Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

Mumeo akishakuwa namba mbili hiyo ni mikia mingi.
Kwa sababu ukisema yeye ni wapili. Haina maana yoyote na haina tofauti na yule aliyekuwa na wanaume 100.

Lakini bikira ni tofauti kabisa
Salimia Tibeli.
Your mytholigical world.
 
Kaka ERoni ujue nakupenda.
You is real.
You is wise.

Kwa umri nilofikisha na kama shetani hatatikisa ndoa yangu ninaamini sitafikisha mamikia matano.

Tuombeane
I'm humbled prida, asante japo najiona mzee wa hovyo.

Hahaha mikia mitano kwa kizazi cha sasa ni kawaida tu!
 
😄😄😀
Hao mods nao watakuwa machizi.
Mada inahusu Harusi na kumeza mikia mingi. Haihusu bikira pekee yake.

Hutaki watu wasome?😀😄
😹😹😹 Hapo umetafuta pa kutokea lakini point yako ipo hapo kwenye bikra.
Hivyo mods waunganishe nyuzi za bikra zote tukitaka kusoma tutazikuta huko..!!
 
😹😹😹 Hapo umetafuta pa kutokea lakini point yako ipo hapo kwenye bikra.
Hivyo mods waunganishe nyuzi za bikra zote tukitaka kusoma tutazikuta huko..!!

Bikira yako ulinipa sasa hutaki itajwe kirejareja
 
Hao hawanaga hisia na hawatulii wanakuwa wanawaza mikia iliyowapitia. Mwanamke unataka kuoa unaingia tobo km shimo la choo unalipeleka wapi
 
Ni kipi bora uoe mwanamke aliye meza mikia mingi then atulie kwa huona hakuna jipya au uoe bikra ambaye ataanza kukucheet kwa kutaka kujua kamakuna radha tofauti na mumewe

Jamii ya wafugaji wasukuma wanaoaga mabinti wenye miaka 16 asilimia kubwa wanakuaga mabikira lakn wakikaa kwenye ndoa miaka minne tu wana kuwa kila aina ya mwanaume wanapita naye
bikra sio kipambele kwenye ndoa
 

Kwa kanuni za Kitibeli.
Kuoa mwanamke bikira ni bora.
Pili, mwanamke bikira akibadilika wewe ndiye mwenyewe matatizo.
Lakini pia haukatazwi kumpa talaka akileta zakuleta. Then unachukua bikira ingine.
 
Kwa kanuni za Kitibeli.
Kuoa mwanamke bikira ni bora.
Pili, mwanamke bikira akibadilika wewe ndiye mwenyewe matatizo.
Lakini pia haukatazwi kumpa talaka akileta zakuleta. Then unachukua bikira ingine.
wewe ndio mwenye matatizo kivp mkuu
Na piah huyo uliempa talaka ataolewa na nani kama ote watataka kuoa bikra!
Iweje wewe ukatafute bikra wakati wewe mwenyewe ushazagamua vyakutosha
 
wewe ndio mwenye matatizo kivp mkuu
Na piah huyo uliempa talaka ataolewa na nani kama ote watataka kuoa bikra!
Iweje wewe ukatafute bikra wakati wewe mwenyewe ushazagamua vyakutosha
Ataolewa na alikuwa tayari kuoa asiekuwa bikra ni simple Kila mtu ana njia yake na mtazamo wake Mimi simpingi anaeoa asiekuwa bikra Kwasababu ni maamuzi yake na pia nakuunga mkono sana mtu ambae hataki kuoa mwanamke asiekuwa bikra Hawa wote wapo sawa mkubwa.
 
fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…