PreGE2025 Kufika Agosti 1, 2025 CHADEMA itakuwa imefutwa kwenye daftari la Msajili wa vyama vya siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CHADEMA NI MABINGWA WA SHERIA WAFUATE SHERIA
 
tulionya kumdhibiti lissu mpinzani wa kweli ni kazi bure, wataibuka wengine wengi wakali zaidi ya lissu, lissu cha mtoto akasome kwao. Kuifuta chadema ni kazi bure, utaibuka upinzani mwingine zaidi ya chadema
 
Wamejifuta wenyewe
 
Acha akifute hakuna kuogopa, siasa za kuburuzwa zimefika mwisho. Bakini na vile vyama vinavyokubali kuwa kwenye mfumo wa chama kimoja kwenye vyama vingi. Kizazi kimebadilika hiki, kama ccm ilifanikiwa huko nyuma sio sasa. Hizo sheria zilitungwa ili kuilinda ccm, kwa sasa tumestuka.
 
Hivi msajili hana watoto au mke? Unajua tuache kucheka cheka na hawa watu. Intelijensia ya chama, mna kazi moja tu na haya yote yatakua reversed. Tujifunze kwa Los Pepes walivyofanikiwa Colombia, walijibu moto kwa moto tena kimya kimya hadi wakamfikia waliyemtaka.

This is enough
 
Lissu na Heche ni combination ya hovyo sana. Sawa na kuweka petrol na baruti kwa pamoja
Jinga wewe! Leta comb yako tuone sasa! Jiwe aliweka wabunge misukule ndio wanatia aibu Kila siku. Vijana wadogo wa Kenya wanawahenyesha mpaka wanaharisha! Daaadeki!
 
Neno la hekima kwa wapambanaji linasema "Au kuna mfalme gani, akitaka kwenda kupigana na mfalme mwingine, asiyeketi kwanza na kufanya shauri, kwamba yeye pamoja na watu elfu kumi ataweza kukutana na yule anayekuja juu yake na watu elfu ishirini? Na kama akiona hawezi, hutuma ujumbe kutaka sharti za amani, mtu yule akali mbali."
 
Afute tu , alafu afute wananchi na wanachama wa chama ichi, wenda yeye ni jiwe kwamba haipo siku hatafutika
 
Kinaendeshwa kihuni huni tuu mara mwenyekiti gaidi, sasa mwenyekiti mhaini. Kifutwe tuu.
Halafu anayetengenezea wapinzani kesi za uhaini ma ugaidi, ndio Gwajima kasema ni kinara wa utekaji nchini! Hakuna namna ccm itatawala nchi hii kikondoo tena iwapo cdm itaendelea kuwa hai.
 
JPM angemtangukia JK na akatawala 10 years huenda hali ingekuwa tete sana. JK amekikuza mno Chadema, hakuwa too aggresive kwenye kuua upinzani.
Hata angetawala nani, hapa walipofikia cdm sasa ni mambo ya nyakati. Zama za ccm zimekwisha hata wafanye nini bado cdm itazidi kupata nguvu. Hiki si kizazi cha ccm tena.
 
Tutatamba na Chauma yetu
Hata ACT ilikuja na moto wa mabua hivi hivi. Leo ACT huku bara hawana tofauti na NCCR. Kuna vitu vipo automatic, cdm imeshageuka imani, na hili hata ifanyike nini hakuna namna kizazi hiki kitaitaka ccm tena. Sanasana mwenyekiti wenu atazidi kutumia nguvu ambazo makada kama kina Gwajima hawataa kimya. Hiyo ccm naifananisha na mwanamke anayezeeka huku hataki kukubali matokeo, analazimisha kupaka mkorogo na dark & lovely ili mvi zisionekane😂😂 Nyakati ni kila kitu kwenye dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…