Hao unaowasema wengi hata hawakusomi. Hata hawajui kama upo dunia hii.Duuh!! Kagoogle kwanza kulazimisha watu na kutoa maoni.
Upande mmoja kujipost ni furaha ya mtu havunji sheria, ila maoni binafsi huko ni kuwalazimisha watu wafate utakavyo🤔.
Kwahy unatakaje labda tukae kimya na katiba inaturuhusu kutoa maoni yetu!?. muhimu hatuyavunja sheria za nchi kama usemavyo baki na wazo lako ni baki na langu.
Uwe na wakati mwema.Nimekwambia hivii, mtu kufanya anachopenda si utumwa.
Wanapenda kujipost. Wanajipost.
Utumwa uko wapi hapo?
Wewe unalazimisha waishi unavyotaka wewe. Hicho unachotaka wewe ndiyo utumwa.
Unataka watu wasiishi wanavyotaka wao, waishi unavyotaka wewe.
Huo ndio utumwa.
Nimemaliza nini?Umemaliza au Kuna mwendelezo!?.
Nimeandika mengi. Be specific.Kwani ulikuwa unaongea kuhusu nini!?.
Halafu bora mtoto wa kike coz always wana akili za kitoto,ila napata shida sana na wasi wasi kwa mtoto wa kiume kujipost kila siku yaani huwa sielewiKujipost ni ushamba sana
Yeye kajiunga Nov ana post 300 mbna hatumuuliz memes na zidumu dadaMna mambo mengi yakumind.
Na sisi wapost memes je? Tuache?
Mamdogo kazi iendelee… 😅Yeye kajiunga Nov ana post 300 mbna hatumuuliz memes na zidumu dada
Yani Kaz iendeleeMamdogo kazi iendelee… 😅
Umemaliza mkuu [emoji1787] hawa ndo wale ambao hawapostiki lazima awe na roho mbaya!
Kujipost nusu uchi hakuvunji heshima!?.
Unapost unakata viuno, viuno vyako sisi vya nini!?.
Unapost unaimba imba si uingie studio tujue Moja.
Watu wanapost kwa malengo Yao. Ikiwemo kuzungumziwa na watu kama wewe hivi ndio ni sehemu ya malengo yaoWatu hupost ili waonwe , kama hakuna wa kuona huwezi post, tofautisha kuona na kufatilia.
Utumwa ni wewe unayefuatilia mambo ya wengine yasiyokuhusu.Kama huna ishu ya msingi ya kusababisha ujipost huo ni utumwa.
utumwa wa kutafuta validation kwa watu.
Ujengewe sanamu kakaMtu kama hupendi kupost waachie wanaopost
Mtu kama hunywi pombe waachie ambao wanakula. Kama sio dhambi
Kama unakunywa pombe usiwaseme ambao hawanywi. Huo ushamba