Kuelekea 2025: Hawa wafuatao bora niharibu kura yangu kuliko kuwachagua

Maoni yangu binafsi kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Hapa Nina orodha ya Watanzania wenzetu,wanasiasa ambao Kwa namna moja au nyingine huenda miongoni mwao watakuwepo wenye tamaa ya kutaka kuwania kiti cha urais uchaguzi mkuu utakapofika.

Hii ni sehemu yangu ya kujiwekea kumbukumbu Ili nisije nikasahau wanayotufanyia Watanzania kipindi hiki. Kwani iko wazi kipindi cha kampeni wanasiasa wanakuwa na lugha nzuri mno na ahadi zisizotekelezeka.

Orodha hii itanisaidia mimi na mtanzania yeyote atakayeona kuwa orodha hii Inamsaada kwake pia. Lakini pia naomba orodha iongezeke kadri itakavyoongezeka.

Pia orodha ipate muda wa kutosha wa kukaa hewani mpaka siku ya uchaguzi 2025 panapo majaliwa Kwa mwenye kufika siku hiyo akiwa hai na mzima wa Afya.

1. Tundu lissu - Mkimbizi, muongo muongo, hajui anachokihitaji, mtu mwenye ahadi za kurejea nchini Kila uchao na hazitimii. Huyu yupo tayari kuiingiza nchi kwenye utumwa na ukoloni kwa kujipendekeza kwa Wazungu.

2. Prof Ibrahimu Lipumba --- mbinafsi, anatumika kuuhujumu upinzani.

3. Mwigulu nchemba - Huyu jamaa janja janja akipewa nchi atawahamishia Watanzania wanaompinga Burundi, anaiharibu nchi Kwa kuwafisidi wananchi wanyonge wanaotafuta maisha kwa Tozo zake.

4. Edward lowassa - Huyu ni mwanasiasa Malaya Malaya.

5 Frederick Sumaye - Huyu ni mwanasiasa Malaya Malaya ananunulika kama alivyosema Hayati Julius Kambarage Nyerere akiwazungumzia wanasiasa wa namna hiyo.

6. Hashimu Rungwe - Ana upeo mdogo wa maono, mtazamo finyu na uwezo mdogo wa kufikiri.

7. Dr Bashiru Ally - ❌

8. Humphrey Polepole -❌ kihere here ,elimu haijamsaidia.

9. Prof. Sospeter Muhongo - Liprofesa liongo liongo linatumika vibaya na wanasiasa.

10. Palamagamba Kabudi - Lisomi uchwara mueneza propaganda,anatumika vibaya na wanasiasa elimu yake haijamsaidia.

11. Zitto Kabwe - Msomi uchwara mwenye njaa ya mafanikio binafsi kuliko ya umma. Yupo tayari kuuza utu wake linapokuja suala la masilahi binafsi.

12. January Makamba - Kiongozi mkubwa mwenye utoto mwingi, mbinafsi anafeli kusimamia Wizara ya Nishati kwa kujiona mjuaji na kutaka kushindana na legacy ya mzee Magufuli katika kuiboresha wizara hiyo. Huyu roho mbaya hafai.

Wagombea wengine ongezeeni ninyi,hii inaweza ikawasaidia kujitathimini huenda wakabadili mitazamo waliyonayo.
OI hao mimi sitokutananao

Mimi Samia Suluhu Hasani simpi Kura yanga hata iwejee bora niwape akina wakimbizi ,Bashiru ,Hashumu rungwe Polepole na
 
7. Dr Bashiru Ally - [emoji777]

8. Humphrey Polepole -[emoji777] kihere here ,elimu haijamsaidia.

9. Prof. Sospeter Muhongo - Liprofesa liongo liongo linatumika vibaya na wanasiasa.

10. Palamagamba Kabudi - Lisomi uchwara mueneza propaganda,anatumika vibaya na wanasiasa elimu yake haijamsaidia.

11. Zitto Kabwe - Msomi uchwara mwenye njaa ya mafanikio binafsi kuliko ya umma. Yupo tayari kuuza utu wake linapokuja suala la masilahi binafsi.

12. January Makamba - Kiongozi mkubwa mwenye utoto mwingi, mbinafsi anafeli kusimamia Wizara ya Nishati kwa kujiona mjuaji na kutaka kushindana na legacy ya mzee Magufuli katika kuiboresha wizara hiyo. Huyu roho mbaya hafai.

