2020 hapa mtaani kwetu kituo cha kupiga kura ilikuwa ofisi ya kitongoji. Siku ya kupiga kura badala ya kuwa na kituo kimoja, vikawa vitu vitatu- yaani watu wakapiga kura 1) ndani ya ofisi ya kitongoji, 2) ndani ya room nyingine iliyo kwenye jengo hilo na 3) kwenye nyumba nyingine iliyo jirani kama MITA 20 Hivi. Sasa vyama vya upinzani vilikuwa na wakala mmoja mmoja tu, ambao hawangeweza kuona nini kinaendelea katika sehemu zote tatu. Walinzi mgambo waliokuja kusimamia usalama (hawakuwa wenyeji) kila mmoja alikuwa na kibegi cha mgongoni- vinavyofanana. Saa ya kuingia vibegi vimejaa vyote, saa ya kutoka vyote tupu. Chakula kuna ma ntilie aliwahidumia. Jiongeze mwenyewe ujie nini kiliendelea hapo.Kuna mtu anajaribu kuhack AC yangu Erythrocyte imewahi kukutokea hii?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]2020 hapa mtaani kwetu kituo cha kupiga kura ilikuwa ofisi ya kitongoji. Siku ya kupiga kura badala ya kuwa na kituo kimoja, vikawa vitu vitatu- yaani watu wakapiga kura 1) ndani ya ofisi ya kitongoji, 2) ndani ya room nyingine iliyo kwenye jengo hilo na 3) kwenye nyumba nyingine iliyo jirani kama MITA 20 Hivi. Sasa vyama vya upinzani vilikuwa na wakala mmoja mmoja tu, ambao hawangeweza kuona nini kinaendelea katika sehemu zote tatu. Walinzi mgambo waliokuja kusimamia usalama (hawakuwa wenyeji) kila mmoja alikuwa na kibegi cha mgongoni- vinavyofanana. Saa ya kuingia vibegi vimejaa vyote, saa ya kutoka vyote tupu. Chakula kuna ma ntilie aliwahidumia. Jiongeze mwenyewe ujie nini kiliendelea hapo.
Tuseme labda waliona idadi ya wapiga kura ni kubwa, wakafanya hivyo kuondoa msongamano.2020 hapa mtaani kwetu kituo cha kupiga kura ilikuwa ofisi ya kitongoji. Siku ya kupiga kura badala ya kuwa na kituo kimoja, vikawa vitu vitatu- yaani watu wakapiga kura 1) ndani ya ofisi ya kitongoji, 2) ndani ya room nyingine iliyo kwenye jengo hilo na 3) kwenye
Ukienda kituo Cha kupiga kura, Kisha ukaambiwa namba Yako imekwisha piga kura, na inaonyesha msimamizi ametick namba Yako,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu aliwahi kusema wanazo mbinu zaidi ya elfu moja
Mawakala lazima waapishwe, kama waliapishwa wa kituo kimoja hiko kingine lazima kingekosa mawakala.Tuseme labda waliona idadi ya wapiga kura ni kubwa, wakafanya hivyo kuondoa msongamano.
Mawakala waliruhusiwa kuingia ndani ya kituo mlichokitilia mashaka?
Ndo ujiulize kwanini wapiga kura hawahoji kitu Cha namna hiyo,Mawakala lazima waapishwe, kama waliapishwa wa kituo kimoja hiko kingine lazima kingekosa mawakala.
Kuna kuiba kura na kuiba uchaguzi.Salaam, Shalom!!
Wakati tukielekea uchaguzi, vyama hutoa malalamiko kuwa wanaibiwa kura na kwakuwa tunapambana kuhakikisha, tunapata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote, ni vyema tukazizua Mbinu waovu ambazo huzitumia kuiba kura.
Unapokaribia uchaguzi, kuna viongozi hupita nyumba hadi nyumba wakirekodi namba za vitambulisho vya wapiga kura, matumizi hasa ya namba hizo ni zipi?
Kinga ni Bora kuliko Tiba.
Karibuni 🙏
Hilo Lina UKWELI,Kura huwa haziibiwi Bali washabiki wa chadema Huwa ni kelele za majukwaani tu, ikifika muda wa kupiga kura hawaendi kwenye vituo vya kupiga kura!
Leo tunajadili kura zinaibiwaje!Kuna kuiba kura na kuiba uchaguzi.
Ukiwa na ujinga kama kupita bila kupingwa, ukiwa unateua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, ikiwa unachanganya resourves za serikali na chama kwenye uchaguzi, hapo unaiba uchaguzi, huibi kura tu.
Sasa unajadili kura zinaibiwaje wakati watu wanapita bila kupingwa hata kura hawapigiwi?Leo tunajadili kura zinaibiwaje!
