Kuelekea 2025: Hawa wafuatao bora niharibu kura yangu kuliko kuwachagua

Basi kaushar
Kaushauri 2025 naomba kama hawatakua na mtu mwenye akil timamu wa kumpandisha kugombea urais basi vyama vingine watafute watu wenye sera kali na mwenye moyo mkunjufu tofauti na hvo tutakwenda kuuzwa kwa sabb ya madeni na ujinga wetu wa kutokuzungumza
 
Tunaendelea kuwazoom,naona huyu mmoja alitakiwa ajiuzuru kutokana na kuzingua kwake kwenye ishu nyeti ya kuwaminya wanyonge Kwa makato ya tozo,amejikanyaga kanyaga tu shame on him.
 
Nadhani huyo Kabudi mmemuona kwenye sakata la acacia na trillion 360 za mchongo
 
Siku zinazidi kusonga,Mzee lowasa kifo kimemuondoa kwenye kinyang'anyiro. Hatujasahau machungu tunayopitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…