Kuhusu maoni yangu binafsi kwa warembo wa jfπŸ˜…

Tutajie pisi kali zote tukazipongeze pm
 
Hivi kuandika uzi ukiwa na emoji nyingi ni ishara ya joke ama
 
Unajua umenifanya nifikirie matatu hapa.
unaweza kuta zile pisi either umezipa ignore au wao ndio wamekutia ignore.
Au wote mmetiana ignore.

So hapa % inawezekana wasione.

Naomba unitajie ili niwatag bro😊😊😊
Nimewatia tu ignore sipendi kuwauzi , vina6 wangu ambao wametekwa na maaamuzi ya kihisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…