Kuhusu dhuluma dhidi ya Tundu Lissu ni wakati muafaka sasa uchunguzi huru ufanyike

Mi nilipenda alivyokua kua anahoji Raisi yuko wapi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Legasi ya mkulu aliyepita itaharibiwa...

Achana na hio ndoto mkuu,, fanya mambo mengine..
 
Kuhusu hili TL.kafanya kosa moja tu la kumtaja sana kwenye mikutano yule mzee wa watu aliyemsaidia kupata ndege ya kumpeleka Nairobi. Baada ya hapo jamaa walimuwekea vikwazo mpaka kaaga dunia kwa pressure!
 
Yaani shujaa muovu alipanga hadi mazishi ya Tundu Lissu wakisha muua. Mungu mwema kifo kikagoma wanamaombi tukaomba kama huyu aliye pigwa risasi hakufa basi aliye panga hayo mauaji afe yeye.
 
Umeme tu umewashinda ambao hauongei wala hauwezi kusema kwanini GePG ilifeli na ikifeli mbadala wake nn,..serikali imeamini mbadala nikumfukuza mtaalam(manager).mbele kwambele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…