Karibu
Ww utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio Bado wanatembea na hii propaganda outdated.Kura huwa haziibiwi Bali washabiki wa chadema Huwa ni kelele za majukwaani tu, ikifika muda wa kupiga kura hawaendi kwenye vituo vya kupiga kura!
Hatuwezi kujadili mambo yote Kwa pamoja,Sasa unajadili kura zinaibiwaje wakati watu wanapita bila kupingwa hata kura hawapigiwi?
Unajadili kura zinaibiwaje wakati hata kura zisipoibiwa matokeo yanaweza kubadilishwa?
Kwa nini unaona kujadili kura zinavyoibiwa ni muhimu kuliko kuangalia mfumo unaowezesha kura kuibiwa?
Ukiweza kudhibiti kura zinavyoibiwa leo, wakati umebakisha mfumo ule ule unaowezesha kura kuibiwa, huoni kwamba bado umeacha mwanya wa kura kuibiwa kivingine kesho?
Una kifua kikuu kinachokufanya ukohoe sana, kwa nini unapoteza muda mwingi kupata dawa ya Cofta ya kupunguza kikohozi, kupunguza daliki tu, wakati ugonjwa wa msingi, kifua kikuu, unauacha?
Mkuu ila kuna ukweli pia kwamba wafuasi wa CHADEMA ni wavivu kupiga na kuzilinda kura zao, kuna wingi wa kura ukifikia hata kuibiwa na matokeo kupinduliwa inakuwa vigumu sana, ndio maana wabunge wengi wa upinzani wanaoshinda na kufanikiwa kuupata ubunge huwa wanashinda kwa gap kubwa sana la kura.Ww utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio Bado wanatembea na hii propaganda outdated.
Kwa maana hii ni kwamba hakuna maana saana ya wafuasi wa upinzani kujisumbua kupiga kura kabla mfumo haujabadilishwa?Sasa unajadili kura zinaibiwaje wakati watu wanapita bila kupingwa hata kura hawapigiwi?
Unajadili kura zinaibiwaje wakati hata kura zisipoibiwa matokeo yanaweza kubadilishwa?
Kwa nini unaona kujadili kura zinavyoibiwa ni muhimu kuliko kuangalia mfumo unaowezesha kura kuibiwa?
Ukiweza kudhibiti kura zinavyoibiwa leo, wakati umebakisha mfumo ule ule unaowezesha kura kuibiwa, huoni kwamba bado umeacha mwanya wa kura kuibiwa kivingine kesho?
Una kifua kikuu kinachokufanya ukohoe sana, kwa nini unapoteza muda mwingi kupata dawa ya Cofta ya kupunguza kikohozi, kupunguza daliki tu, wakati ugonjwa wa msingi, kifua kikuu, unauacha?
Hakuna wa kuiba kura msiwe na wasi wasi aliyekuwa anaiba kura ameshakufa mwendazakeSalaam, Shalom!
Wakati tukielekea uchaguzi, vyama hutoa malalamiko kuwa wanaibiwa kura na kwakuwa tunapambana kuhakikisha, tunapata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote, ni vyema tukazizua Mbinu waovu ambazo huzitumia kuiba kura.
Unapokaribia uchaguzi, kuna viongozi hupita nyumba hadi nyumba wakirekodi namba za vitambulisho vya wapiga kura, matumizi hasa ya namba hizo ni zipi?
Kinga ni Bora kuliko Tiba.
Karibuni 🙏
Msimsingizie,Hakuna wa kuiba kura msiwe na wasi wasi aliyekuwa anaiba kura ameshakufa mwendazake
Mkuu achana na hizo story, kwa macho yangu nimeshuhudia kura za wizi tena kwa uratibu wa polisi na msimamizi wa uchaguzi. Kisha utetezi ukawa wapiga kura wa upinzani hawajitokezi! Na wale waliomua kutetea uchafu ule kwenye uchaguzi wakapewa kesi ya kutaka kuvuruga uchaguzi!Mkuu ila kuna ukweli pia kwamba wafuasi wa CHADEMA ni wavivu kupiga na kuzilinda kura zao, kuna wingi wa kura ukifikia hata kuibiwa na matokeo kupinduliwa inakuwa vigumu sana, ndio maana wabunge wengi wa upinzani wanaoshinda na kufanikiwa kuupata ubunge huwa wanashinda kwa gap kubwa sana la kura.
Magufuli hakuiba kura, Bali alipora mchakato wa uchaguzi, wezi wa kura ni ccm na mfumo huu mbovu wa uchaguzi. Kama Bado tume ya uchaguzi itaendelea kuwajibika kwa mwenyekiti wa ccm, ni ujinga kama ujinga mwingine kuendelea kushiriki huo uhayawani.Hakuna wa kuiba kura msiwe na wasi wasi aliyekuwa anaiba kura ameshakufa mwendazake