Kufuatia upungufu wa dola, BoT yatoa maelekezo ya kudhibiti Viwango Vya Miamala

Hizi kauli ndio zinatumika sana kutowajibika ki sawa sawa na kuficha madhaifu yetu..

Unahisi kinachosababishwa kuwa hivyo kinafanana kati ya nchi na nchi? Kwa nchi ulizo mention hapo
Nipo Malawi chief na serikali ina uhaba mkubwa wa 💵💵 mpaka wafanyabiashara wa mazao tumeathirika. Karibia wiki mbili sasa hakuna mzigo wa soya ,karanga umeenda Tanzania. Serikali inalazisha tununue mazao kwa 💵💵,natumai mfano umejitosheleza.
 
Pinga Pinga kama kawaida 🤣🤣

Kinachofanya supply ya dollar iwe kubwa au ndogo kwenye soko la Kimataifa ni sera za Tanzania?

Hizo sera za Marekani Zina athari kwao tuu sio Nje ya mipaka? Yaani wewe ulivyo mjuaji usiyeelewa unafahamu kabisa kwamba dollar ya US ndio inatumika sana Duniani kwa.miamala then unabisha kwamba sera zao hazina athari kwingineko?

Umejiongelesha hapa ilimradi u satisfy ego Yako mara ooh pesa za wizi mara ooh sijui magendo nk Kwa hiyo hii shida Iko karibu Nchi zote shida ni pesa za wizi na magendo? Kwa nini isiwe ni kukua Kwa uchumi?

Wewe mbona una kaugonjwa ka negativity sana? Aisee Nina uhakika utakuwa na maisha ya stress sana sio bure,hiyo ni dalili ya ugonjwa wa akili..

Mwisho,tukuchague wewe uwe Waziri wa Fedha?
 
Shida yako ni uropokaji na kuzoea mijadala ya magengeni; huna staha wala hoja zaidi ya matusi humu JF.

Kila nchi changamoto zake za dollar zina sababu zao za ndani; Kenya awana hela ya kulipa madeni so reserve yao ni ndogo purely economic issues za ndani. Moreover kuna desturi ya kutoza huduma kwa dollar inayofanya demand kuwa kubwa kushinda supply iliyopo ukizingatia hali yao ya uchumi.

Ghana same problem na Kenya mpaka juzi walipochukua mkopo wa $3.5 billion. Sikiliza mijadala yao ya uchumi ipo online hakuna nchi ata moja inayolaumu sera za ndani za US it has nothing with their woes.

Hakuna nchi yeyote ambayo imeathirika na government policies za US kwenye uchumi wao; unaonekana fala tu ukisema hivyo na mtu ambae uelewi ata lengo la monetary policies za bank kuu kwa nchi husika.
 
sasa ujiulize zilikuwa zinajengwa kwa fedha gani na nyinyi munasema hakukuta fedha hazina?

na ungejuaje kama hakukuwa na uhaba wa dola? Lazima uangalie factors nyingi siyo kukurupuka tu.

Pia hali ilivyo sasa na kipindi cha JPM pia ni tafauti kwa vile sasa globally wamarekani wameamua kupunguza mzunguko wa dola ili waweze kutoa noti mpya (kama sikosei walisema within the next six months). Hiyo haikuwepo wakati wa Magu
 
na line graphs za kifixi fixi tu

Miezi sita baada ya kifo cha Magufuli, hiyo ndio ilikuwa dollar reserve; be it credit akapewa Bi Tozo.

Katika muda wake Magufuli alikuwa akivunja record ya kila mwaka kwenye kuongeza akiba; iliporomoka 2018 tu. Ata hiko kiwango chake kidogo cha mwaka huo ni kikubwa kupita kipindi chochote cha watangulizi wake.

Be serious unapomuongelea Magufuli.
 
na nani alikuwa anamonitor hizo figures?
 
