Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Wengine wanaomba picha zaidi kujiridhisha, huwenda zile ulizo upload hazionekan vizuri, au kuna kitu alitegemea atakiona kwenye picha hajakiona vizur ndio maana anaomba picha zaidi.Jiwe gizani
Wasumbufu wameguswa hapo juu
Ukiona blue ticks kwenye whatsap yangu unaweza ukaacha kabisa online business
Mtu anakuja na screenshot yenye bei Halafu anakuuliza bei gani?
Umeandika location anauliza unapatikana wapi
Picha umeweka anaomba picha zaidi
Wengine wanaomba mpaka feedback kutoka Kwa wateja wengine [emoji119]
Feedback toka kwa wateja wengine ni muhimu..maana hata aliexpress na nk huko unakuta watu wameweka reviews zao kibao...
Hili nalo ni tatizo au anataka utaje bei kwa kila anaye coment, mimi huwa nawapotezea mazima yaani anaona wa juu yake umemtajia bei na yeye anataka umtajie kwenye coment yake,
Ukiwa mfanyabiashara kitu cha kwanza kabla ya vyote unatakiwa ujue mteja ni MFALME na MFALME anaweza akauliza au akataka kujua chochote kutoka kwako
Ungekua umesoma Customer care na Entrepreneur nadhani hio situation isingekupa shida maana ungejua una-deal na wateja wa aina ipi
Wengine wanaomba picha zaidi kujiridhisha, huwenda zile ulizo upload hazionekan vizuri, au kuna kitu alitegemea atakiona kwenye picha hajakiona vizur ndio maana anaomba picha zaidi.
Mda mwingine inabidi muwavumilie tu ukiwa mkali na nongwa nyingi unajikuta unafukuza mteja.
Labda nature ya biashara unayofanya, lakini binafsi sidhani kama kuomba picha zaidi na maelezo kuna ubaya.Biashara yangu si ya hivyo hata
Yaani picha nnazopiga ndo mawinga wanatumia kuuzia bidhaa
Na kwangu issue siyo picha ni kilichopo ndani
Waomba picha huwa wana kazi ya kwenda kutafuta bidhaa pengine,
Anaenda kwa fulani anamuuliza product anaambiwa lete picha, Anarudi kwangu anatomba picha anatuma kule,
Kudeal na wanawake kwenye biashara muda mwingine inabidi kuwa mkali , unless wanakupotezea muda bila sababu
Asilimia kubwa ya wafanyabiashara wa Mitandaoni ni matapeli na wajanja wajanja.......
Nilikwenda kwenye duka wanauza betri mbalimbali.Ingawa niweke wazi kuna baadhi ya wauzaji hawana elimu ya vile vitu wanavyoviuza hii hata physically nimegundua. Unaiona bidhaa unamuuliza kuhusu baadhi ya sifa zake hata hajui hizo sifa ni kitu gani.
mfano mtu anauza computer anachojuanyy ni ram na hdd tu. unamuuliza hii processor ni i5 gen ya ngapi hajui.
mtu anauza simu anachojuayeye ni Ukubwa wa kamera ram na Storage tu.
Mfano umeandika upo Dar, tabata kimanga.Yaani chief watu wanakuuliza maswali ambayo yana majibu kwenye description tena umeyapanga very clear.
Wa kweli ni wengi mno mkuu ni umakini tu kwenye kujua unachonunua wanaopigwa wengi ni wapenda cheap.Ila wapo wengi pia ambao ni wakweli.
Mimi nilinunua simu shilingi 800k kwa mtu nisiemjua nimeona tu picha instagram. Na akatuma vizuri bila shida. Then nikamuagizia na wife simu ya 1.8m na ikaja kwa basi simu mpya kabisa mpaka leo anaitumia.
Kuna jamaa anauza sendo nikaagiza 55k, size ikawa ndogo akaniambia nizirudishe. Kurudisha akaniambia kubwa yake zimeisha zitakuja baada ya mwezi, nikajua nimeshapigwa. Mwezi umepita mi nikawa nimeshasahau, nashangaa jamaa kanipigia simu mwenyewe bro mzigo umeshakuja kesho napakia.
Hawa wajanja wajanja wachache wanawaharibia biashara wale wastaarabu.
Hakuna mteja msumbufu, kumbuka unataka pesa yake naye pia anataka kujilizisha! nishanunua online kuna kipindj unakuwa unasita fikiria bidhaa ya million unadhani hautakuwa na maswali mengi,? lkn sasa hapo mtoa huduma ndio anapokuona msumbufu!Mkuu pote ni hivyo hivyo tu....watanzania sisi ni wasumbufu sana, vumilia tu ndio biashara
Mkuu nicheki nikukaribishe kwenye biashara yangu kwa products za kisasa na za quality.Ila wapo wengi pia ambao ni wakweli.
Mimi nilinunua simu shilingi 800k kwa mtu nisiemjua nimeona tu picha instagram. Na akatuma vizuri bila shida. Then nikamuagizia na wife simu ya 1.8m na ikaja kwa basi simu mpya kabisa mpaka leo anaitumia.
Kuna jamaa anauza sendo nikaagiza 55k, size ikawa ndogo akaniambia nizirudishe. Kurudisha akaniambia kubwa yake zimeisha zitakuja baada ya mwezi, nikajua nimeshapigwa. Mwezi umepita mi nikawa nimeshasahau, nashangaa jamaa kanipigia simu mwenyewe bro mzigo umeshakuja kesho napakia.
Hawa wajanja wajanja wachache wanawaharibia biashara wale wastaarabu.
Hii km ni kweli basi labda useme ni uko mambeleni. bongo tunajuana vizuri hakuna mtu wa kukufanyia uaminifu uo na hasahasa iwe DSM!Ila wapo wengi pia ambao ni wakweli.
Mimi nilinunua simu shilingi 800k kwa mtu nisiemjua nimeona tu picha instagram. Na akatuma vizuri bila shida. Then nikamuagizia na wife simu ya 1.8m na ikaja kwa basi simu mpya kabisa mpaka leo anaitumia.
Kuna jamaa anauza sendo nikaagiza 55k, size ikawa ndogo akaniambia nizirudishe. Kurudisha akaniambia kubwa yake zimeisha zitakuja baada ya mwezi, nikajua nimeshapigwa. Mwezi umepita mi nikawa nimeshasahau, nashangaa jamaa kanipigia simu mwenyewe bro mzigo umeshakuja kesho napakia.
Hawa wajanja wajanja wachache wanawaharibia biashara wale wastaarabu.
Wewe ndio mshambaSijui hata nani kawaloga. Unaweka maelezo yote kamili bei na njia ya mawasiliano etc.
Anakuja mtu anakuuliza maswali ambayo majibu yake kwenye maelezo ulishaweka. Yaani mwisho wa siku ni usumbufu tu. Anakwambia naomba picha zaidi wakati picha za kutosha umeshaweka kwenye tangazo. Mwingine anauliza bei tena wakati bei umeshaweka.
Anakuja anakusumbua maswali kibao mwisho wa siku anakwambia eti niidhani hivi na vile. Una muuliza ina maana maelezo ya bidhaa hukusoma kwenye Tangazo?
Ingawa wateja serious wachache sana pia huwa wapo tena hawanaga mambo mengi ni anakuja tu moja kwa moja anauliza discount na njia ya kuipata.