Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada finyu, ukijikita hapo utatawaliwa milele.Hatuwezi kujadili mambo yote Kwa pamoja,
Jikite kwenye mada.
Ndiyo maana mimi nasema kujikita kwenye wizi wa kura wakati huangalii wizi wa uchaguzi ni kuangalia tatizo kwa kina kidogo.Ukienda kupiga kura utakuta namba yako haipo...wakati una kitambulisho na ulijiandikisha hapo hapo...wanakuwa tayar wameshaipigia..
Cha kuchunguza ni kuwa,Ukienda kupiga kura utakuta namba yako haipo...wakati una kitambulisho na ulijiandikisha hapo hapo...wanakuwa tayar wameshaipigia..
Unapiga kura wakati mgombea mwenza kwenye tiketi ya urais kashakudharau mpiga kura mpaka anakwambia ukimpigia kura au usipompigia kura yeye ana uhakika wa kushinda, hapo unapiga kura iweje?Kwa maana hii ni kwamba hakuna maana saana ya wafuasi wa upinzani kujisumbua kupiga kura kabla mfumo haujabadilishwa?
Hata Kenya, Gambia, Zambia, Malawi, Ghana na Senegal ambako vyama tawala viliondolewa watawala walikuwa na kauli hizi hizi chin ya mifumo hiyo hiyo. Hakuna njia nyingine bora zaid ya kufanya mabadiliko ya nchi zaidi ya uchaguzi.Unapiga kura wakati mgombea mwenza kwenye tiketi ya urais kashakudharau mpiga kura mpaka anakwambia ukimpigia kura au usipompigia kura yeye ana uhakika wa kushinda, hapo unapiga kura iweje?
Rais wa sasa kashasema yeye ndiye rais mpaka 2030, kama vile 2025 hakuna uchaguzi, kashajihakikishia 2025 kapita, haombi kura, anawaambia yeye ndiye atakuwa rais mpaka 2030.
Na haya si maneno anayosema yeye tu. CCM wamepindua chaguzi tangu enzi za chama kimoja.
Unapiga kura iweje hapo?
Watawala hawakuondolewa kwa wananchi kupiga kura kwenye mfumo ulioweza kuiba uchaguzi mzima.Hata Kenya, Gambia, Zambia, Malawi, Ghana na Senegal ambako vyama tawala viliondolewa watawala walikuwa na kauli hizi hizi chin ya mifumo hiyo hiyo. Hakuna njia nyingine bora zaid ya kufanya mabadiliko ya nchi zaidi ya uchaguzi.
Usiradharau wazee acha kauli za kibaguzi. Hauna ubora wowote kumzidi mzee. Wote ni sawaWw utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio Bado wanatembea na hii propaganda outdated.
Ndio Bado wanaamini hizo propaganda za enzi zao. Uhayawani unaofanyika kwenye chaguzi zetu kwa sasa ni tofauti kabisa.Usiradharau wazee acha kauli za kibaguzi. Hauna ubora wowote kumzidi mzee. Wote ni sawa
Ni Mzee alafu mchawiWw utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio Bado wanatembea na hii propaganda outdated.
Inaonekana unajua mengi,Hakuna wizi wa kura ni udanganyifu wa wapiga kura au kura za kudanganya. Maana yake mtu mmoja kupigia kura majina mengi. Sasa usiniulize inafanyikaje
Vijana wa CCM wanakwenda kuanzisha fujo makusudi kituoni kwamba hawamtaki mpiga kura Fulani. Katikati ya fujo wanatokea Polisi na Kura kwenye mabegi. Sanduku linafunguliwa watu wote wakiwa nje ya kituo cha kupigia Kura. Polisi wanaweka Kura zilizopigwa tayari. Pengine wanaweka zaidi ya waliojiandikisha kwenye kituo ndo maana unakuta jumla ya Kura walizopata wagombea zinazidi waliojiandikisha.Salaam, Shalom!
Wakati tukielekea uchaguzi, vyama hutoa malalamiko kuwa wanaibiwa kura na kwakuwa tunapambana kuhakikisha, tunapata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote, ni vyema tukazizua Mbinu waovu ambazo huzitumia kuiba kura.
Unapokaribia uchaguzi, kuna viongozi hupita nyumba hadi nyumba wakirekodi namba za vitambulisho vya wapiga kura, matumizi hasa ya namba hizo ni zipi?
Kinga ni Bora kuliko Tiba.
Karibuni [emoji120]
Hakuna Wizi wa Kura unaofanyika. Neno Wizi ni neno linalotumiwa na Mwanasiasa kuwaaminisha Wafuasi wake kuwa ameibiwa kura ili waendelee kumuunga Mkono. Mfano kuna Chama kimoja Mgombea wake alisimimia Kituo cha Kupigia kura na Kwenye kituo hicho aliamini atapata kura nyingi lakini Matokeo yake akapata sifuri na akapota Kwenye vituo Vingine vikubwa akapna amepata kura ila amezidiwa. Hicho chama kilikuwa kimeahidiwa na Chama rafiki kule Ujerumn kuwa kikipata hata Mbunge Mmoja kitapewa Mkopo lakini kiliishia kupigwa. Walichokifanya wakaanza kumfukuzia kila Mmoja wamkamatishe kura feki nilichekaa sana ili watengeneze utetezi kwa wadhamini wao. Hizi Siasa acha tu ile nyie hizi fedha zitakuja kuuua Watu 🤣🤣🤣🤣Salaam, Shalom!
Wakati tukielekea uchaguzi, vyama hutoa malalamiko kuwa wanaibiwa kura na kwakuwa tunapambana kuhakikisha, tunapata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote, ni vyema tukazizua Mbinu waovu ambazo huzitumia kuiba kura.
Unapokaribia uchaguzi, kuna viongozi hupita nyumba hadi nyumba wakirekodi namba za vitambulisho vya wapiga kura, matumizi hasa ya namba hizo ni zipi?
Kinga ni Bora kuliko Tiba.
Karibuni 🙏
Niliyoyaona na kushuhudia 2020 hayajawahi tokea tangu Tanzania iwe huru,Kura huwa haziibiwi Bali washabiki wa chadema Huwa ni kelele za majukwaani tu, ikifika muda wa kupiga kura hawaendi kwenye vituo vya kupiga kura!
Kweli kabisa.Kuna kuiba kura na kuiba uchaguzi.
Ukiwa na ujinga kama kupita bila kupingwa, ukiwa unateua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, ikiwa unachanganya resourves za serikali na chama kwenye uchaguzi, hapo unaiba uchaguzi, huibi kura tu.
Ya 2019&2020 hazikuibwa kura, uliibwa uchaguzi.Niliyoyaona na kushuhudia 2020 hayajawahi tokea tangu Tanzania iwe huru,