mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
hata kujenga nyumba ya kupangisha bado sio uchaguzi mzuri kibiashara.Wafanyakazi wengi wanajenga nyumba za kuishi kwa mikopo yenye riba kubwa. Hakuna pesa wanayo save kwa sababu nyumba inakuwa haizalishi huku wakirejesha mkopo wenye riba.
mfano nyumba uliyojenga kwa 80mln tabata,unawezapangisha kwa 250-300 kwa mwezi.
300×12=3.6ml÷ 80mln=biashara kichaa.
wakati eicher la 80ml linaingiza 4.5ml kwa mwezi.
4.5mln×12=54 mln
ndani ya miaka 2 tayari hela imesharudi na hapa ni kama si mkataba,kama ni mkataba unaachia gari ukiwa na hela nyingi zaidi.
nyumba si uwekezaji mzuri kabisaa,labda kwa malengo ya muda mrefu.