Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

2012 std 7, hadi wenye 70 walienda 4m 1 2013.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo hii anafanya kazi wapi?
 
Mkuu huyo ni Mwanaisha...ilikua mwaka 2011 na ndio mwaka niliomaliza pia form 4.....Sio 2016
 
Sioni ajabu kama walikuwepo wenye three bado four haikuwa ajabu
 
Sema ukiwa na one inaleta Furaha tuache kujifariji. Pesa kila Mtu anazo hata Kama Ni ndogo.

Kupata four ni Aibu kubwa Sana kwa Mtu makini mwenye Kujitambua na kujithamini.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tena Fedha girls.

Kuna yule wa Mwendazake alioata zero kabisa ila akawa anasoma Udom [emoji1787][emoji1787]
Tuwekee matokeo ya Jesca!

Jesca alikua na four, akasoma chuo cha magogoni pale certificate then akaenda kusoma UDOM, sasa hivi yupo REA anapiga kazi! Acha uongo hakuwa na zero
 
Padri nani alikuwa Waziri wa Elimu enzi za Nyerere???
 
Na we unaamini hilo, kabsaa?!!
Sasa hapo, kwa mamlaka yake, mbona ilikuwa issue ndogo sana......kuwaagiza tu necta mpeni point 8 huyu.

Feza girls?!!!!!!! Ilikuaje mtu asiye na uwezo kama huyo afike f4 bila baba yake kushauriwa vinginevyo?!!!
Kipi kilimtoa Ndalichako pale NECTA labda???
 
Kipi kilimtoa Ndalichako pale NECTA labda???
Nawe tuambie kwanza kipi kilimpeleka pale NECTA? Ukimaliza hilo tuambie ni kivipi yeye alitakiwa awe wa milele pale.
Kwahiyo kilichomtoa ni kufeli kwa huyo 'mtoto wa kikwete'? Watu hivyo vichwa hamna kazi navyo ee?!!!

Kipindi kile cdm imepamba moto jk alikuwa anazushiwa kila kitu na kila uzushi ulikuwa unavuma balaa.
 
Msiwe na dhana mbovu, kuwa ukifeli masomo darasani ndio umefeli maisha.

Wanyalukolo wengi Kariakoo hata zero ya kidato cha 4 hawana, lakini wanaweza kukuajiri na div 1 yako ya six.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…