Si kweli mmezoea siasa za kulazimisha kukaa madarakani, kwa sasa imekuja team yenye siasa za zama mpya ama kizazi hiki ndio maana mnafanya vitu vya ajabu. Muda mrefu tumelazimishwa kuishi katika demokrasia ya chama kimoja yenye vyama vingi, ila sasa ni lazima tuiingie kwenye mfumo wa kidemokrasia wa vyama vingi.Lissu na Heche ni combination ya hovyo sana. Sawa na kuweka petrol na baruti kwa pamoja
Yote yawezekana kuwepo au kufutwa.Chama hakina uongozi, kifutwe tu
Wakati JK anaingia madarakani sio sasa.Hata angetawala nani, hapa walipofikia cdm sasa ni mambo ya nyakati. Zama za ccm zimekwisha hata wafanye nini bado cdm itazidi kupata nguvu. Hiki si kizazi cha ccm tena.
Chauma sio ACTHata ACT ilikuja na moto wa mabua hivi hivi. Leo ACT huku bara hawana tofauti na NCCR. Kuna vitu vipo automatic, cdm imeshageuka imani, na hili hata ifanyike nini hakuna namna kizazi hiki kitaitaka ccm tena. Sanasana mwenyekiti wenu atazidi kutumia nguvu ambazo makada kama kina Gwajima hawataa kimya. Hiyo ccm naifananisha na mwanamke anayezeeka huku hataki kukubali matokeo, analazimisha kupaka mkorogo na dark & lovely ili mvi zisionekane😂😂 Nyakati ni kila kitu kwenye dunia hii.
Mungu wenu ni kibaraka Lisu au?Chadema ni imani
Viongozi wa CDM waliopo hawana busara. Wanakisambaratisha chama mazimaHivi msajili hana watoto au mke? Unajua tuache kucheka cheka na hawa watu. Intelijensia ya chama, mna kazi moja tu na haya yote yatakua reversed. Tujifunze kwa Los Pepes walivyofanikiwa Colombia, walijibu moto kwa moto tena kimya kimya hadi wakamfikia waliyemtaka.
This is enough
Umeweka vizuri, ila CDM hawawezi kuelewaNeno la hekima kwa wapambanaji linasema "Au kuna mfalme gani, akitaka kwenda kupigana na mfalme mwingine, asiyeketi kwanza na kufanya shauri, kwamba yeye pamoja na watu elfu kumi ataweza kukutana na yule anayekuja juu yake na watu elfu ishirini? Na kama akiona hawezi, hutuma ujumbe kutaka sharti za amani, mtu yule akali mbali."
Mapanga waongezee ulinzi polisi tunawapendaAkifute tu. Njia zote za kidemokrasia zinapofungwa najua unajua huwa inafuata njia ipi katika kudai ukombozi
We unajua sheria ipiNa ni kwa mujibu wa sheria ipi anakua na mamlaka ya kutotambua viongozi waliopitishwa
We ni poyoyo tuAkifute tu. Njia zote za kidemokrasia zinapofungwa najua unajua huwa inafuata njia ipi katika kudai ukombozi
Mawazo yakoKuifuta Chadema sio solution.
Kumbuka Gwajima ni M-NEC, jiulize Tanzania kuna wa NEC wangapi.
Wapinzani wapo kila ofisi, waliovujisha zile document mbili sio kina Lema, ni watu walio kwenye system.
CHADEMA inaweza ikafutwa lakini upinzani wa kweli utaendelea kuwepo. Tena sio kutika kwa wakereketwa bali kutoka kwa Wa NEC au hata huko jikoni kabisa CC.
We ni mwehu flani tu, wananchi gani haoWangefuta na Wananchi kama wanaweza maana Wananchi ndio Wanaitaka chadema sasa.
CHADEMA ikifutwa wewe utafaidika Nini?.Mawazo ya CHADEMA yatabaki vichwani mwa watu.View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Kwakua ni Wapumbavu mnooooo CCM na POLISi wote popote pale walipoView attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Lazima tuitwe kenge.tumezubaa mno🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa hivi wananchi wanaitwa kenge wa ndani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3347817
Kuna sintofahamu nyingi kati ya CHADEMA na Msajili wa vyama vya siasa ambayo inaonnyrdha kuwa nafasi ya kutumia busara haipo tena.
Ni wazi kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, Msajili wa vyama ana madaraka ya kukifuta chama kwenye faftari ambacho kinaendeshwa kinyume na sheria.
Kwa namna ya uongozi mpya wa CHADEMA chini ya Lissu na Makamu wake Heche na mshauri wao mkuu Rugemeleza Nshala, na mpambe nuksi wao Godbless Lema, yaonekana busara ni kitu adimu kwao kama miguu ya nyoka.
Sioni CHADEMA wakiwapo kwenye daftari la Msajili kufika Agosti 1, 2025, unless wanabadili mwenendo.
Tuishie hapo, tusubiri hiyo tarehe
Director ni ccm, hivyo matokeo ni hayo hayo.Chauma sio ACT