Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

Hawa huwa ni kuwachukua tu njoo tuishi, kama ataonekana ni mtulivu ndoani ndani ya miaka kumi bariki ndoa. Haina maana kufanya harusi na muhuni
 

Wewe nani mliowahi kuzitoa hizo bikira?

Mimi nilishafanyaga utafiti. Na wewe unaweza kuufanya pia hata humuhumu JF.
Ukikuta waliokutana na bikira hawawezi kufika asilimia 10. Hiyo 90 wote hawajawahi kukutana na bikira popote pale.

Ingekuwa kila mwanaume aliwahi kutoa bikira hoja ya kusema sisi wanaume ndio tunatoa bikira ingekuwa na mashiko.
 
Mimi ningekua mwanaume nisingeoa mwanamke bikra. Yaani mtu aje ajifunzie kwangu. Nataka mwenye experiences zake, nisingekua na muda wa kumfundisha mtu kukata kiuno.
😹😹😹😹
 
Halafu unaanza kumpost post eti my the only one

Ni kweli wanawqke hubadilika ila akishameza meza mikia wewe oa then lea familia
 
Wanaopaswa kusheherekea honyemoon na harusi zao ni wale wenye bikra ya kiume na kike

Huwezi kuniambia mwanamke kalala na watu zaidi ya 5 eti nae anaenda honeymoon

Zamani honeymon watu walikuwa wanategemea kuona shuka lina damu au that day ndio siku ya kwanza kwa mwanamke kuingililiwa… mtoto analia kitu haipiti…. That was honeymoon
Now days honeymoon watu wanaenda kukaliana ma dogy style na blow job za kufa mtu ni kuoneshana maufundi

Ukiona honeymoon unaenda kukaliwa dogy………🤣 wafwaa 🏃🏿
 
Siwez kusoma hii ngonjera yote, ila kichwa cha habari naunga mkono
 
Kuna ukweli fulani, unataka mwanamke awe mwaminifu wakati ulimkuta anajishughurisha yaani ana watu, Tena wewe umempola mtu
 
Aisee...

Kumbe huwa zinatokewa na nini?

Au wanajitoa wenyewe!.

Utafiti wako ulikupa jibu gani?!
 
Kwanza sikupingi hata kidogo Bali naunga mkono andiko lako lote Mimi na family yangu na majirani zangu wote tumeliunga mkono pasina shaka yoyote ile.

Mwanaume kuoa mwanamke asiye bikira ni kithibitisho tosha kuwa Hana Akili hata kidogo.(Hata kama ana degree au PhD)

Kipimo Cha kwanza Kwa mwanamke anayefaa kuwa mke ni uaminifu wake. Uaminifu wake hupimwa na kuwa na bikira yake Kisha vigezo vingine hufuata.

Kuoa mwanamke asiyebikira unakuwa na uhakika usio na shaka kuwa :-

1: ULITOMBEWA
2: UNATOMBEWA
3: UTATOMBEWA NI SWALA LA MUDA.

Hivyo kamwe huwezi kuwa na Imani kamwe na mwanamke ambaye umemuoa na unashihidi kuwa amewahi kula mikia!

Ni mwanaume rofa pekee ndo atapingana na ukweli huu.

Mungu akubariki sana mkuu Kwa kujitoa kuwaokoa wanaume wenzetu kwani walitakiwa walipie kupata Elimu hii nzuri ajabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…