Kuelekea 2025: Hawa wafuatao bora niharibu kura yangu kuliko kuwachagua

Aliyekuambia Lowasa ana mpango wa kugombea hata uenyekiti wa kitongoji ni naani? Waache wazee wa watu wapumzike
Nimeandika Ili ajue kuwa asijisumbue kugombea hata uenyekiti wa kitongoji,kura yangu hapati.
 
Ujinga mtupu!!! Ungeandika na uwatakao ili tujue huna uchama chama mana kwa haraka tu nishaona una uchama fulani ambao umeuficha kwa kuchimbia kichwa chini nakuacha matako juuu
Kwani imekatazwa kuwa chama?
 
Kuna mmja ujamtaja
 
Wewe maamuma nani kamsifia mtu. Una IQ kama ya Inzi kuona Mavi dili. Soma vizuri nilichoandika wewe pimbi.
 
Ongezea Mbowe hapo, atatuchukulia na kutembea na wake zetu wote kama alivyomchukua Joyce Mukya
Hapa umeandika nini? Mwanaume kamili hawezi kuandika huu ujinga.

Halafu masuala ya Joyce Mukya yanakuhusu nini? Kama siyo umbea!! Utakuja uvishwe dela la Asha Ngedere.
 
Polepole amesoma mlimani
 
Ungekuwa ni wewe umepigwa risasi namna ile ungekua hata na jeuri ya kuinua mdomo au mkono kuandika humu...ingelikua mzazi au nduguyo kapigwa risasi kiasi kile ungekua na ujasiri wa kumsema namna hii...kuna baadhi ya mambo vzr kukaa kimya ili usijiletee laana na kizazi chako...Lisu kafinyiwa unyama wa kutisha,ni Mungu tu alitetea uhai wake,ficha chuki yako juu ya Lissu.
 
Kwahiyo unataka nimchague kwasababu amepigwa risasi? Kwahiyo anayatumia matatizo yaliyomkuta kutafuta huruma Kwa walimwengu? Kumbe hana utofauti wowote na Haji Manara. Naongezea hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…