Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaKisiwepo chochote, kuwe kimya kabisa. Hakuna mahubiri, mawaidha, muziki au movies.
Kelele za muhubiri zinamfanya dereva asisinzie.Tabia hii inazidi kukua kila kukicha japo inaudhi. Hawa watu wanalipwa na nani na wanatoka wapi?
Lazima ifike mahali tukubaliane kwamba kila mtu ana imani yake kulingana na alivyolelewa na kwamba swala la imani ni binafsi na kuna maeneo mahususi ya kuabudu.
Makanisa ya kilokole kina Mwamposa na wenzake wanaoibuka kila siku kama uyoga. Hawa huwapata wale waliopoteza matumaini na dini zao za asili.
Hawa huamini kwamba wafuasi wao wanapatikana popote hata kwenye mabus na stand siijawahi kumuona padre wa RC wala askofu achilia mbali shemasi akihubiri barabarani. Nadiriki kusema na kuamini kwamba hawa wanaofanya mahubiri yao barabarani na kwenye mabasi ni walewale wenye asili ya kuhani musa na mzee wa upako.
Waislamu, hawa shughuli zao huishia misikitini na kwenye makusanyiko ya warming wao. Japo na wao wanatumia vipaza sauti ambazo mara nyingi huwa ni kero kwa wasiohusika lakini hutolewa kwenye maeneo maalum tu.
Wapagani na wasio na dini, hawa ni pamoja na wqnaoamini katika miungu ya kale (waliowengi hawajitanabahishi) lakini hukereka sana na wapo wengi.
Unakuta mtu mmepanda kwenye usafiri wa umma au mkiwa stand kila mtu akielekea kwenye mambo yake tena na mawazo tofauti mtu anawasha speaker yake ya mchina na kuanza kuhubiri dini? Aliyewambia mungu yupo kwenye daladala au standi ni nani?
Ni kweli kuna uhuru wa kuabudu kwa mujibu wa sheria lakini kila uhuru unamipaka yake. Kwa kutambua hilo ndo maana serikali imetenga maeneo maalumu ya kufanyia ibada ambako warming hukutana huko na kumuomba huyo mungu.
Utaratibu wa kuhubiri kwenye mabasi ya umma na vituo vya mabasi ni utaratibu holela na unakiuka haki za watu wengine wasiopenda kusikia habari za Mungu kwa wakati huo.
Wale mnaowapa pesa watu hawa pia mngezielekeza pesa zenu kwa wahitaji moja kwa moja ili zimfikie huyo mungu na mupate baraka muwe na mafanikio zaidi hata kama wengi wenu ni wezi wa mali za umma, waongo, wazinzi, waasherati na wasengenyaji (baada ya kutoka kwenye nyumba za ibada).
Uhuru wako uishie mwisho wa pua yako, vinginevyo ni vurugu!
Nawasilisha.
Popote pale. NENO linahubiriwa.kwahiyo neno la kwenye bibilia linaweza kwenda kuhubiriwa msikitini?
Unazidi kuongea upuuziWewe hunifikii kwa lolote hata Yesu alipokuwa anamjaribu Yesu alitumia vifungu tena vya kweli lakini alishindwa.Ukiwa mpumbavu unajibiwa kufuatana na ulivyo soma Mathayo sura ya 23 yote uone jinsi Yesu Kristo alivyowapa makavu Mafarisayo.
Wanaenda mbona,hujawaona tu.Mimi napinga sana mbona makanisa yapo yale yana kazi gani?Mbona hamwendi kwenye mabaa na guest kuhubiri ila masokoni na kwenye mabasi mnapenda sana.
Mi nikipanda basi bila mahubiri sisikii raha.Kisiwepo chochote, kuwe kimya kabisa. Hakuna mahubiri, mawaidha, muziki au movies.
Haha lakini ujumbe si umemfikia mlengwaMkuu umenichekesha kwa comment yako na hii id yako,what a contradiction !!!
Kwahiyo jamaa umegoma kuokoka unamkataa hata bwana aliyekununua kutoka utumwani utakuwa una pepo zoefuSio kwenye bus Sasa.
