Kuhusu dhuluma dhidi ya Tundu Lissu ni wakati muafaka sasa uchunguzi huru ufanyike

Kuhusu dhuluma dhidi ya Tundu Lissu ni wakati muafaka sasa uchunguzi huru ufanyike

Hii ishu ya Lisu ni funzo mahususi walengwa ni sisi tulio hai tujifunze kuhusu ukuu wa Mungu.
 
Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliptaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
sem2708
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100

Imenenwa katika kitabu cha Mithali 14:34 kuwa "Haki huliinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote"

Iwapo Taifa litagomea uchunguzi huru , basi lijue kuwa limelitumbukiza Taifa zima katika aibu hiyo ya kuogelea kwenye dhambi.
 
Hivi mbowe na genge lake la wakaskazini aliwahi kukanusha hizo tuhuma?
UmkhontoweSizwe
Hivi wewe mbona unaongea upuuzi wa kiasi hicho?

Hivi umesahau kuwa Mbowe aliomba uchunguzi huru, ili kama yeye ndiye aliyehusika na njama za ka kumwua Tundu Lissu atajwe publicly?

Lakini nini kilitokea baada ya hapo?

Kila mtu atakuwa anakumbuka, ni kwa utawala wa awamu ya 5 chini ya mwendazake kugomea kata kata uchunguzi huo!

Hiyo inatoa picha gani??

Kisheria tunaita ni "circumstantial evidence" kuwa utawala wa awamu ya 5 ulihusika moja kwa moja!
 
Nakubaliana nawe, lakini najua hawawezi kufanya hivyo. Hawa wote wanalinda maslahi yao hata kama kiongozi wao kaondoka.

Ndiyo, Tundu Lissu au mtu/watu wanaomwakilisha wawasilishe ombi hilo kiutaratibu ili pawepo na kumbukumbu.
Serikali wakikataa kwa kulinda watu wake au heshima yake hapo itajulikana wamekata.

Kwa hiyo Tundu Lissu atumie njia zake, kama bado hajaanza, kufanya uchunguzi wa kuwatambua bila ya shaka yoyote wahusika waliopanga na waliotumwa kutekeleza uhalifu huo.

Siamini kwamba hili jambo halimsumbui akilini Tundu Lissu, kutojua, au kutokuwa na uhakika na ushahidi kamili wa nani wahusika waliotaka kutoa roho yake.
Mkuu kama Tundu Lissu alikuwa mtanzania wa kwanza kujua kwamba mwendazake amekata kamba (ukiacha watu wake wa karibu waliokuwa wanamuhudumia) kupitia sources zake, unafikiri hajui watu waliomshambulia kupitia sources hizo hizo? Suala la Lissu kupigwa risasi lina sarakasi nyingi sana, inaonekana parties nyingi sana zilishiriki hilo swala, maigizo ni mengi, ni kama lilipangwa kwa makusudi na kikundi flani kwa madhumuni flani flani...! But I can assure you Lissu anajua A.....Z about nini kilitokea that day.
 
Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliptaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
Muuaji kafa yeye.
 
Hivi mbowe na genge lake la wakaskazini aliwahi kukanusha hizo tuhuma?
UmkhontoweSizwe
Hivi wewe unesahau namna Jeshi LA Polisi lilivyozuia uvaaji wa T/Shirts zilizoandikwa "We pray for quick recovery of Tundu Lissu"

Hivi unadhani Jeshi la Polisi la nchi hii linawezaje kuchukua hatua hiyo kama utawala wa awamu ya 5 haukuwa unahusika na kadhia ile??

Hata hivyo Mungu amethibitisha ukuu wake kwa Tundu Lissu kuendelea kuwa hai hadi hivi leo na mtesi wake kutangulia mbele ya haki!
 
Alitakiwa awe kalala kwenye kibanda umiza, ila leo Lissu yupo hai na mwenye afya njema....Mungu ni Mkubwa sana.
 
Waliobakia wote watacheza na karma watapukutika wote ikiwemo walinzi waliowafungulia geti magaidi watende unyama.
 
Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliptaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
mhusika kapendwa zaidi ,mtamfuata huko alipo?
 
Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliptaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
Hio itarumdisha umoja na iman kwa watu, na zile sheria mbovu zilizopitishwa kwa Zarura, ziondolewe kwa Zarura, Hakuna mtu anayetaka na hofu ndani ya nchi yake
 
Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliptaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
Aluyeamuru auawe ameishakufa
 
Lissu ninani azalishwe yeye huko alipo anasafisha matako ya wazungu na mwenzie Lema na Corona hii chanjo hii wanachekacheka tu na kusema "mi ni mtu mkubwa Huko Africa nione hivi hivi "
Pumbavu

we jamaa mbona hujui kiswahili ? tukiwaambia msikae sana bush mtafanana na nyani mnabisha, unaona matokeo yake ? Yan kabla hujasema hauna elimu tushakujua hauna elimu, majitu ya ccm bwana kichwani kuna mavi ya ngombe
 
Mabwana zake huko Ubelgiji wamsaidie si alikimbilia huko?
kodi zetu zisitumike kwa ajili ya msaka tonge.
Hivyi kwa nini harudi si mwendazake alishatangulia mbele za haki?
 
Back
Top Bottom