Wagombea wengine ongezeeni ninyi,hii inaweza ikawasaidia kujitathimini huenda wakabadili mitazamo waliyonayo.
Una kiakili kiwango ya Lami.
Uliowataja wengi wanahusikanaje na CCM yako hivi unatarajia Lowasa aingie huko au Sumaye!
Rungwe (ubwabwa) si mpinzani kinakuwashia Nini?
Lissu anakuumiza kichwa kivile!!??
Lipumba si ndio CCM B!
Acha ujinga.
 
Tukamatie kwanza waliompiga risasi.Nala utwambie sababu za kushambuliwa kwake.Ulete tena zile CCTV footages na useme kwanini camera ziliondolewa na ni nani aliyeziondoa.
Nadhani hilo swali lazima Lissu alimuuliza mama walipo kutana huko Belgium. Sijui wala sikumbuki alimjibuje. Tatizo la viongozi wetu wa upinzani awamu hii ya 6 wamezidi kuimba sifa na mapambio huku wananchi wa kawaida tukiumia sana.
 
Una kiakili kiwango ya Lami.
Uliowataja wengi wanahusikanaje na CCM yako hivi unatarajia Lowasa aingie huko au Sumaye!
Rungwe (ubwabwa) si mpinzani kinakuwashia Nini?
Lissu anakuumiza kichwa kivile!!??
Lipumba si ndio CCM B!
Acha ujinga.
Unajiona kama unajua Sana kumbe uozo umejaza kichwa chako
 
Ongezea Mbowe hapo, atatuchukulia na kutembea na wake zetu wote kama alivyomchukua Joyce Mukya
Hivi katika kundi la wanaume, mkiambiwa mtoke mbele kweli mtatoka kwa akili za aina hii!

Yaani mwanaume aliyekamilika anaweza kweli kumsifia mwanaume mwenzake kwa kumchukua/kutembea na mke wake!! Halafu huyo Joyce Mukya alikuwa ni mke wako, mpaka akuume!!! Aina ndiyo zile tabia za wanaume suruali?

Kweli wanaume tumebakia wachache sana.
 
Ujinga mtupu!!! Ungeandika na uwatakao ili tujue huna uchama chama mana kwa haraka tu nishaona una uchama fulani ambao umeuficha kwa kuchimbia kichwa chini nakuacha matako juuu
 
Aliyekuambia Lowasa ana mpango wa kugombea hata uenyekiti wa kitongoji ni naani? Waache wazee wa watu wapumzike
 
Maoni yangu binafsi kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Hapa Nina orodha ya Watanzania wenzetu,wanasiasa ambao Kwa namna moja au nyingine huenda miongoni mwao watakuwepo wenye tamaa ya kutaka kuwania kiti cha urais uchaguzi mkuu utakapofika.

Hii ni sehemu yangu ya kujiwekea kumbukumbu Ili nisije nikasahau wanayotufanyia Watanzania kipindi hiki. Kwani iko wazi kipindi cha kampeni wanasiasa wanakuwa na lugha nzuri mno na ahadi zisizotekelezeka.

Orodha hii itanisaidia mimi na mtanzania yeyote atakayeona kuwa orodha hii Inamsaada kwake pia. Lakini pia naomba orodha iongezeke kadri itakavyoongezeka.

Pia orodha ipate muda wa kutosha wa kukaa hewani mpaka siku ya uchaguzi 2025 panapo majaliwa Kwa mwenye kufika siku hiyo akiwa hai na mzima wa Afya.

1. Tundu lissu - Mkimbizi, muongo muongo, hajui anachokihitaji, mtu mwenye ahadi za kurejea nchini Kila uchao na hazitimii. Huyu yupo tayari kuiingiza nchi kwenye utumwa na ukoloni kwa kujipendekeza kwa Wazungu.

2. Prof Ibrahimu Lipumba --- mbinafsi, anatumika kuuhujumu upinzani.

3. Mwigulu nchemba - Huyu jamaa janja janja akipewa nchi atawahamishia Watanzania wanaompinga Burundi, anaiharibu nchi Kwa kuwafisidi wananchi wanyonge wanaotafuta maisha kwa Tozo zake.

4. Edward lowassa - Huyu ni mwanasiasa Malaya Malaya.

5 Frederick Sumaye - Huyu ni mwanasiasa Malaya Malaya ananunulika kama alivyosema Hayati Julius Kambarage Nyerere akiwazungumzia wanasiasa wa namna hiyo.

6. Hashimu Rungwe - Ana upeo mdogo wa maono, mtazamo finyu na uwezo mdogo wa kufikiri.

7. Dr Bashiru Ally - ❌

8. Humphrey Polepole -❌ kihere here ,elimu haijamsaidia.

9. Prof. Sospeter Muhongo - Liprofesa liongo liongo linatumika vibaya na wanasiasa.

10. Palamagamba Kabudi - Lisomi uchwara mueneza propaganda,anatumika vibaya na wanasiasa elimu yake haijamsaidia.

11. Zitto Kabwe - Msomi uchwara mwenye njaa ya mafanikio binafsi kuliko ya umma. Yupo tayari kuuza utu wake linapokuja suala la masilahi binafsi.