Wewe una pepo, syo bure.Tabia hii inazidi kukua kila kukicha japo inaudhi. Hawa watu wanalipwa na nani na wanatoka wapi?
Lazima ifike mahali tukubaliane kwamba kila mtu ana imani yake kulingana na alivyolelewa na kwamba swala la imani ni binafsi na kuna maeneo mahususi ya kuabudu.
Makanisa ya kilokole kina Mwamposa na wenzake wanaoibuka kila siku kama uyoga. Hawa huwapata wale waliopoteza matumaini na dini zao za asili.
Hawa huamini kwamba wafuasi wao wanapatikana popote hata kwenye mabus na stand siijawahi kumuona padre wa RC wala askofu achilia mbali shemasi akihubiri barabarani. Nadiriki kusema na kuamini kwamba hawa wanaofanya mahubiri yao barabarani na kwenye mabasi ni walewale wenye asili ya kuhani musa na mzee wa upako.
Waislamu, hawa shughuli zao huishia misikitini na kwenye makusanyiko ya warming wao. Japo na wao wanatumia vipaza sauti ambazo mara nyingi huwa ni kero kwa wasiohusika lakini hutolewa kwenye maeneo maalum tu.
Wapagani na wasio na dini, hawa ni pamoja na wqnaoamini katika miungu ya kale (waliowengi hawajitanabahishi) lakini hukereka sana na wapo wengi.
Unakuta mtu mmepanda kwenye usafiri wa umma au mkiwa stand kila mtu akielekea kwenye mambo yake tena na mawazo tofauti mtu anawasha speaker yake ya mchina na kuanza kuhubiri dini? Aliyewambia mungu yupo kwenye daladala au standi ni nani?
Ni kweli kuna uhuru wa kuabudu kwa mujibu wa sheria lakini kila uhuru unamipaka yake. Kwa kutambua hilo ndo maana serikali imetenga maeneo maalumu ya kufanyia ibada ambako warming hukutana huko na kumuomba huyo mungu.
Utaratibu wa kuhubiri kwenye mabasi ya umma na vituo vya mabasi ni utaratibu holela na unakiuka haki za watu wengine wasiopenda kusikia habari za Mungu kwa wakati huo.
Wale mnaowapa pesa watu hawa pia mngezielekeza pesa zenu kwa wahitaji moja kwa moja ili zimfikie huyo mungu na mupate baraka muwe na mafanikio zaidi hata kama wengi wenu ni wezi wa mali za umma, waongo, wazinzi, waasherati na wasengenyaji (baada ya kutoka kwenye nyumba za ibada).
Uhuru wako uishie mwisho wa pua yako, vinginevyo ni vurugu!
Nawasilisha.
Mungu Yuko mahali popote, na sehemu yoyote. Kama mungu wako hawezi kuwa kwenye daladala basi sio Mungu aliye Hai, Wakristo Mungu wao yuko kila mahali.Tabia hii inazidi kukua kila kukicha japo inaudhi. Hawa watu wanalipwa na nani na wanatoka wapi?
Lazima ifike mahali tukubaliane kwamba kila mtu ana imani yake kulingana na alivyolelewa na kwamba swala la imani ni binafsi na kuna maeneo mahususi ya kuabudu.
Makanisa ya kilokole kina Mwamposa na wenzake wanaoibuka kila siku kama uyoga. Hawa huwapata wale waliopoteza matumaini na dini zao za asili.
Hawa huamini kwamba wafuasi wao wanapatikana popote hata kwenye mabus na stand siijawahi kumuona padre wa RC wala askofu achilia mbali shemasi akihubiri barabarani. Nadiriki kusema na kuamini kwamba hawa wanaofanya mahubiri yao barabarani na kwenye mabasi ni walewale wenye asili ya kuhani musa na mzee wa upako.
Waislamu, hawa shughuli zao huishia misikitini na kwenye makusanyiko ya warming wao. Japo na wao wanatumia vipaza sauti ambazo mara nyingi huwa ni kero kwa wasiohusika lakini hutolewa kwenye maeneo maalum tu.
