Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

Midume inahadaa watoto wadogo mzee. Tatizo ni la wanaume na wazazi kwa upande mwingine, na umasikini pia. Binti wa miaka 15 aliyepo kwenye dhiki kutunza bikira ndo nini? Acha wanaume wanaowadhulumu na kuishia kuificha hiyo Siri. Fanya research bikira nyingi hazitoki kwa hiari.
Hivyo mambo ya alikuwa wapi kutunza siyo applicable sanaa
 
Kumeza mikia una maanisha wale wanaozimeza kupitia BJ ama nini?

Nashukuru Mungu nilioa mwaka 47, ambapo bikra zilikuwa nyingi miaka Ile

Hata sasa bikira ni nyingi sana.
Tatizo vijana hawajapelekwa jando.
Mabinti hawachelewi kukua. Unakosaje bikira.

Ukiwa na miaka 30 unauwezo wa kuoa binti wa miaka 17. Unakosaje bikira?
 
Midume inahadaa watoto wadogo mzee. Tatizo ni la wanaume na wazazi kwa upande mwingine, na umasikini pia. Binti wa miaka 15 aliyepo kwenye dhiki kutunza bikira ndo nini? Acha wanaume wanaowadhulumu na kuishia kuificha hiyo Siri. Fanya research bikira nyingi hazitoki kwa hiari.
Hivyo mambo ya alikuwa wapi kutunza siyo applicable sanaa

Mahakama zipo. Waende wakashtaki kama hazitoki kwa hiyari.

Pili, wazazi wana play role kubwa kwenye kujitunza kwa mtoto. Hilo ukubali ukatae.
Mpaka mtoto anadanganywa ni kwamba mzazi ameshindwa malezi
 
Hata sasa bikira ni nyingi sana.
Tatizo vijana hawajapelekwa jando.
Mabinti hawachelewi kukua. Unakosaje bikira.

Ukiwa na miaka 30 unauwezo wa kuoa binti wa miaka 17. Unakosaje bikira?
Bikra miaka hii zinatolewa mabinti wakiwa kwenye 11s

Ukisema usubiri afike miaka 18, unakuta wahuni waligusa kotekote na hazipo

Usisahau Kuna bikra za kutengeneza pia

Na hizo ndiyo zipo nyingi hapa DSM
 
Mahakama zipo. Waende wakashtaki kama hazitoki kwa hiyari.

Pili, wazazi wana play role kubwa kwenye kujitunza kwa mtoto. Hilo ukubali ukatae.
Mpaka mtoto anadanganywa ni kwamba mzazi ameshindwa malezi
Yes wazazi, wanaume (tena wale wa kitaa wachafu wachafu, umasikini, elimu, and the like).
Wabongo sio watu wa mahakamani mzee. Case hizo humalizwa kimya kimya. Ukikuta mtuhumiwa ana uwezo ndo hivyo tena utazungushwa na mapolisi mpaka basi. Mnyonge nchi hii hana haki
 
KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa. Na pia waliooa ambao wanawake wasio bikira. Na vijana wenye wachumba ambao hawakuwakuta bikira.
Hivyo kama upo kundi lolote usiendelee kusoma makala hii. Kuendelea kusoma ni kuamua kumeza sumu kwa makusudi alafu ulaumu mtengenezaji. Madhara yoyote ya kihisia na kisaikolojia utakayoyapata yatakuwa juu yako mwenyewe. Sitahusika.

Moja ya maajabu ya zama hizi ni watu kufurahia aibu na fedheha.
Zamani watu wengi sana walikuwa hawapendi aibu, kujiabisha na kuabishwa iwe sirini au mbele za watu.

Lakini mambo yamegeuka. Siku hizi mtu anaweza kufanya jambo la aibu au kufanyiwa jambo la aibu na akalisherehekea na kuserebuka.

Zamani ilikuwa aibu kubwa isiyo na kifani kwa Binti kuolewa bila ya Bikira yake.
Ilikuwa aibu yake binafsi.
Aibu ya Wazazi na walezi waliomlea kwamba hawakufanya kazi yao vizuri.
Na ilikuwa aibu na mkosi kwa muoaji.

Zamani familia ya muoaji na muoaji mwenyewe wangekataa katakata kuoa mwanamke asiye na bikira. Ilikuwa aibu ya halaiki.

Binti alikuwa na wajibu kujitunza. Hata angeshawishiwa vipi, kwagharama gani angeitunza bikira yake.
Kwa sababu bikira ilikuwa kama Alama na ishara ya uadilifu wake,
Usafi wake, na uaminifu wake.

