni ma pimbi sana humu, na jana tarehe 7.9 ametimiza miaka 5 ya kushambuliwa kwake.. Lakini hatuna mtuhumiwa hata mmoja aliyekamatwa
 
Kituko Kiko Mbezi mwisho.Serikali imegeuka jambazi sugu na raia wamejifunza kuishi na serikali jambazi.Unakopa mtaji,unanunua bidhaa,unajenga banda au unakodishwa ,unafanya biashara wiki kadhaa.Siku ya siku unafunga siku ,unalaza mzigo wako unaenda kupumzika.Ikifika muda fulani usiku,serikali jambazi inakuja inabomoa banda na kubeba bidhaa zote.Unaenda kwa dalali anakupa bidhaa,unarudi unajenga tena banda lako unaanza kuuza tena hadi serikali jambazi itakapo amua tena.Watu ndivyo wanavyoishi.
 
Hizo ni Dalili za kuelekea kwa mpalange
 
Mweke na baba yako pumbavu
 
ina maana ndio umesahau kumuweka Samila Sululu kwenye listi, una tabia za kichawaaa.
 
Kwanini usilale tu kuliko kutumia nishati na kupoteza muda wako na wale watakaohesabu madudu
 
Bahari Motors.
 
Ccm wote wakae kando kwanza, hawa baadhi ya wanasiasa wa upinzani nao piga chini. Tutawachukua watu wasiokuwa na uroho wa siasa watuongoze.
Kiongozi yyte akileta uhuni ni JERA. Sio kustaafishwa
 
Mkuu upige kura usipige NEC tayari imesha andaa mkeka wote.
 
Sawa BAVICHA wa Ufipa tumekusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…