Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

Mwanaasha
 
Kweli; kwenye majina, hususani la samia, nimechemka. Ila kuhusu kikwete ni kweli yeye ndiye aliyelengwa kipindi hicho....nakumbuka vizuri na hata baadhi ya wadau hapo juu wamesema.
 
We muongo ni 2011 sio 2016..
 
Na we unaamini hilo, kabsaa?!!
Sasa hapo, kwa mamlaka yake, mbona ilikuwa issue ndogo sana......kuwaagiza tu necta mpeni point 8 huyu.

Feza girls?!!!!!!! Ilikuaje mtu asiye na uwezo kama huyo afike f4 bila baba yake kushauriwa vinginevyo?!!!
Kama kweli basi saluti kwake Jah Kaya...alikuwa na uwezo wa kubadili hayo matokeo kwa nafasi yake...kuna watu wadogo tu kicheo waga wanabadili matokeo...
 
Form two 2017? Asee kumbe humu tunabishana na vitoto vyetu.
 
😂😂😂😂😂Hivi mkuu hizi stori zilikuwaga kweli au tetesi mana nilisikiaga tu
 
Na we unaamini hilo, kabsaa?!!
Sasa hapo, kwa mamlaka yake, mbona ilikuwa issue ndogo sana......kuwaagiza tu necta mpeni point 8 huyu.

Feza girls?!!!!!!! Ilikuaje mtu asiye na uwezo kama huyo afike f4 bila baba yake kushauriwa vinginevyo?!!!
Na mie huwa najiuliza, kweli walishindwa kumpa hata 2 ya 18? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Padri yupi huyo alikuwa waziri wa elimu?
 
nilitaka nimwambie hili. Ila kuhusu kumchukia sa100 hata mimi nipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…