JPM alimobolise fund za ndani kwa mda wa miaka 4 kwa kupunguza matumizi ya serikali kama safari za nje, kuagiza mchele nje na utakatishaji wa pesa akaanza miradi

Unapokuwa Kiongoz usitangulize mbele sababu za nini umefeli kwa mfano,

Huwezi ukawaambia watoto mwaka huu watakuwa wanakula mlo mmoja kwa sababu hakukuwa na mbua za kutosha kuivisha mazao, huwezi kuwaambia hivyo unapambana kama kiongoz kuhakikisha hali inaenda sawa.

Mfano mwingine hifadhi ya dola China haijateteleka kutokana na hizo sababu ulizozitzja hapo juu.

Serikali na Kiongozi makini anapambana kulinda usalama na ustawi wa Taifa lake katika nyanja zote sawa. Kama kila tatizo tutakuwa tunaliwekea sababu je kuna umuhimu gani ya kuwa na Kiongozi au serikali kwa sababu wananchi wanapambana na matatizo yao wenyewe. Kama kutoa sababu ndiyo suluhisho la matatizo basi kila mtanzania anaweza kuwa Kiongozi wa kitaifa na akafaa
 
na nani alikuwa anamonitor hizo figures?
Economic data za nchi zinatolewa na taasisi husika in this instance bank kuu. Verification ni siku ya kukaguliwa tu uwezo wako wa kulipa.

Halafu hizo data hapo ni za mwezi October 2021 ina maana ata ‘Bi Tozo’ umuamini.
 
Hakuna nchi ata moja duniani inayoweza laumu policy measures za marekani kwenye uchumi wao kama chanzo cha uhaba wa dollar. Labda Tanzania tu.

Tena hao China ndio walitakiwa waathirike maana export trade zao ni hundreds of us billions; kupunguza purchasing power ya US consumers wao wanaathirika kwa namna nyingi sana.

Tanzania ambayo aiuzi ata consumer goods or services kwenye hiyo nchi; sera za US za ndani wewe zinakuathiri vipi.

Ni kujidhalilisha tu kwa upande wa waziri.
 
Tangu Magufuli afe dollari imeshuka asilimia kumi duniani je shilingi ya madafu imeshuka kiasi gani??Wachumi wa Tanzania wanupiga mwingi hawaelewi world financial systems how they work IMF were very polite note to insult them and of course everyone in Tanzania has PHD in economics and macro economics and the Minister has PHD you don’t need to school him about that good luck guys,at the same time you failed to condemn the war in Ukrain and forgot that Ukrain was the bread basket to the world
 
Ishu ya uhaba wa US 💵 imezikumba nchi nyingi za kiafrika kipindi hiki, Tanzania hatuko peke yetu kwenye hiki kikaango. Msimlaumu mwigulu kwa sababu mara nyingine ni Sera za FED ndiyo zinaathiri mataifa yenye uchumi mdogo kama wetu.
Sio kweli
 
The dollar is loosing against any currency at the moment Pounds € so you can buy Dollars very cheap at the moment please 🙏🏿 don’t mislead the question is how’s the shilling fixed?? Does the shilling trade anywhere in the world??
 
Mr Governor can i walk in any bank outside Tanzania and buy your currency??if you’re able to answer this then you will understand why you are having a problem with getting US dollars
 
Kamdamganye mkeo
 
Mr Minister if you’re country economy is failing please 🙏🏿 don’t confuse it with the USA it’s insane to compare the two country and remember the USA has lots of responsibility to help countries like Ukrain and your country has failed even to have sympathy for Ukrain USA is great power helping countries all over the world morally and financially and they are not broke yet like Tanzania
 
Hiyo reserves ilitokana na kuchukuliwa Kwa mikopo mipya ikiwemo mkopo.wa.uviko 19 ndivyo viliongeza hizo reserves baada ya hali kuwa mbaya kabla..

Mwendazake akusanye reserves ya hivyo aitoe wapi? Kwa jeuri gani aliyokuwa nayo?
Sukuma gang mnateseka sana 😁😁,unaelewa maana ya neno urgent financing kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…