Kujenga na kumiliki nyumba ya kuishi ni muhimu kwa watu wa kipato cha chini?

Kujenga na kumiliki nyumba ya kuishi ni muhimu kwa watu wa kipato cha chini?

Wafanyakazi wengi wanajenga nyumba za kuishi kwa mikopo yenye riba kubwa. Hakuna pesa wanayo save kwa sababu nyumba inakuwa haizalishi huku wakirejesha mkopo wenye riba.
hata kujenga nyumba ya kupangisha bado sio uchaguzi mzuri kibiashara.

mfano nyumba uliyojenga kwa 80mln tabata,unawezapangisha kwa 250-300 kwa mwezi.
300×12=3.6ml÷ 80mln=biashara kichaa.

wakati eicher la 80ml linaingiza 4.5ml kwa mwezi.
4.5mln×12=54 mln
ndani ya miaka 2 tayari hela imesharudi na hapa ni kama si mkataba,kama ni mkataba unaachia gari ukiwa na hela nyingi zaidi.

nyumba si uwekezaji mzuri kabisaa,labda kwa malengo ya muda mrefu.
 
kulala kwsko kila.mtu ni ndoto yake.usitake kudanganya waty yaan.mim natizama kipind cha fine living sana wale house hunters unaona vijana wanavopambana wanakopa wanasave madola malak kwa malak na ndio nchi zilizoendelea.sasa iweje une usem kumilik nyumb sio muhim.wew unavomsombea mweny myumba mfano kod lak na nusu kwa mwez kila baada ya miez 6 unampa laki saba.ungekua kwako hio lak saba si ungepeleka mtoto engkish medium na supu ukanywa
 
Hiyo pesa ya mshahara na mikopo unayotumia kujenga miaka 5 au 7 saba nyumba ya vyumba 4 si bora ungeiingiza kwenye biashara miaka 5 upate pesa za kutosha kukuwezesha kujenga ndani ya mwaka 1 au 2 na umalize kabisa huku ukiendelea kujipatia kipato kwenye uwekezaji wa pembeni ?
kwa biashara ipi? mud wot wew upo kituon kwako kutoka tu lazim ujaze form ya ruhuaasa mkuu wako wa idara asain .au ndio unampa ndug yako aisimamie
 
Huwa najiuliza sana,hii kasumba ipo sana hasa kwa watumishi wa umma.kila mtu anawaza kukopa aanze ujenzi,mwisho wa siku anajenga nyumba hata kwa miaka 10 haiishi..
Kama huna kipato cha uhakika inabidi ukazane na ujitihadi kupata kipato cha uhakika na sio kukumbilia kuzika pesa kwenye kiwanja na nyumba ambayo haitakusaidia kupata hicho kipato cha uhakika.

Nimefanikiwa kujenga nyumba Moja ya kuishi Arusha, ambacho nimeona ni kwamba sitikuja henga tena nyumba ya kuishi popote Tanzania instead nikifanikiwa kujenga ni za biashara tu na ni frames au mfani wa hv.

Nyumba za kuishi kwa kipato chetu ni Headache, nyumba unahaingaika nayo haiishi. Haoana huo upuuzi sifanyi tena.
 
Huku nilipo sasa hivi ukiwa na miaka 23+ na huna nyumba hata ya chumba kimoja kila mtu anakuona kama umelogwa kwa sababu unapozaliwa unakikuta kiwanja tayari. Tofali ni mia mia, ukiwa na milioni 20 unajenga nyumba nusu eka unasubiri kuezeka tu.
 
Wafanyakazi wengi wanajenga nyumba za kuishi kwa mikopo yenye riba kubwa. Hakuna pesa wanayo save kwa sababu nyumba inakuwa haizalishi huku wakirejesha mkopo wenye riba.
Halafu ni vijumba mkuu,sio nyumba.
Maana wengi wana mishahara midogo hivo wanakopa wastani mil 10,kwa makato ya miaka 7,sasa milion kumi utajenga nyumba gan ? Kama sio kijumba na mwisho anakuwa mtumwa wa mikopo (TOP UP)kila baada ya Miaka miwili ili kuboresha hisho kijumba..anajikuta nusu ya utumishi wake anapambana na ujenzi tu.
 
Kuna watu wengi nawafahamu wanamiliki vijumba ila wanaishi kwa kuomba omba kila siku. Hii ina maana gani? Au ndio wanasema kupanga ni kuchagua?
kulala kwsko kila.mtu ni ndoto yake.usitake kudanganya waty yaan.mim natizama kipind cha fine living sana wale house hunters unaona vijana wanavopambana wanakopa wanasave madola malak kwa malak na ndio nchi zilizoendelea.sasa iweje une usem kumilik nyumb sio muhim.wew unavomsombea mweny myumba mfano kod lak na nusu kwa mwez kila baada ya miez 6 unampa laki saba.ungekua kwako hio lak saba si ungepeleka mtoto engkish medium na supu ukanywa
 
kwa biashara ipi? mud wot wew upo kituon kwako kutoka tu lazim ujaze form ya ruhuaasa mkuu wako wa idara asain .au ndio unampa ndug yako aisimamie
Kwa hiyo suluhisho ni kukopa na kwenda kujenga ili uishi ukilipa mkopo maisha yako yote??
 
