Alafu huyu huyu Vuvuzera alituaminisha kuwa sasa ameachana na propaganda za kwenye mitandao ya kijamiiVuvuzela una vituko sana,
sasa huyo katibu wa CCM Monduli mnampokeaje ndani ya chama wakati tayari yupo huko ndani ya Chama na ni katibu wenu?
njia ya muongo ni fupi sana.
Akipewa ukatibu mkuu huyo basi ccm baada ya miaka 5 itakuwa kama udp au tlpTandaleOne,
Ni aibu kwako na kwa Chama kwa kupiga ramli humu,Ila sishangai ndio maana Pia kuna wazee hapa Dom wanataka Upewa Ukatibu Mkuu.
Hapo ndio walipaswa kutuambia ni budget kiasi gani imetengwa. Isijekuwa zile bil 4 za gharama ya mkutano moja ni kwa ajili hiyo ili kunogesha mkutano kwa kuhadaa eti wapinzani wanamkubali mteule waoLabda mm sijaelewa mtu anataka kuhamia kwenye chama mnongea naye nn maana kama mnafanya naye makubaliano maana yake nikama mnaingia naye mikataba na sio hiyari yake kuhamia ccm kunakitu anakitaka
Umezoeshwa mtindo wa mendeWera weraaaaaaaaaa! Lazima UKAWA wafe kifo cha Mende
Badala ya kuomboleza watu watajipigia ugimbi na warwa kwa kwenda mbeleAlitabiri komba na kombani ..lkn mwishowe wao ndo hatunao ..na ww jiandae kwa utabiri wako uchwara
Watawaita ALMASIWakati wanahamia Chadema mliwaita makapi leo mtawaitaje.
tehe tehe teheee hii kaliii sana umevuta bange ya wapi asubui asubuiTehetehetehetehetehe! Wera weraaaaaaaaa! Usishangae kusikia Freeman Mbowe anajiunga na CCM
nakuunga mkono kabisa ili tuweze kumarisha udikteta uchwara wetuKwa kasi hii ya Magufuli hamna haja ya kukaa kwa vipinzani uchwara.
Upinzani Leo ndio watetezi wakubwa Wa majizi na Mafisadi ,sasa unabaki huko kutafuta nini??
Aondoke tu who is he/she anyway? Jimbo lenyewe linampwaya whoever he/she is!Hilo liko wazi na ndio maana anamalizana na CCM ili hata kama atapoteza Ubunge aendelee kukitumikia chama kwa namna nyingine
Kwn wasira mzima ? ?? chadema itaendelea kuwepo mpka mungu akipenda isiwepo ...vile vile uwepo wako ww ni mapenzi ya mungu ..akikutaka tu ...jina linabadilika ...achana na chadema kwn ni mpango wa munguPole sana ndugu. Mbona Wasira aliyetabiri kuwa CHADEMA itakufa bado hajafa? Suala la kifo ni majaaliwa na mapenzi ya Allah
Kuna majizi wapi upinzani maana sijasikia wanao timuliwa kwa mambo yenu?!Kwa kasi hii ya Magufuli hamna haja ya kukaa kwa vipinzani uchwara.
Upinzani Leo ndio watetezi wakubwa Wa majizi na Mafisadi ,sasa unabaki huko kutafuta nini??
Kifupi chichiem mmefuria na ndo maana kuna myukano wa kumpata mwenyekiti wenu...Elizabon haiishi kutaja taja wachawi ndani ya chichiem...na mjiandae kisaikolojia maana wengi watavuka mto kageraHahaaa ndoto za alinacha. Kuhamia upinzani wafuate nini. Hakuna kitu kama hicho. Poleni VVU
Bange ya malawitehe tehe teheee hii kaliii sana umevuta bange ya wapi asubui asubui