Kufuatia kutumbuliwa kwa DC wa Sumbawanga, kuna vitu havipo sawa nchini na ni lazima visemwe

Mkuu kazi yeyote inayohusisha utunzi wa kifasihi.. huchukuliwa tofauti vile kila mmoja alivyoelewa..

Lile ni IGIZO tu. OVER.

Acheni siasa. Unnecessary complications.
Wewe kwenu unaweza ukaigiza msiba wa baba ako ilihali bado iko hai na mama ako akakupongeza tu jinsi alivo chonga jeneza nzuri.......tumia logic mkuu
 
Unamfahamu DC wa Sumbawanga kwa sura? Yule aliyeigiza si DC wa Sumbawanga ni polisi na walikuwa wanaigiza tu.Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Kalambo.
 
Huna hoja kwa kufananisha igizo la Qayla na la DC ila tutakusikiliza.
 
Ma DC tulionao ni hovyo tu napendekeza tuwe tunafanya applications kupata vyeo hivyo.
 
Huyu dc, rso, dso, rpc kamanda wa ffu na ocd wanapaswa muda huu wawe wanatoka kunywa uji butimba, keko na segerda.
Acheni mambo yenu nyinyi.. acha ..acha kabisa .

Katiba mbovu kabisa hii. Ndo maana unaandika hata huu ujinga.
 
Huelewi unachoelezwa Mkuu.
Mihemko...
Ujumbe ni siku ya wanawake na wanawake wako tayari wenye ukakamavu kumlinda kiongozi wao.

MWISHO.
 
Unamfahamu DC wa Sumbawanga kwa sura? Yule aliyeigiza si DC wa Sumbawanga ni polisi na walikuwa wanaigiza tu.Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Kalambo.
Alaa!! Kumbe..

Sasa kwanini yametokea yaliyotokea!? Kwanini DC ahusishwe au atumbuliwe!??
 
Mihemko...

Ujumbe ni siku ya wanawake na wanawake wako tayari wenye ukakamavu kumlinda kiongozi wao.

MWISHO.

Ndio maana nikasema wewe na huyo DC bado hamkufikiri vyema,
Mwanamke Hana uwezo wa kulinda, ni mtu mjinga anayeweza kuyafikiri hayo.
Labda kwenye Riwaya au filamu za kuigiza Ila kwenye uhalisia/mazingira halisi hakuna kitu kama hicho.
 
Mwanamke Hana uwezo wa kulinda, ni mtu mjinga anayeweza kuyafikiri hayo.
Labda kwenye Riwaya au filamu za kuigiza Ila kwenye uhalisia/mazingira halisi hakuna kitu kama hicho.
Heehh!! Hili nalo jipya..

😳😳
Sikujua kabisaa
 
Heehh!! Hili nalo jipya..

😳😳
Sikujua kabisaa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hukujua nini Mkuu.
Wewe Kwa Upeo wako Mkeo anauwezo wa kukulinda Physically?
Tuanzie kwenye level ya Chini ya Familia.

Mwanamke anauwezo wa kujitetea

Mwanamke hayupo Kwa ajili ya mambo ya Ulinzi,
Ingawaje inaweza kulazimishwa wawe walinzi kama Wanajeshi au polisi au migambo lakini ikija ishu serious inayohitaji ulinzi kweli, huwezi kuwa consider Wanawake.
Hiyo ipo Dunia nzima
 
Kuna haja ya kuwapima hawa watu "afya ya akili" kabla ya teuzi kwani ile haikuwa kawaida!
hata vaa yake kuna kitu hakiko sawa kwa yule Binti, I'm so sorry
Mmejaa chuki tu na njaa .. hapo usikute una madeni yamekujaa.

Unaaachaje kufurahia shida za mwenzako.
 
Mkuu unazidi andika ujinga. Acha tu.
 
Wewe kwenu unaweza ukaigiza msiba wa baba ako ilihali bado iko hai na mama ako akakupongeza tu jinsi alivo chonga jeneza nzuri.......tumia logic mkuu
Wala sikulaumu kabisa kwa hili uliloandika.
Nchi yetu tuna ELIMU mbovu kabisa . Yani elimu yetu ni hewa.
 
Unamfahamu DC wa Sumbawanga kwa sura? Yule aliyeigiza si DC wa Sumbawanga ni polisi na walikuwa wanaigiza tu.Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Kalambo.
Inaweza kuwa kweli unachosema maana kwanza yule kwenye video anaonekana ana mwili kidogo tofauti na huyo DC na pili alionyesha ni mkakamavu kwa jinsi alivyogeuka kwa haraka baada kuanza shambulizi.
 
USHASEMA MAREKANI MKUU.
 
Hivi mmemuona sura yake hiyo mtu yuko kama wale walioleft group. Nina wasiwasi akawa ni.wa kundi lileeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…