12. January Makamba - Kiongozi mkubwa mwenye utoto mwingi, mbinafsi anafeli kusimamia Wizara ya Nishati kwa kujiona mjuaji na kutaka kushindana na legacy ya mzee Magufuli katika kuiboresha wizara hiyo. Huyu roho mbaya hafai.

Wagombea wengine ongezeeni ninyi,hii inaweza ikawasaidia kujitathimini huenda wakabadili mitazamo waliyona

bitozo
 
Pambana mwenyewe Hakuna mtawala yeyeto wa kiafrica anaweza letea watu maendeleo. Naona Kenya safari hii wamejifunza kutouana kwa faida ya walamba asali wameona ni ujinga kuuana kwa sababu ya uchaguzi. Wananchi ndio wapatao shida na sio watawala. Mimi yeyeto tu hata asipowekwa mtu nchi hizi za kiafrica zinajiongoza zenyewe hata bila uchaguzi,
Hahahaaaaaa!, yaani Auto Pilot, aaaah hayo ni maskhara ndugu.
 
Maoni yangu binafsi kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Hapa Nina orodha ya Watanzania wenzetu,wanasiasa ambao Kwa namna moja au nyingine huenda miongoni mwao watakuwepo wenye tamaa ya kutaka kuwania kiti cha urais uchaguzi mkuu utakapofika.

Hii ni sehemu yangu ya kujiwekea kumbukumbu Ili nisije nikasahau wanayotufanyia Watanzania kipindi hiki. Kwani iko wazi kipindi cha kampeni wanasiasa wanakuwa na lugha nzuri mno na ahadi zisizotekelezeka.

Orodha hii itanisaidia mimi na mtanzania yeyote atakayeona kuwa orodha hii Inamsaada kwake pia. Lakini pia naomba orodha iongezeke kadri itakavyoongezeka.

Pia orodha ipate muda wa kutosha wa kukaa hewani mpaka siku ya uchaguzi 2025 panapo majaliwa Kwa mwenye kufika siku hiyo akiwa hai na mzima wa Afya.

1. Tundu lissu - Mkimbizi, muongo muongo, hajui anachokihitaji, mtu mwenye ahadi za kurejea nchini Kila uchao na hazitimii. Huyu yupo tayari kuiingiza nchi kwenye utumwa na ukoloni kwa kujipendekeza kwa Wazungu.

2. Prof Ibrahimu Lipumba --- mbinafsi, anatumika kuuhujumu upinzani.

3. Mwigulu nchemba - Huyu jamaa janja janja akipewa nchi atawahamishia Watanzania wanaompinga Burundi, anaiharibu nchi Kwa kuwafisidi wananchi wanyonge wanaotafuta maisha kwa Tozo zake.

4. Edward lowassa - Huyu ni mwanasiasa Malaya Malaya.

5 Frederick Sumaye - Huyu ni mwanasiasa Malaya Malaya ananunulika kama alivyosema Hayati Julius Kambarage Nyerere akiwazungumzia wanasiasa wa namna hiyo.

6. Hashimu Rungwe - Ana upeo mdogo wa maono, mtazamo finyu na uwezo mdogo wa kufikiri.

7. Dr Bashiru Ally - ❌

8. Humphrey Polepole -❌ kihere here ,elimu haijamsaidia.

9. Prof. Sospeter Muhongo - Liprofesa liongo liongo linatumika vibaya na wanasiasa.

10. Palamagamba Kabudi - Lisomi uchwara mueneza propaganda,anatumika vibaya na wanasiasa elimu yake haijamsaidia.

11. Zitto Kabwe - Msomi uchwara mwenye njaa ya mafanikio binafsi kuliko ya umma. Yupo tayari kuuza utu wake linapokuja suala la masilahi binafsi.

12. January Makamba - Kiongozi mkubwa mwenye utoto mwingi, mbinafsi anafeli kusimamia Wizara ya Nishati kwa kujiona mjuaji na kutaka kushindana na legacy ya mzee Magufuli katika kuiboresha wizara hiyo. Huyu roho mbaya hafai.

Wagombea wengine ongezeeni ninyi,hii inaweza ikawasaidia kujitathimini huenda wakabadili mitazamo waliyonayo.
MPUMBAVU na UPUMBAFU wake
 
Back
Top Bottom