Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

Mojawapo ya Dalili ya mwanaume aliye jishusha thamani yeye mwenyewe ni kuoa mwanamke aliyetumika yaani asiye bikira!

Yeye mwenyewe muolewaji anakuona wewe ni rofa tu na huna maajabu.

Kiasili mwanamke Hadi anaingia kaburini Huwa hawasahau wanaume Hawa duniani:-

1:-Baba yake mzazi
2:- Aliyemtoa Bikira
3:- Aliyemzalisha mtoto wa kwanza
( mwanaume aliye mfanya aitwe mama)

Wengine woote mtakao fuata hapo hamna maajabu kwake Bali ni marofa TU kama malofa wengine
Automatically ndoa yako au mahusiano yako yatakuwa chini ya Ex wake siku zote za maisha yenu siku akiamua kurudisha majeshi yake wewe lofa huna chako!

Ndio maana tunasema siku zote usioe mke wa mtu jombaa.
 
Asilimia kubwa umeongozwa na Mungu kuandika hapa asilimia chache ni akili ya kawaida tu generally Mungu akubariki.
Hawa watu wanaosomba wanaume au wanawake wakichoka wakataka kuoa au kuolewa wasisumbuke kuvaa shera au mavazi rasmi maana yanaashiria bado bikra.Acheni unafiki wafahamishe wazazi na viongozi wa dini mahali iwe ndogo sana muoane yaishe.
Asante muleta mada
Ezekieli 44:22-23
 
Nimesoma ANGALIZO pekee!

Kwa uzoefu wangu,hao mabikira wengi tu wana ma-ex zao ambao waliwavulia hadi chupi,wakafanya foreplay jamaa akasugua kiharage halafu mashine ikafeli kupenya kutokana na ugeni au drama za mtolewaji.

Bikra over 16yrs wengi wamekuwa kwenye mahusiano ya kuvuana hadi chupi na hao ma-ex wakiihitaji wanaichapa tu
 
Katika karne hii kuzungumzia bikra ni jambo gumu sana kwasababu hata huko wanakotunza bikra inasemekana kunaupande huwa unatumika.
Kila mwanaume angependa kuoa bikra LAKINI tatizo hizo bikra nichache sana na sisi hao hao wanaume tunaotaka bikra tunaziharibu mapema harafu hatuzioi.
Mfumo WA maisha ya kisasa yanawafanya mabinti kuanza mahusiano mapema sana, miaka kumi namoja,kumi na mbili unakuta tayari kabinti kameshagawa. Wewe unakutana nae anamiaka 20 huko unakuta mlango uko wazi waweza ingiza hata miguu yote.
 
Mojawapo ya Dalili ya mwanaume aliye jishusha thamani yeye mwenyewe ni kuoa mwanamke aliyetumika yaani asiye bikira!

Yeye mwenyewe muolewaji anakuona wewe ni rofa tu na huna maajabu.

Kiasili mwanamke Hadi anaingia kaburini Huwa hawasahau wanaume Hawa duniani:-

1:-Baba yake mzazi
2:- Aliyemtoa Bikira
3:- Aliyemzalisha mtoto wa kwanza
( mwanaume aliye mfanya aitwe mama)

Wengine woote mtakao fuata hapo hamna maajabu kwake Bali ni marofa TU kama malofa wengine
Automatically ndoa yako au mahusiano yako yatakuwa chini ya Ex wake siku zote za maisha yenu siku akiamua kurudisha majeshi yake wewe lofa huna chako!

Ndio maana tunasema siku zote usioe mke wa mtu jombaa.
Kuto kumsahau aliyemtoa bikra huo ni uongo, ukipiga NAO stori wengine walishasahau hata hiyo bikra ilitokaje. Sanasana wanasema humkumbuka sana mwanaume aliemdatisha hili kwao hata kama yuko kwenye ndoa anaweza akachiti
 
Lakini mkuu Robert Heriel Mtibeli kwa huku kijijini watu wanaoa single mother wanaoa wasio na bikra,pia wanaishi vizuri na wanazaliana kama kawaida halafu hakuna kuibiana watoto.
Sijui nyie wa huko wa mjini

Hakuna kuiabiana watoto?

Siku zote utaishi vizuri kama huna maarifa mengi na umeamua kufumba macho yako yasione.

Hata kwenye siasa usipoifuatilia huwezi kuwa na stress, huzuni na utaishi kwa amani. Sio kwa sababu kuna amani bali ni kwa sababu umeamua kutofuatilia.
 
Sisi hatukuoa bikra lakini wala haituumizi maana ndicho kizazi chetu. Sasa kama mwenyewe nilimezesha mob naumia vipi kukutana na iliyomezeshwa mob?
 
Aisee...

Kumbe huwa zinatokewa na nini?

Au wanajitoa wenyewe!.

Utafiti wako ulikupa jibu gani?!

Nimekuambia fanya research hapa. Wangapi waliwahi kukutana na bikira.

Au husomagi? Wanaosema bikira siku hizi hazipo? Kumaanisha hawakutani nazo.

Kwenye wanaume kumi utakaokutana nao. Mmoja tuu ndiye aliwahi kukutana na bikira. Jiongeze
 
Wanaopaswa kusheherekea honyemoon na harusi zao ni wale wenye bikra ya kiume na kike

Huwezi kuniambia mwanamke kalala na watu zaidi ya 5 eti nae anaenda honeymoon

Zamani honeymon watu walikuwa wanategemea kuona shuka lina damu au that day ndio siku ya kwanza kwa mwanamke kuingililiwa… mtoto analia kitu haipiti…. That was honeymoon
Now days honeymoon watu wanaenda kukaliana ma dogy style na blow job za kufa mtu ni kuoneshana maufundi

Ukiona honeymoon unaenda kukaliwa dogy………🤣 wafwaa 🏃🏿

Mwanaume utathibitisha vipi hajawahi kushiriki tendo la ndoa?
Mwanaume hanaga bikira labda kama unamaana nyingine ya kifirauni
 
Vilivyoolewa vibirikira huwa tunavikamua sana huku mtaani! Kuna kamoja nilikakamua kakawa kanashangaa baada ya kukafikisha Mawenzi ni cha awali Kibo kilele cha Pili!
Unajuaje kiliolewa bikira?

Mbona wanaume wa siku hizi mmekuwa na upeo mdogo hivi?

Mwanamke ambaye hukumkuta bikira huna uwezo wa kujua alilala na wanaume wangapi.

Mwanamke anaweza kujiuza pale kimboka, ukikutana naye akakuambia ameolewa akiwa na bikira na wewe ni mwanaume wa pili. Na kwa vile unaupeo mdogo lazima utaamini.
 
Hakuna kuiabiana watoto?

Siku zote utaishi vizuri kama huna maarifa mengi na umeamua kufumba macho yako yasione.

Hata kwenye siasa usipoifuatilia huwezi kuwa na stress, huzuni na utaishi kwa amani. Sio kwa sababu kuna amani bali ni kwa sababu umeamua kutofuatilia.
Kufuatilia kuhusu nini kupigiwa mzigo au kiaje sijaelewa
 
Back
Top Bottom