Kwa hiyo suluhisho ni kukopa na kwenda kujenga ili uishi ukilipa mkopo maisha yako yote??
Hahaha,hii mentality ya watumishi sijui imesababishwa na malezi ama makuzi..nakaa natafakari sana.
Kila mtu anakuuliza,umejenga? Ujenzi unaanza lini
 
Hahaha,hii mentality ya watumishi sijui imesababishwa na malezi ama makuzi..nakaa natafakari sana.
Kila mtu anakuuliza,umejenga? Ujenzi unaanza lini
Mafanikio ni vile mtu mwenyewe unayatafsiri. Wao kujenga ni mafanikio. Wengine kushika amri za Mungu ndiyo mafanikio, wengine watoto wengi nk. Kila mtu anatafsiri yake ya mafanikio.
 
Siku zote biashara ya kwenye keyboard huwa inalipa sana ila ile ya field huwa ni pata potea yaani and vice versa is true.
Ni kweli kabisa, mpaka najiuliza kama watanzania wengi wanamwazo haya, kwanini watu wengi tunalialia.
 
Hapa Tanzania watu wengi huchukulia kujenga na kumili nyumba ni hatua kubwa ya mafanikio katika miasha. Wafanyakazi wengi hukopa na kuishi na madeni ya viwanja na nyumba maisha yao yote ili tu wasikae katika nyumba za kupanga.

Pia wafanyakazi wengi wako tayari wasiwe na chanzo kingine chochote cha kipato kwa kuelekeza pesa yao yote wanayoipata katika ujenzi wa nyumba badala ya uwekezaji unaoleta fedha ili tu waishi katika nyumba zao wenyewe.

Katika muktadha wa utaalamu wa kifedha ni sahihi hasa kwa vijana kuelekeza nguvu na pesa zote katika ujenzi badala ya kuwekeza pesa katika biashara ambazo zitazalisha pesa zaidi na baadaye ndipo suala la ujenzi wa nyumba lifikiriwe baada ya kuwa na uhakika wa mtiririko mzuri wa kipato cha uhakika?
Mkuu kila tukitunza hela na kufungua miradi matatizo yanakua lukuki, hata ndugu nao wakiona tumewekeza ni vichomi daily, ni bora tujistili then biashara (01)

(02) vijana wengi wanaopata pesa kwa wakati huu ni either awe hana background ya kitajiri au familia yao ikose makazi yanayoeleweka mjini, hivyo wanaona bora wajenge vibanda kwanza ili mambo yakiwa ndivyo sivyo angalau wapate pa kujihifadhi na kuanzia pia
 
Kuwa na maamuzi sahihi ni kipaji:
Watu A, B, C, D,E, F walikopa bank, kila mmoja sh. 20m kwa marejesho ya jumla ya sh. 36m kwa muda miaka 6, Kila mmoja aliamua kuwekeza fedha yake kama ifuatavyo:-
Mtu A
  • Aliamua kuwekeza fedha yote kwenye ujenzi wa nyumba, na nyumba haikumalizika iliishia kwenye kupaua.
Mtu B
  • Aliamua kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba ndogo,na ilimalizika na hatimaye aliweza kuhamia
Mtu C
  • Aliwekeza milioni 10 kwenye ujenzi na kumi kwenye biashara ya kuuza vilevi
Mtu D
  • Aliwekeza fedha yote kwenye ujenzi wa ofisi ya ushonaji,ofisi imekamilika ila vitendea kazi bado kukamilisha
Mtu E
  • Aliwekeza fedha yote kwenye usafiri wa kutembelea
Mtu F
  • Aliwekeza fedha yote kwenye bashara ya vifaa vya ujenzi

Swali,je baada ya miaka sita (6) hawa watu (A,B,C,D,E,F) ni yupi atakuwa na maisha ya kuridhisha?
F aliyewekeza kwenye biashara ya vifaa vya ujenzi maana wote waliobaki watakuwa wateja wake maana wote wanajenga
 
Ni kweli kabisa, mpaka najiuliza kama watanzania wengi wanamwazo haya, kwanini watu wengi tunalialia.
Watanzania wengi hawana mawazo ya kufanya biashara za maana, wengi wanaofanya biashara hasa ndogo ndogo na umachinga ni baada ya mambo mengine yote kushindikana.

Watanzania wengi ikiwemo pamojavna wewe wanaamini mafanikio yanapatikana kwa kusoma kisha kuajiriwa serikalini, ujenge nyumba.
 
Back
Top Bottom