Kufuatia kutumbuliwa kwa DC wa Sumbawanga, kuna vitu havipo sawa nchini na ni lazima visemwe

Kufuatia kutumbuliwa kwa DC wa Sumbawanga, kuna vitu havipo sawa nchini na ni lazima visemwe

Mkuu kazi yeyote inayohusisha utunzi wa kifasihi.. huchukuliwa tofauti vile kila mmoja alivyoelewa..

Lile ni IGIZO tu. OVER.

Acheni siasa. Unnecessary complications.
Wewe kwenu unaweza ukaigiza msiba wa baba ako ilihali bado iko hai na mama ako akakupongeza tu jinsi alivo chonga jeneza nzuri.......tumia logic mkuu
 
Kwanza kabisa naanza kwa kumsalimia Rais wetu kipenzi Dr. Samia Suluhu Hassa. Kwa heshima zote kabisa maana najua atasoma uzi huu..kwani anapita humu na tupo naye.

Ni swali la moja kwa moja tu ...kama ni kweli yule DC wa Sumbawanga katolewa kwa Igizo lile basi hatuna budi kujitafakari upya lakini pia kuwa watu wa kuhimili mihemko yetu.!!?

Shida ilikuwa ni nini!? Kuuvaa uhusika wa kimamlaka kuu au kuleta taharuki!? Je raharuki ilitokea!?
Kama ishu ilikuwa ni kuuvaa uhusika wa Mamlaka kuu ya nchi kwa kuigiza kama Mama (kwa kile kilemba alichovaa) mbona marais wootee nchini huchezwa kinaigizo na wengine huchoorwa na sauti zao zinaigwa.

Mbona hii video hapa ilisherekewa...

Kwanini hapo ilikuwa ni sawa na ionekane DC huyu wa Sumbawanga kakosea wakati alikuwa akionesha ukakamavu na utayari wa jeshi la kina mama panapotokea shida.

Sasa maswali mengi tunajiuliza, Je ni watu tu wamejipendekeza ili waonekane au ni fitna tu na husda kwa aliyetumbuliwa.

Bado nachelea kuamini Rais ndo kamtengua huyu DC. AU LA KASHAURIWA VIBAYA ..
Unamfahamu DC wa Sumbawanga kwa sura? Yule aliyeigiza si DC wa Sumbawanga ni polisi na walikuwa wanaigiza tu.Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Kalambo.
 
Huna hoja kwa kufananisha igizo la Qayla na la DC ila tutakusikiliza.
 
Ma DC tulionao ni hovyo tu napendekeza tuwe tunafanya applications kupata vyeo hivyo.
 
Huyu dc, rso, dso, rpc kamanda wa ffu na ocd wanapaswa muda huu wawe wanatoka kunywa uji butimba, keko na segerda.
Acheni mambo yenu nyinyi.. acha ..acha kabisa .

Katiba mbovu kabisa hii. Ndo maana unaandika hata huu ujinga.
 
Huelewi unachoelezwa Mkuu.
Mihemko...
Wale ni Waigizaji, Wao kama Fanani uhusika wao ni kwenye filamu, hadhira yao haipo kwenye filamu, Ipo kwenye Ulimwengu Halisi ambao ni Sisi.

Je Kwa upande wa DC Fanani uhusika wao umefanyika kwenye Filamu au mazingira halisi? Je hadhira Ipo kwenye filamu au Ipo kwenye mazingira halisi?

Je dhamira juu ya igizo hilo ni ipi?
Ujumbe wake ni upi?
Fanani ambaye yupo kwenye mazingira halisi alitaka hadhira yake ipate ujumbe gani?

Vipi Fanani ni nani na majukumu yake ni yapi katika mazingira halisi?
Ujumbe ni siku ya wanawake na wanawake wako tayari wenye ukakamavu kumlinda kiongozi wao.

MWISHO.
 
Unamfahamu DC wa Sumbawanga kwa sura? Yule aliyeigiza si DC wa Sumbawanga ni polisi na walikuwa wanaigiza tu.Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Kalambo.
Alaa!! Kumbe..

Sasa kwanini yametokea yaliyotokea!? Kwanini DC ahusishwe au atumbuliwe!??
 
Mihemko...

Ujumbe ni siku ya wanawake na wanawake wako tayari wenye ukakamavu kumlinda kiongozi wao.

