Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bodaboda hawahawa wanyoa viduku na Kula viroba ASUbuhKipato cha boda boda ni kikubwa kuliko ajira nyingi za serikalini na private kila siku boda boda anapata kati ya 30k kwa 50k kwa mwezi ni 900k kwa 1.5m hamna makato au Paye, niambie graduate wangapi wanapokea hicho kiasi kama net take home ............na boda boda inako elekea vijana wa sio jielewa wata kosa wateja hamna abilia anae penda kusafiri na dereva mvuta bangi au mlevi
Kweli kabisaMaisha hayana fomula
Na hawajawahi kumuomba mtu support!! Tuache kudharau Kazi za watu, by the way matumizi mengi ya surplus money ni pamoja na michango mingi ya kijamii, ukijitenga nayo mbona Kipato Cha bodaboda kinatosha kabisa kuendesha maisha ya Raha Mustarehe!!!Kuna mzee mmoja yule ako na 50s Kama sikosei..yeye na vijana wake watatu wote bodaboda miaka nenda Rudi..dah
Na anaweza hata mzidi OP na take home yake.
Ujinga wa vijana wengi wa boda ni kama walivyo wachimbaji madini Yani wanaamini mgodi upo tu. Same as boda anaamini boda zipo tu .Hao wana hela Sana
Kuna dogo ngosha anakesha usiku anakwambia mpaka asubuhi ana 40,000 tatizo Starehe.
Hapo sasa.Maisha hayana formula,
Babu wa Loliondo alitoboa uzeeni,akili kumkichwa.
Hakuna Bodaboda ambaye ni mwalimu ?Bodaboda si kama kazi nyingine.
Na ni ujinga kulinganisha bodaboda na ualimu au udaktari, hizi ni noble professions.
Bodaboda linganisha na Machinga na Mamantilie huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari!
Binafsi ninapomwona bodaboda mtu mzima mwenye miaka 50-60 napata mshituko kidogo na kuanza kuiogopa kesho yangu.
Najiuliza maswali yafuatayo;
1. Kayumba ukumbwani mpaka kaamua kuingia kwenye kazi za vijana wanaoishi vijiweni kutwakutwa kwa utani na matusi?
2. Atafanya hiyo kazi mpaka lini, na siku akiacha ataenda kufanya kazi gani?
3. Je, Mimi nikiyumba uzeeni nitafanya kazi gani?
NJE YA MADA
Vijana tijifunze kuwekeza kwenye shughuli ambazo zitaleta matunda baadaye na si kuangalia leo tu.
Kwamba ulitaka afanye shughuli gani mkuu? Au alipaswa akae tu au alitakiwa awe na kampuni labda?
Usihoji Kaz yake hoji je anapiga hatua kimaendeleoKuna mzee mmoja yule ako na 50s Kama sikosei..yeye na vijana wake watatu wote bodaboda miaka nenda Rudi..dah
It's a good thing but with mixed interpretationsHabari!