Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

Ukisema kupigwa chini means wanatamba kwamba wanatongozwa
Hapana. Kwa nilivyomuelewa anazungumzia makasiriko ya wanaume wengi kuhusu Ke ni sababu wanakataliwa si kwamba anatamba kutongozwa. Navyoelewa yeye ni mwanaume anazungumzia alichokiona kwa baadhi ya wanaume wenzake kama nimekosea atanisahihisha.
 
Inawza kuwa kwel kwa baadhi ya watu sio kila msafara ni wa mamba tu ,kwenye misafara ya mamba ata kenge wapo.
 
Nikki wa pili dc na hela alizokua nazo still amegongewa na mtoto juu, haji manara na hela zake mke alimkimbia

Diamond na utajiri wote anaishi maisha ya kimalaya ameshindwa kusettle na mwanamke

Usifikiri hela ndo kila kitu utakua nazo still kuna wanawake watakua wanakukataa, hela ni ya muhimu ila sio kila kitu kama unavyotaka kuaminisha watu
 
Unakuta mwanaume mzima asubuli Binti mpaka achakae na aliwe na wanaume wenzake afikishe miaka 30 yeye eti ndo ampate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh!! Uliokota namba za makahaba rafiki. Yaan kitendo cha kutoa namba, mtongozo hapo hapo kukubaliwa. Mwanamke anaejielewa na kujiheshimu hawezi fanya hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unajielewa ni wewe na mpo wangapi mnaojielewa?ngono sasa hivi mtaani inapatikana kwa urahisi sana ndiyo maana hata thamani ya ndoa vijana hawaioni wanawake wanajirahisi mno.
 
Liverpool VPN kaajiriwa serikalini mkuuuu ila anawapiga chini kwenye ndoa litutumbwe katumia 1M bila kuonja papuchi mkuuu bado unangangania hiii hoja Countrywide kabambikiwa mtoto mkuuu tena na mtu wa kawaida japokuwa yy ni DC na alimhudumia mama zury

Mimi nalala na mke wa mtu mkuuu ingawa sina senti za kuvimba mmewe kila siku yuko nje ya nchi

In short pesa ina play part ndogo sana kwenye mapenzi ya kweli mkuuuu endelea kuwa simp utakufa huku unajiona hii ni mifano michache tu
 
Hivi katika dunia ya leo kuna mwanamke ana msuli wa kukataa mwanamume? Wanawake wote wanaelewa vema lugha moja tu, wawe ndani ya ndoa au nje. Iko lugha moja ambayo huisikia vema. Nenda kutafakari tena andiko lako hili ujue ukweli.
 
Jamaa mjinga sana huyu sisi tunaogonga wake za watu kwenye vanguard walizonunuliwa na waume zao tusemeje sasa πŸ€”
 
Me alinichekesha yule wa wasichana wafukuzwe majumbani..

Njia zote za kupata dame umekosa unaona bora wafukuzwe ukawe mwokozi. Unataka kuwa superman? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Duuh!! Uliokota namba za makahaba rafiki. Yaan kitendo cha kutoa namba, mtongozo hapo hapo kukubaliwa. Mwanamke anaejielewa na kujiheshimu hawezi fanya hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli
Mtu anakuomba namba lazima uulize nini sababu ya mawasiliano
Akijibu tu nataka tujuane zaidi unamuacha hapo
Namba inatolewa ikiwa ni sababu ya kazi au biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…