Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Sio Twitter tu mpaka application ya JAMIIFORUMS kwenye AppStore na PlayStore hazipooo

ukisearch haziji kabisa sa sijui ndo road to election dats y this happens or ni matatizo ya kimtandao
 
Watumiaji wa mtandao wa twitter wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
Hata tigo mzee wanatuletea uhanisi wao wanawaogopa activists wa Twitter,tangu jana usiku napambana wapi wanaajikuta wajanja sana wanaifungia halafu baada ya muda wanaachia then wanafunga tena,yaani wanafanya kungata na kupuliza
 
Watumiaji wa mtandao wa twitter wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
Kumbe hata mimi ninaona telegram haipatikani, whatsapp nayo imekuwa mara msg zinaingia mara zinagoma siwez hata download kitu chochote whatsapp nilichotumiwa hata kiwe na kb 30
 
Whatsapp pia wamefunga
 
Nipo Los Angeles hapa kwa muda[emoji23]
Screenshot_20201027-091915.jpg
 
Back
Top Bottom