kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
- Thread starter
- #81
Mtaje weweNa lisa100 mbona umelisahau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaje weweNa lisa100 mbona umelisahau?
Pole sanaKuna nyuzi nyingine unasoma unasonya aliyeandika unapita hivi[emoji124]
Kaushauri 2025 naomba kama hawatakua na mtu mwenye akil timamu wa kumpandisha kugombea urais basi vyama vingine watafute watu wenye sera kali na mwenye moyo mkunjufu tofauti na hvo tutakwenda kuuzwa kwa sabb ya madeni na ujinga wetu wa kutokuzungumzaBasi kaushar
😅😅😅😅 heshima yako ofisa. Kijana hana ajira rasmi serikalini, mpeni ufumbuziNjaa tu inakusumbua ...nitumie namba yako pm nikutumie chochote ukapate chakula unachokipenda
Siku zinazidi kusonga,Mzee lowasa kifo kimemuondoa kwenye kinyang'anyiro. Hatujasahau machungu tunayopitia.Maoni yangu binafsi kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Hapa Nina orodha ya Watanzania wenzetu,wanasiasa ambao Kwa namna moja au nyingine huenda miongoni mwao watakuwepo wenye tamaa ya kutaka kuwania kiti cha urais uchaguzi mkuu utakapofika.
Hii ni sehemu yangu ya kujiwekea kumbukumbu Ili nisije nikasahau wanayotufanyia Watanzania kipindi hiki. Kwani iko wazi kipindi cha kampeni wanasiasa wanakuwa na lugha nzuri mno na ahadi zisizotekelezeka.
Orodha hii itanisaidia mimi na mtanzania yeyote atakayeona kuwa orodha hii Inamsaada kwake pia. Lakini pia naomba orodha iongezeke kadri itakavyoongezeka.
Pia orodha ipate muda wa kutosha wa kukaa hewani mpaka siku ya uchaguzi 2025 panapo majaliwa Kwa mwenye kufika siku hiyo akiwa hai na mzima wa Afya.
1. Tundu lissu - Mkimbizi, muongo muongo, hajui anachokihitaji, mtu mwenye ahadi za kurejea nchini Kila uchao na hazitimii. Huyu yupo tayari kuiingiza nchi kwenye utumwa na ukoloni kwa kujipendekeza kwa Wazungu.
2. Prof Ibrahimu Lipumba --- mbinafsi, anatumika kuuhujumu upinzani.
3. Mwigulu nchemba - Huyu jamaa janja janja akipewa nchi atawahamishia Watanzania wanaompinga Burundi, anaiharibu nchi Kwa kuwafisidi wananchi wanyonge wanaotafuta maisha kwa Tozo zake.
4. Edward lowassa - Huyu ni mwanasiasa Malaya Malaya.
5 Frederick Sumaye - Huyu ni mwanasiasa Malaya Malaya ananunulika kama alivyosema Hayati Julius Kambarage Nyerere akiwazungumzia wanasiasa wa namna hiyo.
6. Hashimu Rungwe - Ana upeo mdogo wa maono, mtazamo finyu na uwezo mdogo wa kufikiri.
7. Dr Bashiru Ally - ❌
8. Humphrey Polepole -❌ kihere here ,elimu haijamsaidia.
9. Prof. Sospeter Muhongo - Liprofesa liongo liongo linatumika vibaya na wanasiasa.
10. Palamagamba Kabudi - Lisomi uchwara mueneza propaganda,anatumika vibaya na wanasiasa elimu yake haijamsaidia.
11. Zitto Kabwe - Msomi uchwara mwenye njaa ya mafanikio binafsi kuliko ya umma. Yupo tayari kuuza utu wake linapokuja suala la masilahi binafsi.
12. January Makamba - Kiongozi mkubwa mwenye utoto mwingi, mbinafsi anafeli kusimamia Wizara ya Nishati kwa kujiona mjuaji na kutaka kushindana na legacy ya mzee Magufuli katika kuiboresha wizara hiyo. Huyu roho mbaya hafai.
Wagombea wengine ongezeeni ninyi,hii inaweza ikawasaidia kujitathimini huenda wakabadili mitazamo waliyonayo.