Mwanamke bikira alichukuliwa kama mwanamke mwenye tabia njema. Asiye malaya. Huku asiye na bikira na hakuolewa akichukuliwa ni Malaya.

Mama alikuwa na jukumu la kuhakikisha binti anabaki kwenye misingi ya usafi na uaminifu. Mpaka atakapoolewa.

Siku ya harusi ilikuwa siku kubwa.
Familia ya mwanamke ilikuwa inasherehekea jinsi walivyomkuza na kumlea mtoto wao katika maadili. Na bikira ndio ilikuwa kielelezo, ushahidi.
Kwamba binti yetu ni mwaminifu, ni msafi, anatabia njema ndio maana umemkuta Bikira.
Alikataa wengi kwaajili yako.

Lakini mzazi hawezi kusema binti yake alikataa wengi wakati binti mwenyewe hana bikira. Alikataa watu wapi hao? Mbona bikira hana? Je kama alilala na wanaume kumi au ishirini, hamsini. Kama aliwakubalia wakalala naye niniwalibakiza?
Ipi tofauti yao na mimi muoaji? Jibu ni hakuna tofauti yoyote.

Kile alichopewa Mume ndicho walichopewa ambao sio waume. Tena sio ajabu walipewa bila gharama yoyote.

Ilikuwa Aibu kubwa kuoa mwanamke aliyemeza mikia na mijusi aina aina.

Lakini sasa hivi. Dunia imepinduka.

Fikiria mwanaume ambaye amemkuta mwanamke asiyena bikira. Mwanamke aliyemeza mikia mingi.
Bila kujijua au tuseme labda kalogwa. Au tuseme hajui anachokifanya.

Analipia aibu ya mwanamke tena kwakulialia. Ana bargain 😆😄. Anaambiwa mahari milioni tano. Analilia aibu. Wanamuambia lipia milioni 3.
Basi analipia mbili anadaiwa moja.

Wanaandaa sherehe ya harusi kujiabisha.
Wanashona sare ya kujiabisha na kujichoresha.
Wanatafuta ukumbi wa kusherehekea aibu hiyo.
Wanaweka na muziki.
Hahaha! Hii Dunia kweli maajabu hayaishi. Na kua uyaone.

Wanaume ambao mikia yao ilimezwa wanakuja kukushangaa jinsi unavyoserebuka. Unaenjoy kweli.

Hata kama ni kujidharau lakini sio kwa kiwango hicho aiseeh!

Binti hana bikira huna haja ya kumtolea mahari.
Binti kama hana bikira huna haja ya kufunga naye harusi ili ujichoreshe. Jiheshimu Bro.

Hao wazazi wabinti waambie waziwazi. Kwamba wewe hutotoa mahari au kulipia kitu ambacho wengine walikipata burebure. Hiyo ni moja.
Pili, hutofanya sherehe ya kujiabisha. Hawataki wapite hivi.

Na huu ni wito wetu wazazi maana kila mtu ni mzazi hapa.
Kama unataka heshima. Linda heshima yako. Tulee binti zetu kimaadili, wawe wasafi, waolewe wakiwa na bikira zao.
Hapo mzazi unaweza kusema umelea na binti yako anamaadili.

Sasa unasema binti yako umemlea kwenye maadili. Alafu bikira halina. Hivi zinakutosha kweli. Unazungumzia maadili gani. Unasema binti anamaadili. Amgekuwa na maadili angemeza mijusi na mikia kabla ya ndoa?

Ni jukumu la wazazi tulifuatilie jambo hili.
Masuala ya visingizio vya kipumbavu hayavumiliki.

Vijana unahaki ya kuleta visingizio kwa binti ambaye hukumkuta bikira.
Kama wanavisingizio na wewe toa visingizio kwamba hutotoa mahari wala kufanya sherehe isiyo na kichwa wala miguu.

Ni jukumu la binti kujilinda asitoe uroda mpaka siku atakayoolewa ili iwe sherehe kwake na kwa mumewe. Ndio maana ya harusi. Kusheherekea tendo la ndoa kwa mume na mke.

Sasa unafanya harusi kwa mtu ambaye wewe ni wakumi na tisa huko. Hata akikuambia ni mmoja huna uthibitisho.
Uthibitisho ni wewe kuwa namba moja. Kukuta bikira basi.

Nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Haikuwa mpango wa Mungu, watu kuingia kwenye ndoa na mileage zimesoma, tazama;
"Mambo ya Walawi 21:13-14 Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake. Asitwae mjane, wala mwanamke aliyeachwa na mumewe, wala mwanamke mwenye unajisi, wala kahaba; lakini atamwoa mwanamwali katika watu wake mwenyewe"

Biblia ilienda mbali zaidi kwa kuelekeza adhabu kwa binti anayeolewa bila usichana;
Kumbukumbu la Torati 22:20-21 Kama shtaka ni la kweli na hakuna uthibitisho kuhusu ubikira wa huyo msichana uliopatikana huyo msichana ataletwa kwenye mlango wa nyumba ya baba yake, na hapo wanaume wa mji wake watampiga kwa mawe hadi afe. Amefanya kitu cha aibu katika Israeli kwa kufanya ukahaba akiwa nyumbani mwa babaye. Lazima mwondoe uovu kati yenu.

Lakini baada ya dunia kuharibika kiasi hiki, katika biblia twasoma;
Hosea 1:2 BWANA aliponena kwa kinywa cha Hosea, BWANA alimwambia Hosea: “Nenda ukaoe mwanamke mzinzi, uzae naye watoto wa uzinzi, maana watu wa nchi hii wanafanya uzinzi mwingi kwa kuniacha mimi.”

Katika mazingira kama haya hakuna jinsi ni kukubaliana tu na hali. Huwezi kuzuia mabadiliko!
file_00000000f6b48206b217f1cdbe6c0e05.png
 
Haya unayoyasema ndio ulikuwa mpango wa Mungu, tazama;
"Mambo ya Walawi 21:13-14 Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake. Asitwae mjane, wala mwanamke aliyeachwa na mumewe, wala mwanamke mwenye unajisi, wala kahaba; lakini atamwoa mwanamwali katika watu wake mwenyewe"

Biblia ilienda mbali zaidi kwa kuelekeza adhabu kwa binti anayeolewa bila usichana;
Kumbukumbu la Torati 22:20-21 Kama shtaka ni la kweli na hakuna uthibitisho kuhusu ubikira wa huyo msichana uliopatikana huyo msichana ataletwa kwenye mlango wa nyumba ya baba yake, na hapo wanaume wa mji wake watampiga kwa mawe hadi afe. Amefanya kitu cha aibu katika Israeli kwa kufanya ukahaba akiwa nyumbani mwa babaye. Lazima mwondoe uovu kati yenu.

Lakini baada ya dunia kuharibika kiasi hiki, katika biblia twasoma;
Hosea 1:2 BWANA aliponena kwa kinywa cha Hosea, BWANA alimwambia Hosea: “Nenda ukaoe mwanamke mzinzi, uzae naye watoto wa uzinzi, maana watu wa nchi hii wanafanya uzinzi mwingi kwa kuniacha mimi.”

Katika mazingira kama haya hakuna jinsi ni kukubaliana tu na hali. Huwezi kuzuia mabadiliko!View attachment 3673969

Huo ndio ulikuwa utamaduni na heshima ya ndoa.
 
Japo bikra inaongeza thamani, lakini hata mimi mwanaume siwezi kuona thamani ya bikra ya mwanamke kama ndani hatuishi kwa amani.

Kama wapo wanaume wanaoishi na single mothers.. basi bikra ni kiburudisho tu, lakini sio hitimisho

🌸⚘️🪷🌸⚘️🌸
 
Unawezaje kuishi kwa amani na mwanamke ambaye hujui uaminifu wake? Huna uhakika kwamba wewe ni wangapi? Embu nieleze labda nitakuelewa
Kwanza hizo bikra hao watoto wa kike hutolewa na sisi wanaume, na siamini kama yupo mtoto wa kike mwenye akili zake anaweza tolewa bikra na mwanaume asiyempenda na kumuamini.

Lazima itakuwa alimpenda na kumuamini, sasa nini kikatokea after?!

Kama unazungumzia suala la uaminifu, hata sisi wanaume pia tunatakiwa kuulizwa kuhusu uaminifu wetu kwao, inakuwaje mtoto wa kike akatolewa bikra kisha akaachika?

Is it makosa ni yao tu? au na sisi tukishaonjeshwa tunaamua kwensa pengine kuonja tena!

Tatizo linaweza kuwa either side, but sio uoande mmoja tu kama unavyotaka kuliweka hapa, mambo ya mahusiano siku zote is a two way traffic, njoo nije tukutane!.
 
Back
Top Bottom