MWISHO.

Ndio maana nikasema wewe na huyo DC bado hamkufikiri vyema,
Mwanamke Hana uwezo wa kulinda, ni mtu mjinga anayeweza kuyafikiri hayo.
Labda kwenye Riwaya au filamu za kuigiza Ila kwenye uhalisia/mazingira halisi hakuna kitu kama hicho.
 
Mwanamke Hana uwezo wa kulinda, ni mtu mjinga anayeweza kuyafikiri hayo.
Labda kwenye Riwaya au filamu za kuigiza Ila kwenye uhalisia/mazingira halisi hakuna kitu kama hicho.
Heehh!! Hili nalo jipya..

😳😳
Sikujua kabisaa
 
Heehh!! Hili nalo jipya..

😳😳
Sikujua kabisaa

😂😂😂

Hukujua nini Mkuu.
Wewe Kwa Upeo wako Mkeo anauwezo wa kukulinda Physically?
Tuanzie kwenye level ya Chini ya Familia.

Mwanamke anauwezo wa kujitetea

Mwanamke hayupo Kwa ajili ya mambo ya Ulinzi,
Ingawaje inaweza kulazimishwa wawe walinzi kama Wanajeshi au polisi au migambo lakini ikija ishu serious inayohitaji ulinzi kweli, huwezi kuwa consider Wanawake.
Hiyo ipo Dunia nzima
 
Kuna haja ya kuwapima hawa watu "afya ya akili" kabla ya teuzi kwani ile haikuwa kawaida!
hata vaa yake kuna kitu hakiko sawa kwa yule Binti, I'm so sorry
Mmejaa chuki tu na njaa .. hapo usikute una madeni yamekujaa.

Unaaachaje kufurahia shida za mwenzako.
 
😂😂😂

Hukujua nini Mkuu.
Wewe Kwa Upeo wako Mkeo anauwezo wa kukulinda Physically?
Tuanzie kwenye level ya Chini ya Familia.

Mwanamke anauwezo wa kujitetea

Mwanamke hayupo Kwa ajili ya mambo ya Ulinzi,
Ingawaje inaweza kulazimishwa wawe walinzi kama Wanajeshi au polisi au migambo lakini ikija ishu serious inayohitaji ulinzi kweli, huwezi kuwa consider Wanawake.
Hiyo ipo Dunia nzima
Mkuu unazidi andika ujinga. Acha tu.
 
Wewe kwenu unaweza ukaigiza msiba wa baba ako ilihali bado iko hai na mama ako akakupongeza tu jinsi alivo chonga jeneza nzuri.......tumia logic mkuu
Wala sikulaumu kabisa kwa hili uliloandika.
Nchi yetu tuna ELIMU mbovu kabisa . Yani elimu yetu ni hewa.
 
Unamfahamu DC wa Sumbawanga kwa sura? Yule aliyeigiza si DC wa Sumbawanga ni polisi na walikuwa wanaigiza tu.Mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Kalambo.
Inaweza kuwa kweli unachosema maana kwanza yule kwenye video anaonekana ana mwili kidogo tofauti na huyo DC na pili alionyesha ni mkakamavu kwa jinsi alivyogeuka kwa haraka baada kuanza shambulizi.
 
Nilichogundua nchi masikini hazijiamini kwa lolote[emoji3][emoji3]

Marekani wanaigiza siri nzito za serikali tena ambazo zinaionesha marekani ikifadhili ugaidi au ikipanga shambulio ona series kama Condor,odyses,deep state

Kifupi nchi masikini zinawasiwasi! katika kuigiza wenzetu ndio wanaongeza kufikiri kuboresha, na kuangalia mianya ambayo wao hawakuiona

Mfano mwingine :
budget ya ulinzi
vifaa vya kijeshi nk huwezi pata tz lakini mabeberu wanazo na wanatengeneza video za firepower index.Lakin huku izi taarifa zinAfichwa balaa sasa najiuliza zinafichwa kwa kumlenga nani??
Nchi za nje wanajua hata vya siri? maadui wanazo sisi tunamficha layman au wananchi wasio na hata impact
USHASEMA MAREKANI MKUU.
 
Hivi mmemuona sura yake hiyo mtu yuko kama wale walioleft group. Nina wasiwasi akawa ni.wa kundi lileeeee
 
Back
Top Bottom