hata kujenga nyumba ya kupangisha bado sio uchaguzi mzuri kibiashara.Wafanyakazi wengi wanajenga nyumba za kuishi kwa mikopo yenye riba kubwa. Hakuna pesa wanayo save kwa sababu nyumba inakuwa haizalishi huku wakirejesha mkopo wenye riba.
kwa biashara ipi? mud wot wew upo kituon kwako kutoka tu lazim ujaze form ya ruhuaasa mkuu wako wa idara asain .au ndio unampa ndug yako aisimamieHiyo pesa ya mshahara na mikopo unayotumia kujenga miaka 5 au 7 saba nyumba ya vyumba 4 si bora ungeiingiza kwenye biashara miaka 5 upate pesa za kutosha kukuwezesha kujenga ndani ya mwaka 1 au 2 na umalize kabisa huku ukiendelea kujipatia kipato kwenye uwekezaji wa pembeni ?
vipo juu na vinazid kupandaKiukweli ujenzi sasa iv ni gharama sanaaa vitu vya ujenzi vipo juu mnooo
Kama huna kipato cha uhakika inabidi ukazane na ujitihadi kupata kipato cha uhakika na sio kukumbilia kuzika pesa kwenye kiwanja na nyumba ambayo haitakusaidia kupata hicho kipato cha uhakika.
Nimefanikiwa kujenga nyumba Moja ya kuishi Arusha, ambacho nimeona ni kwamba sitikuja henga tena nyumba ya kuishi popote Tanzania instead nikifanikiwa kujenga ni za biashara tu na ni frames au mfani wa hv.
Nyumba za kuishi kwa kipato chetu ni Headache, nyumba unahaingaika nayo haiishi. Haoana huo upuuzi sifanyi tena.
Kwa shemeji.Sasa hivi unaishi kwenye nyumba ya nani?
Halafu ni vijumba mkuu,sio nyumba.Wafanyakazi wengi wanajenga nyumba za kuishi kwa mikopo yenye riba kubwa. Hakuna pesa wanayo save kwa sababu nyumba inakuwa haizalishi huku wakirejesha mkopo wenye riba.
Yes umeuliza vizuri sana, maisha mazuri kwangu, kwanza afya njema pesa za kuweza kupata mahitajio yangu.Maisha mazuri ni yapi kwako?
kulala kwsko kila.mtu ni ndoto yake.usitake kudanganya waty yaan.mim natizama kipind cha fine living sana wale house hunters unaona vijana wanavopambana wanakopa wanasave madola malak kwa malak na ndio nchi zilizoendelea.sasa iweje une usem kumilik nyumb sio muhim.wew unavomsombea mweny myumba mfano kod lak na nusu kwa mwez kila baada ya miez 6 unampa laki saba.ungekua kwako hio lak saba si ungepeleka mtoto engkish medium na supu ukanywa
Kwa hiyo suluhisho ni kukopa na kwenda kujenga ili uishi ukilipa mkopo maisha yako yote??kwa biashara ipi? mud wot wew upo kituon kwako kutoka tu lazim ujaze form ya ruhuaasa mkuu wako wa idara asain .au ndio unampa ndug yako aisimamie
mkuu mimi sijaandika kuhusu wastaafu, nimeandika, kuto kuwa muoga na kuwa muoga katika maisha.Sio kweli, wastaafu wengi wakistaafu wanakuwa maskini kabisa.
Hahaha,hii mentality ya watumishi sijui imesababishwa na malezi ama makuzi..nakaa natafakari sana.Kwa hiyo suluhisho ni kukopa na kwenda kujenga ili uishi ukilipa mkopo maisha yako yote??
Mafanikio ni vile mtu mwenyewe unayatafsiri. Wao kujenga ni mafanikio. Wengine kushika amri za Mungu ndiyo mafanikio, wengine watoto wengi nk. Kila mtu anatafsiri yake ya mafanikio.Hahaha,hii mentality ya watumishi sijui imesababishwa na malezi ama makuzi..nakaa natafakari sana.
Kila mtu anakuuliza,umejenga? Ujenzi unaanza lini
Ni kweli kabisa, mpaka najiuliza kama watanzania wengi wanamwazo haya, kwanini watu wengi tunalialia.Siku zote biashara ya kwenye keyboard huwa inalipa sana ila ile ya field huwa ni pata potea yaani and vice versa is true.
Asset mean take in and liability mean take out! Unawezaje ku gain pesa wakati unaishi nyumba isiyokuingizia chochote?Nyumba inakuaje liability ukiishi wewe?
Mkuu kila tukitunza hela na kufungua miradi matatizo yanakua lukuki, hata ndugu nao wakiona tumewekeza ni vichomi daily, ni bora tujistili then biashara (01)Hapa Tanzania watu wengi huchukulia kujenga na kumili nyumba ni hatua kubwa ya mafanikio katika miasha. Wafanyakazi wengi hukopa na kuishi na madeni ya viwanja na nyumba maisha yao yote ili tu wasikae katika nyumba za kupanga.
Pia wafanyakazi wengi wako tayari wasiwe na chanzo kingine chochote cha kipato kwa kuelekeza pesa yao yote wanayoipata katika ujenzi wa nyumba badala ya uwekezaji unaoleta fedha ili tu waishi katika nyumba zao wenyewe.
Katika muktadha wa utaalamu wa kifedha ni sahihi hasa kwa vijana kuelekeza nguvu na pesa zote katika ujenzi badala ya kuwekeza pesa katika biashara ambazo zitazalisha pesa zaidi na baadaye ndipo suala la ujenzi wa nyumba lifikiriwe baada ya kuwa na uhakika wa mtiririko mzuri wa kipato cha uhakika?
Huingizi chochote zaidi ya kutoa kwa vile hujapangisha. Umeme, maji, ukarabati nk pesa inatoka haiingiiiNyumba inakuaje liability ukiishi wewe?
F aliyewekeza kwenye biashara ya vifaa vya ujenzi maana wote waliobaki watakuwa wateja wake maana wote wanajengaKuwa na maamuzi sahihi ni kipaji:
Watu A, B, C, D,E, F walikopa bank, kila mmoja sh. 20m kwa marejesho ya jumla ya sh. 36m kwa muda miaka 6, Kila mmoja aliamua kuwekeza fedha yake kama ifuatavyo:-
Mtu A
Mtu B
- Aliamua kuwekeza fedha yote kwenye ujenzi wa nyumba, na nyumba haikumalizika iliishia kwenye kupaua.
Mtu C
- Aliamua kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba ndogo,na ilimalizika na hatimaye aliweza kuhamia
Mtu D
- Aliwekeza milioni 10 kwenye ujenzi na kumi kwenye biashara ya kuuza vilevi
Mtu E
- Aliwekeza fedha yote kwenye ujenzi wa ofisi ya ushonaji,ofisi imekamilika ila vitendea kazi bado kukamilisha
Mtu F
- Aliwekeza fedha yote kwenye usafiri wa kutembelea
- Aliwekeza fedha yote kwenye bashara ya vifaa vya ujenzi
Swali,je baada ya miaka sita (6) hawa watu (A,B,C,D,E,F) ni yupi atakuwa na maisha ya kuridhisha?
Watanzania wengi hawana mawazo ya kufanya biashara za maana, wengi wanaofanya biashara hasa ndogo ndogo na umachinga ni baada ya mambo mengine yote kushindikana.Ni kweli kabisa, mpaka najiuliza kama watanzania wengi wanamwazo haya, kwanini watu wengi tunalialia.