instagramer
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 215
- 492
- Thread starter
-
- #61
We kiazi kweli... Nimeishi 'Manhattan'... Hapa nimezungumzia Tanzania particularly... Sasa wewe unatoka huko KazululanaMimba huko Kigoma unawaza NY hata Dar Hujafika... Si Uchawi huo jamaniNa ambao wako jiji la NY watasemaje?
huyo jamaa ni boya.
Tafuta hela, Dar hizo shida hatunaπ πUsafiri shida,
Mvua ikinyesha tabu tubu.
Mafuriko karibu kila sehemu.
Hapa tunazumgumzia Dar na sio Ukala..π πMimi sitaki hata kukisikia hicho kijiji cha uvuvi.
Na ni ulimbukeni mkubwa kujivunia et kuishi kijiji cha uvuvi
Unajua sababu ya kupungua Mr. Statician????? Kama unajua nijuze halafu nikwambie namimiLabda ndoto ya wajinga.Bora ungesema kufika Dar.
Naweza ishi Dar Kwa kulazimika sio kupenda.
Ingekuwa mambo ni simple hivyo Dar isingejaa watu wanaolala Nje,ma slums,kunuka Kila sehemu na umaskini uliotopea.
Mwisho population ya Dar inazidi kuoungua in favour of other places,Sasa hiyo ndoto Yako ni vipi? ππView attachment 2996517
π hata mimisjawahi fika, sijawahi ota io ndoto, labda mimi sio kijana wa kitanzania.
Jibu ni simple Mabotesho ya Miundombinu ya Uchumi na Huduma MikoaniUnajua sababu ya kupungua Mr. Statician????? Kama unajua nijuze halafu nikwambie namimi
Sasa Kuna jamaa yako sijui ni page ya pili anatuletea data za Dar kupungua wahamiaji na kwamba Katavi inaongoza.... Nimemkubalia Ila nikamuomba anipe sababu.... Nasubiria jibuNipo Dar tangu ina watu chini ya 1m, leo kuna watu 6m plus hawa wote unafikiri wamezaliwa Dar? Hawa wametoka mikoani na wameamua kubaki baada ya kuona maisha bora kuliko walipotoka. ingekuwa kinyume wangekimbia wote kama wanavyokimbia mikoani kuijaza Dar.
Hakuna mji Tz hii watu wanaingia na kutoka kama Dar, na wanaoingia ni wengi kuliko wanaotoka.
Tumekusikia πMmesikia nyie watu wa Mkoaπ
Umepiga kwenye mshonoDar es salaam ni nzuri kwa mtu mwenye kazi nzuri yenye mshahara mnono au mtu mwenye biashara kubwa zinazojiendesha zenyewe ,mtu mwenye nyumba nzuri ya kukaa na usafiri binafsi. Njee ya hapo ni mji wenye mateso makubwa.
Sio kweliπ π .... Maisha Dar Yamekua Magumu kwa watu wengi ambao hawajishughulishi.... So wanapungua Mdogo Mdogo kwenda kulima huko mikoani.... Maana nyumba za kupanga Bei juu na vitu kwa ujumla... Zamani Kigamboni ulipata Chumba selfu kwa 50k Sasa hivi minimum ni 100k Tena single tu, likewise upande wa Msosi.Jibu ni simple Mabotesho ya Miundombinu ya Uchumi na Huduma Mikoani
Huna pesa una MBπ π πnisengukwa na pesa hata JF ningekuwa offline
We ni boya tu sijakuuliza uliwahi kuishi wapi...huna exposure yoyote.We kiazi kweli... Nimeishi 'Manhattan'... Hapa nimezungumzia Tanzania particularly... Sasa wewe unatoka huko KazululanaMimba huko Kigoma unawaza NY hata Dar Hujafika... Si Uchawi huo jamani
Upo sahii Kwa asilimia Mia Na ndio sehemu Tanzania hii walipojaa jobless Na watu wenye maisha magumu kupitiliza1. Nairobi ndo mji ulioendelea Africa mashariki
2. Arusha ndo jiji la starehe Tanzania
3. Kama una hela unaweza kuishi popote, dar wanaenda wasio na hela kutafuta ramani
π π Punguza makasiriko tafuta hela uje Dar!We ni boya tu sijakuuliza uliwahi kuishi wapi...huna exposure yoyote.
Sasa Kwa staili hiyo nani anataka kukaa Dar kama maisha ni magumu? Watu wanakimbia Jiji nyie mnasema ni ndoto ya kuishi π€£π€£Sio kweliπ π .... Maisha Dar Yamekua Magumu kwa watu wengi ambao hawajishughulishi.... So wanapungua Mdogo Mdogo kwenda kulima huko mikoani.... Maana nyumba za kupanga Bei juu na vitu kwa ujumla... Zamani Kigamboni ulipata Chumba selfu kwa 50k Sasa hivi minimum ni 100k Tena single tu, likewise upande wa Msosi.
Mambo ya miundo mbinu and so forth kwa Tanzania bado Sana. Watu wa nje (wageni) ndio wanahamia au ku'invest sababu ya miundombinu ya let's say barabara na hospitali. Ila kibongo bongo tunahama tu kutokana na changamoto za maisha.
Umeona ulivyo mjinga dar ndo nini wewe?? nikikwambia nilipo utajiona mpuuzi tu.π π Punguza makasiriko tafuta hela uje Dar!
π π Tafuta hela Mzee ... Punguza hasira!! Uje kuishi Dar...Umeona ulivyo mjinga dar ndo nini wewe?? nikikwambia nilipo utajiona mpuuzi tu.
Na huko uswahilini daressalam wanarogana kwelikweli,. Inafikia mpaka mtu kununua godoro tu la kulalia anashindwa,miaka nenda rudi analalia mkeka............wakuu daressalam watu wanarogana ili wote wafananeDar ndio makutano ya makabila yote yaliyo beba kila aina ya uchawi,majini,mizimwi na njia panda ya kwenda kwetu motoni kwa shetani
Ila nyie wagikuru ni washirikina Sana asee...Na huko uswahilini daressalam wanarogana kwelikweli,. Inafikia mpaka mtu kununua godoro tu la kulalia anashindwa,miaka nenda rudi analalia mkeka............wakuu daressalam watu wanarogana ili wote wafanane