Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahau,ukijua kuwa ilikuwa kwamanufaa ya watu Fulani haitakuwa rahisi kuchunguza.Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliptaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
Nakubaliana nawe, lakini najua hawawezi kufanya hivyo. Hawa wote wanalinda maslahi yao hata kama kiongozi wao kaondoka.Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliptaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
Well said mkuu , ikibidi chama chake kimsaidieNakubaliana nawe, lakini najua hawawezi kufanya hivyo. Hawa wote wanalinda maslahi yao hata kama kiongozi wao kaondoka.
Ndiyo, Tundu Lissu au mtu/watu wanaomwakilisha wawasilishe ombi hilo kiutaratibu ili pawepo na kumbukumbu.
Serikali wakikataa kwa kulinda watu wake au heshima yake hapo itajulikana wamekata.
Kwa hiyo Tundu Lissu atumie njia zake, kama bado hajaanza, kufanya uchunguzi wa kuwatambua bila ya shaka yoyote wahusika waliopanga na waliotumwa kutekeleza uhalifu huo.
Siamini kwamba hali jambo halimsumbui akilini Tundu Lissu, kutojua, au kutokuwa na uhakika na ushahidi kamili wa nani wahusika waliotaka kutoa roho yake.
Exactly, na hapo dunia nzima itajua wote Lao mojaDhalimu ndio muhusika, hivyo usitegemee uchunguzi kufanyika. Japo sio vibaya kudai uchunguziguzi ufanyike, na wakigoma ndio ushahidi wa wahusika unazidi kukamilika.
Mmoja wa hao mataga ni Pasco wa JFHapa ile mitaga iliyosema mbowe au dereva wa lisu walihusika tunaomba wajitokeze
Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliptaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
Hivi mbowe na genge lake la wakaskazini aliwahi kukanusha hizo tuhuma?Hapa ile mitaga iliyosema mbowe au dereva wa lisu walihusika tunaomba wajitokeze
Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliptaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
Sahau hilo wanalindana hawa Mungu pekee ndio hukumu ya haki kamlipia Lisu.Haki na uhuru vitaiweka serikali huru.