Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

Hawa huwa ni kuwachukua tu njoo tuishi, kama ataonekana ni mtulivu ndoani ndani ya miaka kumi bariki ndoa. Haina maana kufanya harusi na muhuni
 
Kwanza hizo bikra hao watoto wa kike hutolewa na sisi wanaume, na siamini kama yupo mtoto wa kike mwenye akili zake anaweza tolewa bikra na mwanaume asiyempenda na kumuamini.

Lazima itakuwa alimpenda na kumuamini, sasa nini kikatokea after?!

Kama unazungumzia suala la uaminifu, hata sisi wanaume pia tunatakiwa kuulizwa kuhusu uaminifu wetu kwao, inakuwaje mtoto wa kike akatolewa bikra kisha akaachika?

Is it makosa ni yao tu? au na sisi tukishaonjeshwa tunaamua kwensa pengine kuonja tena!

Tatizo linaweza kuwa either side, but sio uoande mmoja tu kama unavyotaka kuliweka hapa, mambo ya mahusiano siku zote is a two way traffic, njoo nije tukutane!.

Wewe nani mliowahi kuzitoa hizo bikira?

Mimi nilishafanyaga utafiti. Na wewe unaweza kuufanya pia hata humuhumu JF.
Ukikuta waliokutana na bikira hawawezi kufika asilimia 10. Hiyo 90 wote hawajawahi kukutana na bikira popote pale.

Ingekuwa kila mwanaume aliwahi kutoa bikira hoja ya kusema sisi wanaume ndio tunatoa bikira ingekuwa na mashiko.
 
KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa. Na pia waliooa ambao wanawake wasio bikira. Na vijana wenye wachumba ambao hawakuwakuta bikira.
Hivyo kama upo kundi lolote usiendelee kusoma makala hii. Kuendelea kusoma ni kuamua kumeza sumu kwa makusudi alafu ulaumu mtengenezaji. Madhara yoyote ya kihisia na kisaikolojia utakayoyapata yatakuwa juu yako mwenyewe. Sitahusika.

Moja ya maajabu ya zama hizi ni watu kufurahia aibu na fedheha.
Zamani watu wengi sana walikuwa hawapendi aibu, kujiabisha na kuabishwa iwe sirini au mbele za watu.

Lakini mambo yamegeuka. Siku hizi mtu anaweza kufanya jambo la aibu au kufanyiwa jambo la aibu na akalisherehekea na kuserebuka.

Zamani ilikuwa aibu kubwa isiyo na kifani kwa Binti kuolewa bila ya Bikira yake.
Ilikuwa aibu yake binafsi.
Aibu ya Wazazi na walezi waliomlea kwamba hawakufanya kazi yao vizuri.
Na ilikuwa aibu na mkosi kwa muoaji.

Zamani familia ya muoaji na muoaji mwenyewe wangekataa katakata kuoa mwanamke asiye na bikira. Ilikuwa aibu ya halaiki.

Binti alikuwa na wajibu kujitunza. Hata angeshawishiwa vipi, kwagharama gani angeitunza bikira yake.
Kwa sababu bikira ilikuwa kama Alama na ishara ya uadilifu wake,
Usafi wake, na uaminifu wake.

Mwanamke bikira alichukuliwa kama mwanamke mwenye tabia njema. Asiye malaya. Huku asiye na bikira na hakuolewa akichukuliwa ni Malaya.

Mama alikuwa na jukumu la kuhakikisha binti anabaki kwenye misingi ya usafi na uaminifu. Mpaka atakapoolewa.

Siku ya harusi ilikuwa siku kubwa.
Familia ya mwanamke ilikuwa inasherehekea jinsi walivyomkuza na kumlea mtoto wao katika maadili. Na bikira ndio ilikuwa kielelezo, ushahidi.
Kwamba binti yetu ni mwaminifu, ni msafi, anatabia njema ndio maana umemkuta Bikira.
Alikataa wengi kwaajili yako.

Lakini mzazi hawezi kusema binti yake alikataa wengi wakati binti mwenyewe hana bikira. Alikataa watu wapi hao? Mbona bikira hana? Je kama alilala na wanaume kumi au ishirini, hamsini. Kama aliwakubalia wakalala naye niniwalibakiza?
Ipi tofauti yao na mimi muoaji? Jibu ni hakuna tofauti yoyote.

Kile alichopewa Mume ndicho walichopewa ambao sio waume. Tena sio ajabu walipewa bila gharama yoyote.

Ilikuwa Aibu kubwa kuoa mwanamke aliyemeza mikia na mijusi aina aina.

Lakini sasa hivi. Dunia imepinduka.

Fikiria mwanaume ambaye amemkuta mwanamke asiyena bikira. Mwanamke aliyemeza mikia mingi.
Bila kujijua au tuseme labda kalogwa. Au tuseme hajui anachokifanya.

Analipia aibu ya mwanamke tena kwakulialia. Ana bargain 😆😄. Anaambiwa mahari milioni tano. Analilia aibu. Wanamuambia lipia milioni 3.
Basi analipia mbili anadaiwa moja.

