Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

Midume inahadaa watoto wadogo mzee. Tatizo ni la wanaume na wazazi kwa upande mwingine, na umasikini pia. Binti wa miaka 15 aliyepo kwenye dhiki kutunza bikira ndo nini? Acha wanaume wanaowadhulumu na kuishia kuificha hiyo Siri. Fanya research bikira nyingi hazitoki kwa hiari.
Hivyo mambo ya alikuwa wapi kutunza siyo applicable sanaa
 
Kumeza mikia una maanisha wale wanaozimeza kupitia BJ ama nini?

Nashukuru Mungu nilioa mwaka 47, ambapo bikra zilikuwa nyingi miaka Ile

Hata sasa bikira ni nyingi sana.
Tatizo vijana hawajapelekwa jando.
Mabinti hawachelewi kukua. Unakosaje bikira.

Ukiwa na miaka 30 unauwezo wa kuoa binti wa miaka 17. Unakosaje bikira?
 

Mahakama zipo. Waende wakashtaki kama hazitoki kwa hiyari.

Pili, wazazi wana play role kubwa kwenye kujitunza kwa mtoto. Hilo ukubali ukatae.
Mpaka mtoto anadanganywa ni kwamba mzazi ameshindwa malezi
 
Hata sasa bikira ni nyingi sana.
Tatizo vijana hawajapelekwa jando.
Mabinti hawachelewi kukua. Unakosaje bikira.

Ukiwa na miaka 30 unauwezo wa kuoa binti wa miaka 17. Unakosaje bikira?
Bikra miaka hii zinatolewa mabinti wakiwa kwenye 11s

Ukisema usubiri afike miaka 18, unakuta wahuni waligusa kotekote na hazipo

Usisahau Kuna bikra za kutengeneza pia

Na hizo ndiyo zipo nyingi hapa DSM
 
Mahakama zipo. Waende wakashtaki kama hazitoki kwa hiyari.

Pili, wazazi wana play role kubwa kwenye kujitunza kwa mtoto. Hilo ukubali ukatae.
Mpaka mtoto anadanganywa ni kwamba mzazi ameshindwa malezi
Yes wazazi, wanaume (tena wale wa kitaa wachafu wachafu, umasikini, elimu, and the like).
Wabongo sio watu wa mahakamani mzee. Case hizo humalizwa kimya kimya. Ukikuta mtuhumiwa ana uwezo ndo hivyo tena utazungushwa na mapolisi mpaka basi. Mnyonge nchi hii hana haki
 
Haikuwa mpango wa Mungu, watu kuingia kwenye ndoa na mileage zimesoma, tazama;
"Mambo ya Walawi 21:13-14 Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake. Asitwae mjane, wala mwanamke aliyeachwa na mumewe, wala mwanamke mwenye unajisi, wala kahaba; lakini atamwoa mwanamwali katika watu wake mwenyewe"

Biblia ilienda mbali zaidi kwa kuelekeza adhabu kwa binti anayeolewa bila usichana;
Kumbukumbu la Torati 22:20-21 Kama shtaka ni la kweli na hakuna uthibitisho kuhusu ubikira wa huyo msichana uliopatikana huyo msichana ataletwa kwenye mlango wa nyumba ya baba yake, na hapo wanaume wa mji wake watampiga kwa mawe hadi afe. Amefanya kitu cha aibu katika Israeli kwa kufanya ukahaba akiwa nyumbani mwa babaye. Lazima mwondoe uovu kati yenu.

Lakini baada ya dunia kuharibika kiasi hiki, katika biblia twasoma;
Hosea 1:2 BWANA aliponena kwa kinywa cha Hosea, BWANA alimwambia Hosea: β€œNenda ukaoe mwanamke mzinzi, uzae naye watoto wa uzinzi, maana watu wa nchi hii wanafanya uzinzi mwingi kwa kuniacha mimi.”

Katika mazingira kama haya hakuna jinsi ni kukubaliana tu na hali. Huwezi kuzuia mabadiliko!
 

Huo ndio ulikuwa utamaduni na heshima ya ndoa.
 
Japo bikra inaongeza thamani, lakini hata mimi mwanaume siwezi kuona thamani ya bikra ya mwanamke kama ndani hatuishi kwa amani.

Kama wapo wanaume wanaoishi na single mothers.. basi bikra ni kiburudisho tu, lakini sio hitimisho

🌸⚘️πŸͺ·πŸŒΈβš˜οΈπŸŒΈ
 
Unawezaje kuishi kwa amani na mwanamke ambaye hujui uaminifu wake? Huna uhakika kwamba wewe ni wangapi? Embu nieleze labda nitakuelewa
Kwanza hizo bikra hao watoto wa kike hutolewa na sisi wanaume, na siamini kama yupo mtoto wa kike mwenye akili zake anaweza tolewa bikra na mwanaume asiyempenda na kumuamini.

Lazima itakuwa alimpenda na kumuamini, sasa nini kikatokea after?!

Kama unazungumzia suala la uaminifu, hata sisi wanaume pia tunatakiwa kuulizwa kuhusu uaminifu wetu kwao, inakuwaje mtoto wa kike akatolewa bikra kisha akaachika?

Is it makosa ni yao tu? au na sisi tukishaonjeshwa tunaamua kwensa pengine kuonja tena!

Tatizo linaweza kuwa either side, but sio uoande mmoja tu kama unavyotaka kuliweka hapa, mambo ya mahusiano siku zote is a two way traffic, njoo nije tukutane!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…