mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ndio, yeye ndo mgombea bora mwenye sera za uhakika za kunisaidia kwenye haya
Kwani kazi ya mbunge ni nini?? Tuanzie hapo?Lisu alikuwa mbunge wa singida amefanya nini huko singida?
Kusema watu wameuwawa ni kuhubiri chuki?Mhubiri chuki amefungwa breki aende akashtaki kwa Robert [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani kazi ya mbunge ni nini?? Tuanzie hapo?
Sasa kama hujui Kwa nini umeuliza utopolo wako hapa???? Jinga kabisa wewe!!Sijui nielimishe
Kwani Singida iko Kenya na kwanini usimhoji rais kuwa kaifanyia nini Singida.Lisu alikuwa mbunge wa singida amefanya nini huko singida?
Sasa kama hujui Kwa nini umeuliza utopolo wako hapa???? Jinga kabisa wewe!!
Kazi ya mbunge ni kuisimamia serikali na kuishauri serikali
Kazi ya mbunge ni kutunga sheria
Kazi ya mbunge ni kuwasilisha hoja za wananchi wako kwa serikali!!
Kwani Singida iko Kenya na kwanini usimhoji rais kuwa kaifanyia nini Singida.
Ataleta maendeleo gani??? Mbunge anakusanya kodi???Kuleta MAENDELEO kwenye jimbo sio kazi ya mbunge?
Ataleta maendeleo gani??? Mbunge anakusanya kodi???
Unajua zinatengwa shs ngapi kwa mwaka wa fedha??? Kwa kila jimbo???Hela za mfuko wa Jimbo?
Unajua zinatengwa shs ngapi kwa mwaka wa fedha??? Kwa kila jimbo???
Utajenga mradi wa maji kwa Mil 60??? Utajenga barabara kwa Mil 60??? Utajenga shule kwa Mil 60???
Mnataka aendelee na kampeni ili mseme amefanya kosa mumuondoe kweny uchaguzi?,/hata kama kafyata mkia poa siku 7 si nyingi subiri spana zingineTunamuongelea mwanasheria apa yeye kama anaweza kuvimba basi aendelee kuvimba tuone
Amani pasipo na haki ni bure,bora kichafuke 2 tuache uogaCcm , chadema,NEC,ZEC ,JWTZ,POLISI TANZANIA tunawaomba Sana mtulindie amani ya nchi yetu..
AMANI YA NCHI YETU NI MUHIMU SANA KULIKO SIASA ZENU
Nilifikiri tunajadili na mtu mwelewa, wastani wa mfuko wa jimbo ni 30m utajenga madarasa mangapi, wodi ngapi utajenga km ngapi za barabara, ona aibu.Hela za mfuko wa Jimbo?
Kiongozi wa nchi humletea mwananchi maendeleo, bali hujui. Huwezi kuwa na uchumi binafsi ulioshamiri kama uchumi wa taifa uko legelege. Sera za uchumi hutungwa na kusimamiwa na dola na kiongozi ni rais. Utaendelezaje uchumi binafsi kama sera zinazotungwa ni za kusimamia maslahi ya wachache na wengine ni kukamuliwa kodi hata ukiuza mchicha? Utajengaje uchumi wako wakati wengi waliokuzunguka wamekata tamaa? Kifupi kasome nadharia ya uchumi.FANYA KAZI KWA BIDII SIO MAGUFULI WALA LISU ATAKAYE KULETEA MAENDELEO.
hakuna sehemu yenye Vita wanapoishi kwa kula raha
Hii ngoma ni ngumu kwa Lissu, kuna vizingiti vingi sana vyama vya upinzan wamewekewa, hapa nipo Kigogo mwenyeviti wa mitaa wanapita kuchukua vitambulisho vya kupigia kura na namba za simu, Uswahilin uelewa mdogo hata kuhoji ni vinaenda kufanyiwa nn hamna!Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.
Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.
Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi, nini siku 7. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.
Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.
Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya walichopanga juu yake.
Good, CC :LissuPamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.
Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.
Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi, nini siku 7. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.
Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.
Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya walichopanga juu yake.
Acha wafanye ila kuna siku hata nyani hushindwa kupanda miti.Hii ngoma ni ngumu kwa Lissu, kuna vizingiti vingi sana vyama vya upinzan wamewekewa, hapa nipo Kigogo mwenyeviti wa mitaa wanapita kuchukua vitambulisho vya kupigia kura na namba za simu, Uswahilin uelewa mdogo hata kuhoji ni vinaenda kufanyiwa nn hamna!