Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

Lazima yawekwe hadharani ili kuwa hadaa watu kwamba ni mkosaji na ipatikane sababu ya kumfukuza.hii kitu imepangwa Mzee jaribu kufikiria asinge dukuliwa ni sababu ipi ingemfukuzisha chamani?
Tayari hakuwa na mwenendo mzuri kwenye chama,tatizo mnaangalia movies sana!Haya ni maisha halisi!
 
Watanzania tumekaririshwa sana mambo yaliotokea 2015, ila hii ya safari hii tutaona mapya mengi zaidi, maana katika kitu CCM wamefeli basi haya maamuzi yao ya kumtoa Membe uwanachama.

Kwanza, asilimia 90% ya wana CCM hawamkubali mwenye kiti wao, ila wanaishi kinafiki tu. Badala ya kutibu tatizo waliokua nalo wameenda kuongeza tatizo.

Kwa kilichitokea kwa Membe ni "SMS" kwa yoyote yule atakaetaka kuchukua form ya kugombea urais na kushindana na Magu. Kifupi, CCM imekua chama cha mtu mmoja tu (Kampuni Ya Mtu Binafsi), hakuna mwenye sauti ya kuongea anachoona na anachoamini.

Ikumbukwe mwanzo kabisa CCM walikua wanashangilia upinzani na raia walivyokuwa wanasulubiwa na watawala, wakaambiwa wakishaisha kushughulikia wapinzani na raia kusulubu kutahamia ndani ya chama. Sasa yamewafika.

CCM wamejiingiza kwenye wakati mgumu sana toka chama kianzishwe. Na mwisho wao umefika kisiasa.
 
Sheria mpya na kandamizi inamtaka mgombea urais awe amekaa miaka 2 chamani

Jr[emoji769]
 
Silaha za mwisho za CCM!
masoudkipanya_B9GSmqxjtws.jpeg
masoudkipanya_B9A_6OMDjZT.jpeg
Dpmw-LYXUAAsrws.jpeg
 
You are focusing on the snake and you are missing the scorpion. Adui wa mtu huwa hatoki mbali kama ambavyo Raisi wetu anajiaminisha. Anaokula nao na kuwaosha miguu ndiyo maadui zake.

Mungu na Shetani, Yesu na Yuda, Kaisari na Brutasi ndiyo uhalisia wa dunia ulivyo. Hapa ni suala la muda tu.
 
Hizi ndizo silahaa za mwisho za CCM linapokuja suala la kuchukua dola!
tapatalk_1582962316900.jpeg
masoudkipanya_B9GSmqxjtws.jpeg
masoudkipanya_B9A_6OMDjZT.jpeg
 
You are focusing on the snake and you are missing the scorpion. Adui wa mtu huwa hatoki mbali kama ambavyo Raisi wetu anajiaminisha. Anaokula nao na kuwaosha miguu ndiyo maadui zake.

Mungu na Shetani, Yesu na Yuda, Kaisari na Brutasi ndiyo uhalisia wa dunia ulivyo. Hapa ni suala la muda tu.
Hiyo mifano yako ndio nimeipenda bwashee!
 
Kama kwa aliyoyafanya Lowassa upinzani hautajifunza then kifuatacho ni kua mataahira tu.
 
Back
Top Bottom