Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Soma kuhusu 'social inferences' utanishukuruView attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Utaelewa siku ikifika. Endelea kuwa na akili nzito baada ya kuvimbiwa hela mnazotuibia WatanzaniaUkombozi gani?
Sasa hivi wananchi wanaitwa kenge wa ndani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wangefuta na Wananchi kama wanaweza maana Wananchi ndio Wanaitaka chadema sasa.
Nami nilitabiri hivyo hivyo mara tu watu wa hovyo walipochukua madaraka ya chama.View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Tutatamba na Chauma yetuView attachment 3347817

Hii nchi naona viongozi kama wamechanganyikiwa hiviSasa hivi wananchi wanaitwa kenge wa ndani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Kenge wewe na chawa mkubwa wewe!Kinaendeshwa kihuni huni tuu mara mwenyekiti gaidi, sasa mwenyekiti mhaini. Kifutwe tuu.
Nadhani huko aliko hata yeye anajuta shwain kabisaAlaaniwe Maboyo kwa kulitetea lile tahira pale
Wanaume wenzake waliona kama halifai yeye akajifanya anajua sana katiba!
Mafiii
Umesema kweli, ni upuuzi kushabikia chama kilicho kwenye mioyo. Bora kushabikia kilicho kwenye akiliInatakiwa iwe na impact Tanzania bara na visiwani sio mioyoni. Unamkumbuka, EL? Kuna kipindi inasemekana alitawala mioyo, kuna lililobadilika?
NakaziaAmfurahishe tu aliyemteua.