Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Tulia mkuu tumepigwa spana wote wametuachia livescore tu na JF
 
Yaani ni mawazo mabaya kabisa Mungu awahukumu kwa haki wasimamizi na waratibu wa mawazo hayo
Mi huwa natumia Uber na litlide kwenye mishe zangu nyingi lakini kuanzia jana mpaka Leo nimekwama... YouTube Mara ya mwisho kuingia nijana usiku nikiangalia vituko vya Simba dhidi ya Ruvu.. lakini leo Holaa...Nimekwazika sana
 
Niko zangu LONDON kutokea SUMBAWANGA.

naenjoy mitandao ya kijamii yote bila purukushani
Screenshot_20201027-211908.jpg
 
Tanzania viongozi njaa mno awajui deal na watu

Ningekua kiongozi ningekua nawapiga makofi mazito uku nawabembeleza ikiwezekana ata soda nawapa

Yani unakuta likiongozi linakomaaa kula hela ya maskini!! Jamani

Ukiangalia maskini ni wengi Tanzania.

Tuige ata siasa za wenzetu kidogo yani kama german uku kila mtoto chini ya miaka 18 analipwa kila mwezi €200 damn good!
Njoo bongo mtu unapewa mkopo ml 6 within 4 years of study ukimaliza unadaiwa kama umekopa vikoba!

Kwa nini ile hela ya mkopo chuo isiwe mkopo bali iwe ni hela ambayo mtanzania ana i enjoy kwa kupita viboko vya la kwanza B mpaka form six EGM???

Kwani kodi wanayo tukata kwenye kila bizaa kwanzia daftari za kuandikia mpaka soksi za punda mlia azifiki ml 10 ??

Ukitaka kula na kipofu usimguse mkono........utajuta
 
Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga hivi.
 
Wapendwa wanajamiiforums mimi sina mawasiliano ya Twitter na instagram, Je ni watu wote wanatatizo hilo au ni mimi tu?
 
Tanzania tumerudi nyuma miaka 60. Watu wanatumia njia haramu za kila namna ikiwemo wizi ili kung’ang’ania madaraka.
No it is about National Security!!!
Usije shangaa kesho JF ikawa haiko hewani....kidding!!!!
😀😀😀😀😀
 
Hapo ndiyo ujue kuwa wanawazidi kila kitu isipokuwa wanawaachaga tuu! Pigeni umbea wenu sasa.
yaani wewe unafurahia ujinga aisee, yaani mtu anakunyima mawasiliano hata na ndugu zako wewe unafurahi, mpaka email zimefungiwa, wengine tunapokea kazi kupitia email, so pathetic
 
Mi natumia halotel ap zote azifunguki kuanzia saa tsa nane mchana wa leo
 
It has nothing to do with National security but to hide the stealing of the election and killings of innocent Tanzanians.
No it is about National Security!!!
Usije shangaa kesho JF ikawa haiko hewani....kidding!!!!
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom