Watawala hawakuondolewa kwa wananchi kupiga kura kwenye mfumo ulioweza kuiba uchaguzi mzima.
Watawala waliondolewa kwa mbinu nyingi sana nyingine.
Na bila ku employ mbinu hizo, ukijikita kwenye kuzuia wizi wa kura, wakati watawala wana control sheria za uchaguzi zinazoruhusu mtu kuwa mbunge bila kupigiwa kura (kupita bila kupingwa, though I believe wanaiondoa hii sasa, wabunge wa kuteuliwa na rais, etc) unaweza kuzuia wizi wa kura ukaibiwa uchaguzi mzima.
Sipingi kuzuia wizi wa kura, kuzuia wizi wa kura kunaweza kuleta muamko kwa wapiga kura na kuibua mengi ambayo hatuyajui, kwa hiyo ni juhudi nzuri. Lakini, that is not strategic enough to make a difference.
Stalin anaripotiwa kusema "The people who cast the votes don't decide an election, the people who count the votes do."
There is an even better layer to this.
The people who decides who count the votes and control the election process control the whole thing.