Kuelekea 2025: Hawa wafuatao bora niharibu kura yangu kuliko kuwachagua

Kuelekea 2025: Hawa wafuatao bora niharibu kura yangu kuliko kuwachagua

Aliyekuambia Lowasa ana mpango wa kugombea hata uenyekiti wa kitongoji ni naani? Waache wazee wa watu wapumzike
Nimeandika Ili ajue kuwa asijisumbue kugombea hata uenyekiti wa kitongoji,kura yangu hapati.
 
Ujinga mtupu!!! Ungeandika na uwatakao ili tujue huna uchama chama mana kwa haraka tu nishaona una uchama fulani ambao umeuficha kwa kuchimbia kichwa chini nakuacha matako juuu
Kwani imekatazwa kuwa chama?
 
Maoni yangu binafsi kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Hapa Nina orodha ya Watanzania wenzetu,wanasiasa ambao Kwa namna moja au nyingine huenda miongoni mwao watakuwepo wenye tamaa ya kutaka kuwania kiti cha urais uchaguzi mkuu utakapofika.

Hii ni sehemu yangu ya kujiwekea kumbukumbu Ili nisije nikasahau wanayotufanyia Watanzania kipindi hiki. Kwani iko wazi kipindi cha kampeni wanasiasa wanakuwa na lugha nzuri mno na ahadi zisizotekelezeka.

Orodha hii itanisaidia mimi na mtanzania yeyote atakayeona kuwa orodha hii Inamsaada kwake pia. Lakini pia naomba orodha iongezeke kadri itakavyoongezeka.

Pia orodha ipate muda wa kutosha wa kukaa hewani mpaka siku ya uchaguzi 2025 panapo majaliwa Kwa mwenye kufika siku hiyo akiwa hai na mzima wa Afya.

1. Tundu lissu - Mkimbizi, muongo muongo, hajui anachokihitaji, mtu mwenye ahadi za kurejea nchini Kila uchao na hazitimii. Huyu yupo tayari kuiingiza nchi kwenye utumwa na ukoloni kwa kujipendekeza kwa Wazungu.

2. Prof Ibrahimu Lipumba --- mbinafsi, anatumika kuuhujumu upinzani.

3. Mwigulu nchemba - Huyu jamaa janja janja akipewa nchi atawahamishia Watanzania wanaompinga Burundi, anaiharibu nchi Kwa kuwafisidi wananchi wanyonge wanaotafuta maisha kwa Tozo zake.

4. Edward lowassa - Huyu ni mwanasiasa Malaya Malaya.

5 Frederick Sumaye - Huyu ni mwanasiasa Malaya Malaya ananunulika kama alivyosema Hayati Julius Kambarage Nyerere akiwazungumzia wanasiasa wa namna hiyo.

6. Hashimu Rungwe - Ana upeo mdogo wa maono, mtazamo finyu na uwezo mdogo wa kufikiri.

7. Dr Bashiru Ally - ❌

8. Humphrey Polepole -❌ kihere here ,elimu haijamsaidia.

9. Prof. Sospeter Muhongo - Liprofesa liongo liongo linatumika vibaya na wanasiasa.

10. Palamagamba Kabudi - Lisomi uchwara mueneza propaganda,anatumika vibaya na wanasiasa elimu yake haijamsaidia.

11. Zitto Kabwe - Msomi uchwara mwenye njaa ya mafanikio binafsi kuliko ya umma. Yupo tayari kuuza utu wake linapokuja suala la masilahi binafsi.

12. January Makamba - Kiongozi mkubwa mwenye utoto mwingi, mbinafsi anafeli kusimamia Wizara ya Nishati kwa kujiona mjuaji na kutaka kushindana na legacy ya mzee Magufuli katika kuiboresha wizara hiyo. Huyu roho mbaya hafai.


Wagombea wengine ongezeeni ninyi,hii inaweza ikawasaidia kujitathimini huenda wakabadili mitazamo waliyonayo.
Kuna mmja ujamtaja
 
Hivi katika kundi la wanaume, mkiambiwa mtoke mbele kweli mtatoka kwa akili za aina hii!

Yaani mwanaume aliyekamilika anaweza kweli kumsifia mwanaume mwenzake kwa kumchukua/kutembea na mke wake!! Halafu huyo Joyce Mukya alikuwa ni mke wako, mpaka akuume!!! Aina ndiyo zile tabia za wanaume suruali?

Kweli wanaume tumebakia wachache sana.
Wewe maamuma nani kamsifia mtu. Una IQ kama ya Inzi kuona Mavi dili. Soma vizuri nilichoandika wewe pimbi.
 
Ongezea Mbowe hapo, atatuchukulia na kutembea na wake zetu wote kama alivyomchukua Joyce Mukya
Hapa umeandika nini? Mwanaume kamili hawezi kuandika huu ujinga.

Halafu masuala ya Joyce Mukya yanakuhusu nini? Kama siyo umbea!! Utakuja uvishwe dela la Asha Ngedere.
 
Correction.Hashim Rungwe ni wakili msomi usimchukukie poa.aba kampuni ya uwakili.ni mtanzania wa kwanza kufungua kampuni ya kuuza magari ikiitwa Jaba miaka ya 90 ana upeo mkubwa na ana akili na ni msomi mwenye oesa yake.

Polepole hana elimu kama ulivyomuandika hapo
Polepole amesoma mlimani
 
Ungekuwa ni wewe umepigwa risasi namna ile ungekua hata na jeuri ya kuinua mdomo au mkono kuandika humu...ingelikua mzazi au nduguyo kapigwa risasi kiasi kile ungekua na ujasiri wa kumsema namna hii...kuna baadhi ya mambo vzr kukaa kimya ili usijiletee laana na kizazi chako...Lisu kafinyiwa unyama wa kutisha,ni Mungu tu alitetea uhai wake,ficha chuki yako juu ya Lissu.
 
Ungekuwa ni wewe umepigwa risasi namna ile ungekua hata na jeuri ya kuinua mdomo au mkono kuandika humu...ingelikua mzazi au nduguyo kapigwa risasi kiasi kile ungekua na ujasiri wa kumsema namna hii...kuna baadhi ya mambo vzr kukaa kimya ili usijiletee laana na kizazi chako...Lisu kafinyiwa unyama wa kutisha,ni Mungu tu alitetea uhai wake,ficha chuki yako juu ya Lissu.
Kwahiyo unataka nimchague kwasababu amepigwa risasi? Kwahiyo anayatumia matatizo yaliyomkuta kutafuta huruma Kwa walimwengu? Kumbe hana utofauti wowote na Haji Manara. Naongezea hii.
 
Back
Top Bottom