Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

Hata kama membe aende chama cha upinzani!hatoruhusiwa tume ya uchaguzi kugombea uraisi!sabb sheria mpya ya vyama vya siasa inamtaka mgombea kukaa kwenye chama takribani miaka miwili!!!MEMBE IMEKULA KWAKE!!!
Kuwa mwanachama atapokelewa lkn sio kugombea wamestuka
 
Katika makosa makubwa ambayo CCM wamefanya ni kumfukuza Membe wakati huu.

Kiintelijensia alipaswa kufukuzwa mwishoni mwa mchakato wa uchaguzi mkuu 2020, Kwani ingewanyima wanachama wa CCM muda wa kutafakari na kujipanga upya.

Tofauti na Lowasa ambaye walimkatilia mbali katika hatua za mwisho kabisa. hata hivyo alikukuruka.

Kwa sasa Membe anawakati mzuri wa kufanya mikakati (kama anataka) na kujijenga upya kisiasa nje ya CCM.

Pili, Inampa nafasi wale wanachama machachali waliokuwa hawapendi uongozi wa sasa wa CCM taifa.

Tatu, Hatua hii imewapa usugu wale wanachama waliokuwa wakiogopa ogopa kusema yaliyo ya moyoni sasa watasema "hata membe amefukuzwa sembuse mimi"

Njia pekee iliyobaki kwa CCM kupona ni kuponya majeraha haraka na kufanya mchakato wa wagomea kwa haki, bila kumuonea Mtu.

Wale watakaofanyiwa figisu mara moja watageuka kuwa wapinzania katika Uchaguzi mkuu 2020.

Waliodhani upinzani umekufa wakae mkao wa kula.

Wapo wengi watamfuata.

Time will tell

Kwa njia yeyote, Ebu Twendeni na Membe au Lissu 2020!
Pumba tupu!!!
Waiter ebu niongeze bia nyingine tafadhali.
 
Hiyo kesi ilishatolewa hukumu lkn wakubwa hawataki kabisa kuisikia hiyo kitu, sijui wanaogopa kitu gani haswa

In God we Trust
Wanaogopa mgombea binafsi, kwa sababu wanajua kama mgombea binafsi angeruhusiwa sasa hivi kwa mfano, Membe angeweza kum challenge Magufuli bila hata kuingia kwenye figisu za chama.
 
Nimekuelewa sana mkuu

In God we Trust
 
Membe akihamia ACT tu wale jamaa waanze kutundika mahema kuashiria msiba.

Na vita yao itakuwa dhidi ya ACT na Zitto na si CCM tena ama wote!

Hii hatua imechukuliwa mapema siyo kwa bahati mbaya!

Kilichomkuta Kachero katika video!😁
Kwa umri wake na muda aliotumika apumzike tuu sasa kwani hata wale alioanza nao kazi na hawakuingia kwenye siasa hivi sasa wamepumzika na shughuli zao binafsi
 
Ndugu zangu,

Lazima tukiri ya kuwa Rais Mwinyi ndiye rais aliyepata msukosuko mkubwa sana baada ya vuguvugu la siasa za mageuzi (upinzani) kurudi nchini mwaka 1992. Kwani kipindi hichi kila mwanasiasa mwenye ushawishi ndani na nje ya nchi alitishia kuanzisha chama na hivyo kukawa na hofu ya CCM kusambaratika.

Mwaka ule wa alfu kenda tisini na nne (1994) kulikuwa na jabali aliyepata kuwa waziri mwandamizi katika serikali ya Raisi Mwinyi, Prof.Kighoma Ali Malima, alitimkia Uingereza akihisiwa kujipanga kutangaza kujitoa CCM na kuanzisha Chama chake cha siasa kumbuka hapa tayari Ndugu Mrema alishatema cheche na tayari alikuwa akivuma zaidi kule Zanzibar Sefu na wenzie walichachafya kwa msaada wa Sultani wa Oman.

Hawa wote walianzisha vyama vikavuma, baada ya miaka ishirini tunashuhudia mawaziri wakuu wakijitoa CCM huku wakihamia vyama vya upinzani vilivyopo na sio kuanzisha vyama.

Hadi tunaenda mitamboni inaaminika kuwa Marehemu Mzee Samwel Sitta akiwaongoza akina Nape, Lembeli waliiunda CCJ kama mbadala na sio kujiunga na vyama vya upinzani vilivyopo lakini hata hivyo hawakuwahi kuthubutu kuachana na CCM.

Je, Bernad Membe anauwezo kuanzisha na kusajili chama cha siasa na kuwa na ushawishi kwa Watanzania?
 
Katika makosa makubwa ambayo CCM wamefanya ni kumfukuza Membe wakati huu.

Kiintelijensia alipaswa kufukuzwa mwishoni mwa mchakato wa uchaguzi mkuu 2020, Kwani ingewanyima wanachama wa CCM muda wa kutafakari na kujipanga upya.

Tofauti na Lowasa ambaye walimkatilia mbali katika hatua za mwisho kabisa. hata hivyo alikukuruka.

