Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Pole sana Juma chief. Mtoto wa dadangu aliwahi kupata tatizo kama hilo baada ya kuzaliwa. Mafua si mafua, kukoroma si kukoroma ila baadaye alitibiwa. Nitafute ktk 0655138686 nikupe namba ya dadangu ili ujaribu kumuuliza alifanyaje yeye akatibu tatzo hilo
 
Fuata ushauri lakini usisahau kumpeleka kwa Dr.wa ENT usipate ana matatizo ya tonsil and adenoid yamevimba nenda kwa Daktari wa ENT pia.
nilishakwenda kwa kairuki mkuu,na dr kahumba (specialist wa ENT)ndie aliyemuattend.....akafanyiwa hicho kilichoshauriwa,lakini tatizo halijatatuka...[emoji120] ..
 
poa kaka nitakucheki....kwa msaada zaidi....[emoji120] ..
 
nilishakwenda kwa kairuki mkuu,na dr kahumba (specialist wa ENT)ndie aliyemuattend.....akafanyiwa hicho kilichoshauriwa,lakini tatizo halijatatuka...[emoji120] ..
Omba referal Muhimbili au KCMC for further check up KCMC kuna mabingwa wa ENT hata Muhimbili hope the same shida sisi tunaamini sana private.
 
mkuu nenda E.N.T Muhimbili
 
nilishakwenda kwa kairuki mkuu,na dr kahumba (specialist wa ENT)ndie aliyemuattend.....akafanyiwa hicho kilichoshauriwa,lakini tatizo halijatatuka...[emoji120] ..
Nenda MUHIMBILI kawatafute kimario au enica HUTAJUTA!
 
pole sana mkuu nahisi tabu aliyoipata mwanangu nime ku pm
 
Nenda MUHIMBILI kawatafute kimario au enica HUTAJUTA!
nashkuru mkuu,nitajitahidi kufanya hivyo.... ila kama ungalinisaidia contact zao....??..muhimbili si unajua mtiti wake mkuu..???? kama unazo lakini.....ili niwacheki mapema.....
 
nashkuru mkuu,nitajitahidi kufanya hivyo.... ila kama ungalinisaidia contact zao....??..muhimbili si unajua mtiti wake mkuu..???? kama unazo lakini.....ili niwacheki mapema.....
Omba referral ya kwenda Muhimbili utapata msaada.
 
Napenda kufahamu kama kukuroma wakati wa kulala usiku kama ugonjwa , je husababishwa na nini ? Mtu atajizuiaje? Kama ni ugonjwa je hurithishwa yaani kama baba ako alikuwa anakoroma anaweza akakurithisha? ni mbinu gani ya kuliepua tatizo hili?

Maana ni kero sana hasa unapochangia chumba na mtu , na pia ni aibu kwa muhusika na huweza pata tatizo la kisaikolojia katika nyumba za kupanga maana wote humsikia anapokoroma usiku

Kama ni ugonjwa kuna tiba ya kudumu?
Ahsanteni
 
Akapimwe maradhi ya moyo huyo na cholesterol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…