Wapagani na wasio na dini, hawa ni pamoja na wqnaoamini katika miungu ya kale (waliowengi hawajitanabahishi) lakini hukereka sana na wapo wengi.
Unakuta mtu mmepanda kwenye usafiri wa umma au mkiwa stand kila mtu akielekea kwenye mambo yake tena na mawazo tofauti mtu anawasha speaker yake ya mchina na kuanza kuhubiri dini? Aliyewambia mungu yupo kwenye daladala au standi ni nani?
Ni kweli kuna uhuru wa kuabudu kwa mujibu wa sheria lakini kila uhuru unamipaka yake. Kwa kutambua hilo ndo maana serikali imetenga maeneo maalumu ya kufanyia ibada ambako warming hukutana huko na kumuomba huyo mungu.
Utaratibu wa kuhubiri kwenye mabasi ya umma na vituo vya mabasi ni utaratibu holela na unakiuka haki za watu wengine wasiopenda kusikia habari za Mungu kwa wakati huo.
Wale mnaowapa pesa watu hawa pia mngezielekeza pesa zenu kwa wahitaji moja kwa moja ili zimfikie huyo mungu na mupate baraka muwe na mafanikio zaidi hata kama wengi wenu ni wezi wa mali za umma, waongo, wazinzi, waasherati na wasengenyaji (baada ya kutoka kwenye nyumba za ibada).
Uhuru wako uishie mwisho wa pua yako, vinginevyo ni vurugu!
Nawasilisha.
Haya yote ni kero. Magari ya umma hayatakiwa kuwa na kelele. Ni uzembe wa mamlaka kama wanavyozembea kwenye kila kitu. Kama mtu umewahi kutembea nci zilizoendelea nadhani utaelewa kwani kule huwezi kusikia kelele kwenye magari.Unaweza ukawa na point .lakini pia ile miziki ya bongo fleva kwenye mabasi nayo ya nini ? kwani bus ni eneo la starehe mahala pa kupigia mziki na kukata mauno?
tukiruhusu mziki ya bongo fleva ujue shetani anapiga campain na tukiruhusu mahubiri kwenye gari ujue MUNGU wa IBRAHIMU anapika campain. sasa chagua utampia kura nani
Yuko kila mahali ndiyo lakini huwezi kufanya vurugu za kelele kila mahali.Mungu Yuko mahali popote, na sehemu yoyote. Kama mungu wako hawezi kuwa kwenye daladala basi sio Mungu aliye Hai, Wakristo Mungu wao yuko kila mahali.
Hivi dini zote zingekuwa zinahubiri stendi ingekuwaje?Kama sijakosea walikatazaga kwenye mabus ila kwa stendi mkuu unaweza kujiepusha kuyasikia kwa kupita njia nyingine vitu vingine tusicomplicate maisha.
Mimi nikiwaita matapeli watu wanakuja kusema kuwa usidharau dini za watu huu ujinga umepitliza.Makanisa yapo kila siku hao wahubiri feki wako kama waganga wa kienyeji tena afadhari hata waganga wa kienyeji kuliko hao matapeli.Mtu unasafiri mara linakuja lijitu kukuvurugia mipango yako.Huu utapeli mimi siupendi hata kidogo.
Kuna sehemu ambazo watu hawaendi misikitini wala makanisani lakini watu ni waaminifu kweli kweli. Kwa kifupi nchi zenye raia wanaofuata sana dini zimejaa maovu mengi na nchi zenye watu wasifuata dini kuna watu wema.Wacha tuhubiri watu wamjue Mungu. Usidanganyike bro, amani ya nchi hii haitokani na kuwa na jeshi zuri juridical mataifa mengine yenye vita ila ni kutokana na hofu ya Mungu ambayo watu wanayo. Na hofu hii huja pale tunapowahubiria na kuwaombea Watanzania. Tuache tuhubiri kama ambavyo kuna Bongo flavor na Sinema kwenye mabasi.
Hata mwenyew sijui ingekuajeHivi dini zote zingekuwa zinahubiri stendi ingekuwaje?