Kwa sasa Membe anawakati mzuri wa kufanya mikakati (kama anataka) na kujijenga upya kisiasa nje ya CCM.

Pili, Inampa nafasi wale wanachama machachali waliokuwa hawapendi uongozi wa sasa wa CCM taifa.

Tatu, Hatua hii imewapa usugu wale wanachama waliokuwa wakiogopa ogopa kusema yaliyo ya moyoni sasa watasema "hata membe amefukuzwa sembuse mimi"

Njia pekee iliyobaki kwa CCM kupona ni kuponya majeraha haraka na kufanya mchakato wa wagomea kwa haki, bila kumuonea Mtu.

Wale watakaofanyiwa figisu mara moja watageuka kuwa wapinzania katika Uchaguzi mkuu 2020.

Waliodhani upinzani umekufa wakae mkao wa kula.

Wapo wengi watamfuata.

Time will tell

Kwa njia yeyote, Ebu Twendeni na Membe au Lissu 2020!
Nje ya "system" (CCM, JK, Wanamtandao, nk) Mh. Membe ni mwepesi kama karatasi....katika miaka yake ya uongozi hebu jaribu kutafuta jambo lolote la ki-mkakati au hata hotuba nzito kutoka kwake! CCM wamejaa akina Membe wengi tu seama huwanajiuliza kwanini wapinzani hawawezi kuja na mkakati wa kuibomoa
 
Usalama, Amani na Utulivu wa Taifa ni muhimu kuliko nia ya mtu mmoja au kundi la watu wachache. Hakuna cha kushangaza hapo!
 
MBINU HIYO sasahv anaingia ACT wazalendo hadi tunaelekea Kwenye uchaguzi mkuu watakuwa wanasikika ZZK na MEMBE na sio TL na Mbowe na chadema yao halafu baasda ya uchaguzi anarudi ccm kuunga mkono juhudi lengo lao Kuiua chadema na kuinyanyua ACT kuwa chama kikuu cha upinzani,ndiomaana zzk katengenezewa kashfa za kumpa umaarufu tu kuelekea uchaguzi
Aiseee Kuna logic inside your points
 
Anaweza kuanzisha lakini ushauri mzuri ajiunge chadema ili apotee kabisa kwenye medani za siasa!
 
Ndugu zangu,

Lazima tukiri ya kuwa Rais Mwinyi ndiye rais aliyepata msukosuko mkubwa sana baada ya vuguvugu la siasa za mageuzi (upinzani) kurudi nchini mwaka 1992. Kwani kipindi hichi kila mwanasiasa mwenye ushawishi ndani na nje ya nchi alitishia kuanzisha chama na hivyo kukawa na hofu ya CCM kusambaratika.

Mwaka ule wa alfu kenda tisini na nne (1994) kulikuwa na jabali aliyepata kuwa waziri mwandamizi katika serikali ya Raisi Mwinyi, Prof.Kighoma Ali Malima, alitimkia Uingereza akihisiwa kujipanga kutangaza kujitoa CCM na kuanzisha Chama chake cha siasa kumbuka hapa tayari Ndugu Mrema alishatema cheche na tayari alikuwa akivuma zaidi kule Zanzibar Sefu na wenzie walichachafya kwa msaada wa Sultani wa Oman.

Hawa wote walianzisha vyama vikavuma, baada ya miaka ishirini tunashuhudia mawaziri wakuu wakijitoa CCM huku wakihamia vyama vya upinzani vilivyopo na sio kuanzisha vyama.

Hadi tunaenda mitamboni inaaminika kuwa Marehemu Mzee Samwel Sitta akiwaongoza akina Nape, Lembeli waliiunda CCJ kama mbadala na sio kujiunga na vyama vya upinzani vilivyopo lakini hata hivyo hawakuwahi kuthubutu kuachana na CCM.

Je, Bernad Membe anauwezo kuanzisha na kusajili chama cha siasa na kuwa na ushawishi kwa Watanzania?

Labda nami nikuulize je, wale Wasiojulikana nao wataweza Kumvumilia kwa Kuuachia Uhai wake hadi hiyo Siku atakayoanzisha hicho Chama chake cha Kisiasa nchini?
 
Ataanzia wapi. Nani atampa form ya kuanzisha chama hicho ? Zama zimebadilika. Asidanganyike . Kwa heri yake kisiasa
 
Labda nami nikuulize je, wale Wasiojulikana nao wataweza Kumvumilia kwa Kuuachia Uhai wake hadi hiyo Siku atakayoanzisha hicho Chama chake cha Kisiasa nchini?
Tukuulize wewe unayewajua hao unaowaita wasiojulikana
 
Kunazisha Chama sio jumbo rahisi, Membe pia sio mtu anaejukikana Sana huku mitaani tunakoishi makabwela. Huku hana ushawishi. Astaafu siasa ama ajiunge na wenye ushawishi au asubiri kurudishwa CCM siku za mbele Kama ulivyo mkakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom