Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

Hahahaa
 
Hilo ni hitaji la Msingi pia kati ya yale mahitaji muhimu ya binadamu.Na nyumba zinatofautiana ndugu.Hazipo sawa hii ni kutokana na kipato cha mtu
 
Tuambie ubaba ni upi ??
Sometimes utatambua akili ya mtu kutokana na matumizi ya lugha
 
Cha ajabu usiku huu lazima uingie ndani ya nyumba ulale
 
Hebu tushauri tuishi wapi na familia zetu ikiwa kujitengenezea makazi wewe unasema ni umama..
 
Endelea kupanga
 
Umama huo
Kumiliki nyumba shamba ni bora zaidi lakini yampasa kumiliki kwanza mladi kisha faida ndio inunue vitu hivio sio mladi huna unapambana kujenga kama walivio wenge anatumia mtaji wake kujengea kisha kwenda benki kukopea mala nyumba inapigwa mnana
 
Na unajiita@Mwanamzizma?Kwani kijijini kwenu walivyokufundisha,ulielewa nini juu ya neno maendeleo?
Maendeleo kwaza ni kumiliki mladi wa uchumi kisha nyumba ya kuishi huo mladi aijalishi nyumba ya biashara au kilimo ilimlandi umiliki kitega uchumi
 
Maendeleo kwaza ni kumiliki mladi wa uchumi kisha nyumba ya kuishi huo mladi aijalishi nyumba ya biashara au kilimo ilimlandi umiliki kitega uchumi
Soma tena ulichokiandika halafu unitafsirie.Sijakuelewa.
 
Maendeleo kwaza ni kumiliki mladi wa uchumi kisha nyumba ya kuishi huo mladi aijalishi nyumba ya biashara au kilimo ilimlandi umiliki kitega uchumi
Kitega uchumi
Kuna faida na hasara

Ushawahi kujiuliza kwa nini asilimia 90 ya biashara hufa mwaka wa kwanza tangu kuanzishwa?

Asilimia 95% zinakufa ndani ya miaka 5 tangu kuanzishwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Biashara inahitaji muda kabla haijaanza kuzalisha faida!

Unafahamu itakuchukua muda gani kabla biashara yako haijabreak even ?

Vipi ikifa kabala ya hapo?
Au unahitaji kuwa na Biashara kwa ajili usifiwe na watu?

Kumbuka: Ni muhimu update muda wa kusimamia biashara yako bila hivyo ni kuwapa watu mtaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…