Wanaandaa sherehe ya harusi kujiabisha.
Wanashona sare ya kujiabisha na kujichoresha.
Wanatafuta ukumbi wa kusherehekea aibu hiyo.
Wanaweka na muziki.
Hahaha! Hii Dunia kweli maajabu hayaishi. Na kua uyaone.

Wanaume ambao mikia yao ilimezwa wanakuja kukushangaa jinsi unavyoserebuka. Unaenjoy kweli.

Hata kama ni kujidharau lakini sio kwa kiwango hicho aiseeh!

Binti hana bikira huna haja ya kumtolea mahari.
Binti kama hana bikira huna haja ya kufunga naye harusi ili ujichoreshe. Jiheshimu Bro.

Hao wazazi wabinti waambie waziwazi. Kwamba wewe hutotoa mahari au kulipia kitu ambacho wengine walikipata burebure. Hiyo ni moja.
Pili, hutofanya sherehe ya kujiabisha. Hawataki wapite hivi.

Na huu ni wito wetu wazazi maana kila mtu ni mzazi hapa.
Kama unataka heshima. Linda heshima yako. Tulee binti zetu kimaadili, wawe wasafi, waolewe wakiwa na bikira zao.
Hapo mzazi unaweza kusema umelea na binti yako anamaadili.

Sasa unasema binti yako umemlea kwenye maadili. Alafu bikira halina. Hivi zinakutosha kweli. Unazungumzia maadili gani. Unasema binti anamaadili. Amgekuwa na maadili angemeza mijusi na mikia kabla ya ndoa?

Ni jukumu la wazazi tulifuatilie jambo hili.
Masuala ya visingizio vya kipumbavu hayavumiliki.

Vijana unahaki ya kuleta visingizio kwa binti ambaye hukumkuta bikira.
Kama wanavisingizio na wewe toa visingizio kwamba hutotoa mahari wala kufanya sherehe isiyo na kichwa wala miguu.

Ni jukumu la binti kujilinda asitoe uroda mpaka siku atakayoolewa ili iwe sherehe kwake na kwa mumewe. Ndio maana ya harusi. Kusheherekea tendo la ndoa kwa mume na mke.

Sasa unafanya harusi kwa mtu ambaye wewe ni wakumi na tisa huko. Hata akikuambia ni mmoja huna uthibitisho.
Uthibitisho ni wewe kuwa namba moja. Kukuta bikira basi.

Nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Halafu unaanza kumpost post eti my the only one

Ni kweli wanawqke hubadilika ila akishameza meza mikia wewe oa then lea familia
 
Wanaopaswa kusheherekea honyemoon na harusi zao ni wale wenye bikra ya kiume na kike

Huwezi kuniambia mwanamke kalala na watu zaidi ya 5 eti nae anaenda honeymoon

Zamani honeymon watu walikuwa wanategemea kuona shuka lina damu au that day ndio siku ya kwanza kwa mwanamke kuingililiwa… mtoto analia kitu haipiti…. That was honeymoon
Now days honeymoon watu wanaenda kukaliana ma dogy style na blow job za kufa mtu ni kuoneshana maufundi

Ukiona honeymoon unaenda kukaliwa dogy………🤣 wafwaa 🏃🏿
 
Siwez kusoma hii ngonjera yote, ila kichwa cha habari naunga mkono
 
Wewe nani mliowahi kuzitoa hizo bikira?

Mimi nilishafanyaga utafiti. Na wewe unaweza kuufanya pia hata humuhumu JF.
Ukikuta waliokutana na bikira hawawezi kufika asilimia 10. Hiyo 90 wote hawajawahi kukutana na bikira popote pale.

Ingekuwa kila mwanaume aliwahi kutoa bikira hoja ya kusema sisi wanaume ndio tunatoa bikira ingekuwa na mashiko.
Aisee...

Kumbe huwa zinatokewa na nini?

Au wanajitoa wenyewe!.

Utafiti wako ulikupa jibu gani?!
 
Kwanza sikupingi hata kidogo Bali naunga mkono andiko lako lote Mimi na family yangu na majirani zangu wote tumeliunga mkono pasina shaka yoyote ile.

Mwanaume kuoa mwanamke asiye bikira ni kithibitisho tosha kuwa Hana Akili hata kidogo.(Hata kama ana degree au PhD)

Kipimo Cha kwanza Kwa mwanamke anayefaa kuwa mke ni uaminifu wake. Uaminifu wake hupimwa na kuwa na bikira yake Kisha vigezo vingine hufuata.

Kuoa mwanamke asiyebikira unakuwa na uhakika usio na shaka kuwa :-

1: ULITOMBEWA
2: UNATOMBEWA
3: UTATOMBEWA NI SWALA LA MUDA.

Hivyo kamwe huwezi kuwa na Imani kamwe na mwanamke ambaye umemuoa na unashihidi kuwa amewahi kula mikia!

Ni mwanaume rofa pekee ndo atapingana na ukweli huu.

Mungu akubariki sana mkuu Kwa kujitoa kuwaokoa wanaume wenzetu kwani walitakiwa walipie kupata Elimu hii nzuri ajabu!
 
Back
Top Bottom