Mkuu kama Tundu Lissu alikuwa mtanzania wa kwanza kujua kwamba mwendazake amekata kamba (ukiacha watu wake wa karibu waliokuwa wanamuhudumia) kupitia sources zake, unafikiri hajui watu waliomshambulia kupitia sources hizo hizo? Suala la Lissu kupigwa risasi lina sarakasi nyingi sana, inaonekana parties nyingi sana zilishiriki hilo swala, maigizo ni mengi, ni kama lilipangwa kwa makusudi na kikundi flani kwa madhumuni flani flani...! But I can assure you Lissu anajua A.....Z about nini kilitokea that day.