maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Wizi ni kitu kibaya sana... Tuukatae kwa nguvu zote. Tulinde kura zetuSalaam, Shalom!
Wakati tukielekea uchaguzi, vyama hutoa malalamiko kuwa wanaibiwa kura na kwakuwa tunapambana kuhakikisha, tunapata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote, ni vyema tukazizua Mbinu waovu ambazo huzitumia kuiba kura.
Unapokaribia uchaguzi, kuna viongozi hupita nyumba hadi nyumba wakirekodi namba za vitambulisho vya wapiga kura, matumizi hasa ya namba hizo ni zipi?
Kinga ni Bora kuliko Tiba.
Karibuni 🙏