Kuhusu mwanamke mjamzito aliemwambia mume wake akatumie kisu na mikasi kumzalisha, Chalamila ametoa utetezi hauna kichwa wala mdomo, wa hovyo kabisa!

Mama kabla hajateuwa watu awe anawaangalia hata pua zao...kuna pua tu ukiona unajua huyu mtu hakupaswa kuzalisha vitu vingi kutokea mdomoni (maneno) bali yupo specifically kuzalisha vingi vya puani (Kamasi).
📌acha chuki binafsi CONDOM ni bure ukishindwa fungeni vizazi!!!
 
📌kama huna hela funga kizazi!!!
 
Sijui unabisha Nini.
Pale heading haiendani na video.
Hiyo video ipo mahali pengine,nimeiona sasa hivi,but now I cannot find it,ambayo inasema," hapa Chalamila anaongea kuhusu mwanamke mwenye mimba".
Wewe ndio mbishi na ubishi wako unatokana na kutoelewa. Wewe unatafuta video ya Chalamila akiongea suala la mwananmke wa mimba kwenye hii tread wakati hii thread ni ya Chalamila akijitetea alichoongea juu ya mwanamke mwenye mimba. Huko tulishapita

Sasa kwa kukusaidia tu, maana nimeshaona wewe ni mzito kuelewa ni hivi, kuna video mbili

1. Chalamila aliongea kwamba mwanamke mwenye mimba aende kwa mume wake amkate kwa kisu na mikasi


2. Chalamila akijitetea kuhusi alichosema juu ya mwanamke mwenye mimba kwenda kwa mume wake

https://www.jamiiforums.com/data/video/5941/5941970-5d7a67a40c48732fa0228eed39dc2a94.mp4
 
Hii inchi kwakweli hatuwezi kuendelea kama idadi kubwa ya wakazi wake wana akili ya aina yako....
 
Mkuu acha hilo,!!! Usipende kutetea uongo. Kuna gloves za 50,000? Hata kama zipo, nami nikawa sina fedha, umejuaje nimezimalizia kwenye vigodoro? Mkuu wa Mkoa aombe radhi, full stop.
Inamaana mkeo abebe mimba miezi 9 usiwe na maandalizi yoyote(akiba ) kujifungua? ,Albert kakosea ,manesi wamejibu vibaya ila mume wa huyo mama ndio mpumbavu mkubwa kabisa.
 
Mama Samia Legal help imsaidie huyu mama kumfungulia kesi ya udhalikishaji aliyesema .
Hatuwezi kuwa na watu ambao hawajui wajibu wao halafu hawawajibishwi kesheria
 
Inamaana mkeo abebe mimba miezi 9 usiwe na maandalizi yoyote(akiba ) kujifungua? ,Albert kakosea ,manesi wamejibu vibaya ila mume wa huyo mama ndio mpumbavu mkubwa kabisa.
Wengine saidia fundi wanachojua ni kutia mimba tu sio kulipia gharama, wanawake wengi wanaotoka salama hospital baada ya kujifungua pesa halipi mwanaume ni michango ya wanandugu wanajichanga changa wanalipia ndio mwanamke anatoka wanamletea mabeseni nyumbani jaribu kufuatilia isingekua hivyo wanawake wengi wangekata moto

Umemsahau yule mwanamke aliekufa baada ya kushindwa kulipia laki 1 na 50 baada ya kung'atwa na nyoka ikapatikana laki 1 na 30 ila madaktari na manesi wakaigomea wanataka full package umeshasahau?
 
Mama Samia Legal help imsaidie huyu mama kumfungulia kesi ya udhalikishaji aliyesema .
Hatuwezi kuwa na watu ambao hawajui wajibu wao halafu hawawajibishwi kesheria
Hakuna kitu hapo hizo ni takataka km takataka zingine kesi ya nyani huwezi ukampelekea ngedere ni ujinga mtupu
 
📌acha chuki binafsi CONDOM ni bure ukishindwa fungeni vizazi!!!
Basi serikali ipunguze kodi ya VAT na Payee kwaajili ya kuchangia matibabu ya Afya na kila kukicha kutangaza Kujifungua ni bure kwa taasisi za Umma Taira wewe.
 
Alivyokuwa RC mwanza mama alimpiga benchi akaenda ikulu analia makamasi yanamtoka kama mtoto kuomba msamaha
Yes, na huu ni mfano tosha wa jinsi tabia na personality zetu zilivyongumu kubadilika. Nafikiri mnakumbuka kauli iliyomfanya mama kumweka benchi akizani huyu jamaa atajifunza.

Waswahili wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka,jamaa kajiona juu baada ya baadhi ya kauli zake kubebwa kwenye social media, sasa kajaa kiburi, kajaa majivuno mpaka anafikia hatua ya kuropoka, sawa kuropka ni shida ila linakuwa tatizo kubwa sana tena sana pale unaporopoka kwenye sehemu sensitive, sehemu inayohusu maisha ya mama na mtoto. Kibaya sababu aliyotoa ni ya kitoto kabisa na hana huhakika.

Unajua hawa voingozi wanalipiwa bills zote (utilities); nyumba, mafuta, umeme na wengine mpaka chakula, kwa hiyo hawajui hustle tunayopitia sisi wananchi wa chini, Oh!! kuna siku tunasepa na mchana, kula ni usiku baada ya breakfast ya asubuhi viazi vya kukaanga, maharage na chai ya rangi ;yeye anasema tunaspend kwenye vigodoro. Shabash.
 
Baada ya huu mkutano kuisha ilitakiwa atumbuliwe
 
Fanya kazi uwe na uwezo wa kujihudumia serikali ndo inatia watu mimba??!!!


📌📌📌Infact njia kuu zote za kuingia dar watu wanatakiwa waende na vitambulisho maalum kama mtu hana kazi asiruhusiwe kuingia Dar.
Unaongea kama serikali inahudumia gharama za watu za maisha za kila siku.
 
Aibu sana kuwa nakiongozi mjinga anayeungsa mkono wazazi kuchangishwa...
Sote tunajua vifaa hufichwa na mzazi kuagizwa akajinunulie Leo mkuu wa mkoa anaropoka bila tafakuri ya maana!!
Huyu RC anatofauti gani nawale manesi roporopo wanaotukana wagonjwa?? Stupid kabisa!!
 
Fanya kazi uwe na uwezo wa kujihudumia serikali ndo inatia watu mimba??!!!


📌📌📌Infact njia kuu zote za kuingia dar watu wanatakiwa waende na vitambulisho maalum kama mtu hana kazi asiruhusiwe kuingia Dar.
Serikali haitii mimba lkn maskini wapo nchi yoyote. Huwez kutoa kauli km ile aliotoa Chalamila
 
onesha hiyo sera ya afya inayosema serikali italipa pesa za vifaa vya kujifungulia mama wajawazito? Weka hapa watu waone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…